Super power akatoe vijana wake maana wanakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mdau ni kweli hiki unachokisema ni kweli kua s400 ya Urusi ndo Bora dúnian. Hauko siriasi. Hii s400 kule Ukraine inapigwa kila siku na himars halafu unasema ndo Bora sana. Ingekua Bora tusingekua tunashuhudia yanayotokea Ukraine aisee.Mkuu usiwe na ubishi wa ajabu.
1. Israel haina ubavu wa kutunishiana msuli na Urusi hata kwa jambo moja.
2. Air defences za urusi s400 ndio bora zaidi kuliko zozote zile mpk muda huu tunaoongea
3. Israel wanahitaji greenlight ya urusi ili wafanye mashambulizi yao kwenye ardhi ya syria. We ita kukubaliana au kuomba ruhusa it sounds the same to me. Km huwezi kufanya jambo lako mpk ufanye kwanza makubaliano na mtu mwingine kuhusu hilo jambo ni sawa na kuomba ruhusa tu.
Kuhusu hiyo ndege km huelewi ngoja nikueleweshe. Pale syria kuna mifumo inalinda anga la syria ya syria na ya urusi. Urusi ni ally wa syria. Ndege za urusi zinaposhuka kwenye base zake huko syria haziofii chochote maana mifumo inayoweza kuzishambulia ndege ni ya ally wao syria na ya kwao wenyewe warusi. Waisrael on the other hand ndege zao pale syria zinakuwa considered km ndege za adui. Ndege zao zilipoingia syria kwenda kushambulia automatically either s400 au s200 ya syria ingekuwa activated kulinda anga dhidi ya ndege za adui. S400 haikuwa activated kufuatia makubaliano ya pm wa israel na raisi wa urusi ila s200 za syria zikawaka.
Ilitakiwa kbl israel hajaenda kushambulia atoe taarifa kwa urusi ili waondoe ndege zao karibu na eneo la tukio na syria walitakiwa wahakikishe hakuna ndege za urusi angani wakati wakijaribu kushusha ndege za adui (israel). Hakuna aliyefanya alichotakiwa kufanya. Israel alichelewa kutoa taarifa kwa urusi kilichopelekea ndege yao kudunguliwa.
Ndege ya urusi ilikuwa ni ndege ya surveillance sio ndege vita (fighter). Ni lzm tu ingekuwa hit kwa sababu haijawa designed kujilinda na mashambulizi ya mifumo ya kulinda anga ya ardhini. Ni ndege tu ya kawaida.
Walidungua ndege ikaharibika na wakaua rubani kisha wakaomba msamaha. Yani kuanzia process zote za kurusha ile F-16 mpaka angani na kufanya engagement, kisha kufyatua kombora ila baadae wakaomba msamahaAwakuomba msamaha?
Hiyo Balyun airstrikes unaikuza sana waliokufa sio idadi hiyo na bado tunarudi point ileile mnayokwepa kwamba sio Turkey wala Israel zinaomba ruhusa kwa Russia kufanya lolote. Balyun ilitokea convoy ya majeshi ya Turkey yapo ndani ya Syria ndipo Syria na Russia zikafanya shambulizi. Hapo Russia hakuombwa ruhusa kuingia na haijawahi tokea, kisha retaliation ya Turkey ni Operation Spring Shield iliyoua wanajeshi wa Syria zaidi ya 150 na wapiganaji zaidi ya 200 wengine wakiwa chini ya Iran, wengine makabila yanayomuunga mkono Assad. Hiyo operation iliharibu silaha nyingi za Syria na uzuri Waturuki walikuwa wanarekodi wakilipua Pantsirs kwa hizi Bayraktar drones. Ndio maana vita ya Ukraine ilivyoanza nikajua Russia hawezi teswa na Bayraktars kwa vile amekutana nazo Syria zikamsumbua, bado Libya na Azerbaijan.UTURUKI walifanya vile kwa sababu ya hasira baada ya kuona waasi waliokuwa wanawasaidia kupigwa na kupokonywa maeneo na majeshi ya SYRIA yakisaidiwa na WARUSI.
WARUSI walikubali msamaha kwa shingo upande ila wakajua kabisa ipo siku watalipa tu maana game linaendelea.mwisho wa siku WATURUKI wakaingiq kwenye 18 za WARUSI.
2020 Balyun airstrikes
Lilikuwa ni shambulio baya lililowakuta vikosi vya WATURUKI.msafara wa wanajeshi wa UTURUKI ulipukutika baaada ya kushambuliwa na ndege aina ya SU-34 bomber. Inasemekana wanajeshi zaidi ya 100 walikufa hapo hapo na wengine zaidi ya 120 walikuwa majerui,japo serikali ya UTURUKI ilisema imepoteza wanajeshi 34 na wengine 100 majeruhi.
Toka siku iyo UTURUKI AKAWA NA ESHIMA KWENYE MPAKA WAKE KWA NDEGE ZA URUSI.
Israel haiombi ruhusa kwa kubwa jinga. Ukiingilia maslahi yake hakuombi ruhusa its either mkubaliane au mpambane, sasa niletee confrontation baina ya Soviet Union au Russia ambapo Israel iliwahi shindwa. Nakupa hii hapa Operation Rimon 20 ambayo Soviets waliufyata👇👇Mkuu usiwe na ubishi wa ajabu.
1. Israel haina ubavu wa kutunishiana msuli na Urusi hata kwa jambo moja.
2. Air defences za urusi s400 ndio bora zaidi kuliko zozote zile mpk muda huu tunaoongea
3. Israel wanahitaji greenlight ya urusi ili wafanye mashambulizi yao kwenye ardhi ya syria. We ita kukubaliana au kuomba ruhusa it sounds the same to me. Km huwezi kufanya jambo lako mpk ufanye kwanza makubaliano na mtu mwingine kuhusu hilo jambo ni sawa na kuomba ruhusa tu.
Kuhusu hiyo ndege km huelewi ngoja nikueleweshe. Pale syria kuna mifumo inalinda anga la syria ya syria na ya urusi. Urusi ni ally wa syria. Ndege za urusi zinaposhuka kwenye base zake huko syria haziofii chochote maana mifumo inayoweza kuzishambulia ndege ni ya ally wao syria na ya kwao wenyewe warusi. Waisrael on the other hand ndege zao pale syria zinakuwa considered km ndege za adui. Ndege zao zilipoingia syria kwenda kushambulia automatically either s400 au s200 ya syria ingekuwa activated kulinda anga dhidi ya ndege za adui. S400 haikuwa activated kufuatia makubaliano ya pm wa israel na raisi wa urusi ila s200 za syria zikawaka.
Ilitakiwa kbl israel hajaenda kushambulia atoe taarifa kwa urusi ili waondoe ndege zao karibu na eneo la tukio na syria walitakiwa wahakikishe hakuna ndege za urusi angani wakati wakijaribu kushusha ndege za adui (israel). Hakuna aliyefanya alichotakiwa kufanya. Israel alichelewa kutoa taarifa kwa urusi kilichopelekea ndege yao kudunguliwa.
Ndege ya urusi ilikuwa ni ndege ya surveillance sio ndege vita (fighter). Ni lzm tu ingekuwa hit kwa sababu haijawa designed kujilinda na mashambulizi ya mifumo ya kulinda anga ya ardhini. Ni ndege tu ya kawaida.
1. Wanatumika ..kwa kuwa awali ya yote walikubali kuuheshimu mkataba wa Minsk ambao baadaye waliutelekeza.Ukraine inapewa silaha ili pamoja na mambo mengine liwe fundisho kwa Russia kwamba hatoweza msumbua jirani yake mwingine.
Ukraine inataka kukomboa maeneo yake kama Donetsk na Luhansk na ikiwezekana Crimea, hiyo ndoto wanayo na wanataka sana tu. Sasa unasemaje wanatumika?
Nikija kwako kukufukuza na kuchukua mali zako kisha jirani yako akakusaidia kunizuia nitasema unapigana kwa ajili yake?
Kati ya Westerns na Ukraine nani ana uchungu zaidi na nchi, nani anasaidiwa na nani kavamiwa
Trump has a pair of balls[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Trump angefanya nini? So far mfumo wao wa kimaamuzi haumtegemei rais wa nchi sana. Sana sana bunge la senate.
Trump alianza vizur akajikoroga mwenyewe
No Poppy wangu ni mstaarabu mara 10000 ya hawa washenzi imahine nimekaa nae 12yrs sijawahi fagia kinyesi chake tangu nilipo.fundisha sehemu yake maalum ya ku poop[emoji846]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamekula kona mkuuwale Pro NATO wa ikwiriri waje kwa wingi
1. Hawatumiki, kwa sababu Minsk agreement iliwekwa baada ya Russia kuvunja agreement ya miaka ya 90 iliyoondoa silaha za nyuklia Ukraine. Ilivunjwa na Russia kwa kuivamia Crimea na kupigana ndani ya Donetsk na Luhansk. Hiyo ilikuwa 2014, Russia ndio mvunjaji wa kwanza wa agreement1. Wanatumika ..kwa kuwa awali ya yote walikubali kuuheshimu mkataba wa Minsk ambao baadaye waliutelekeza.
2. Wanatumika kwa kuwa mazungumzo ya April ..Ukros walionyesha kila dalili ya kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuendelea ilhali waliporudi nyumbani wakageuza maneno na kukataa
Hizo 2 na sababu nyingine ni tosha kuonyesha wameshikiwa akili na sio maamjzi yao. Ni Kiongozi KICHAA pekee anaweza kutoa wananchi wake kafara kwa style ya Zelensky afanyavyo ....hata hiyo anauoiita Kherson Offensive ..bro make my words ..inae da kufanyika total anihilation ...wadau hapa watasaidi kukiletea pivha .kuna .miles and mole za train cargo ikiwa zimebeba zana za kutosha zikielekea Kherson .....sasa hizo incursion za miles sijui na vijiji ...hiyo ndo qakuu hapa wamekuambieni inaitwa Tactical withdraw .[emoji1787] ...yu wapi uule Dada yangu wa Tactical [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo minimal winnings ni traps ...kama style niliyoitumia enzi zile nikiwinda ndege ...ukitega mtego haumwekei ulimbo au mtego wenyewe kwenye punje za kwanza ...unamtamanisha ndege aokote na ashushe tahadhari ...kisha akisogea kati mtego unafanya yake.