Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1662569368910.png

Air alarms are sounding all over Ukraine at this moment
 
Russia has prepared “surprises” for the meeting of the UN Security Council on Ukraine convened by the United States on Wednesday.
This was stated by the First Deputy Permanent Representative of the Russian Federation to the UN Dmitry Polyansky
 
Tazameni hii video jamaa anaondesha kwenye map jindi jeshi la Ukraine linavyosonga mbele huko Kherson na maeneo mengine mpaka jana tarehe 6.

Si vibaya kuwakumbusha kipigo kinavyotembezwa huko field [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tazama video hii mateka ni wengi sana wale wabishi wanauliwa yani jamaa atoe jeshi lake atalimalizia hapo

Eti Hawa ni askari wa taifa linalojinasibu kuwa super pawer [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Tazama video mpaka mwisho silaha tulizokamata baada ya warusi kukimbia maeneo wengine tumeua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wape vidonge vyao comred [emoji91][emoji1255]
 
Hahaha wazee wa Iskander, Ballistic na Supersonic missile wakishikwa wanakuwa wadogo sana.Wapige zile wanaita INTERCONTINENTAL MISSILE linafika marekani dakika 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12][emoji2][emoji1787]
 
Mateka wengine hawa hapa tumewakamata aisee hii counter offensive ni balaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
Unakumbuka hicho kipindi endorgan nusu ajinyee
 
Back
Top Bottom