kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
The situation of Russian army is like [emoji219][emoji219] without a sting,so forget about that [emoji12]Badae wasije laumu ooh rusia makatili
The situation of Russian army is like [emoji219][emoji219] without a sting,so forget about that [emoji12]Badae wasije laumu ooh rusia makatili
Unashangaa mateka vitani?Lutenant wa Russia kawekwa kati huko khankiv ,kikosi chake chote kimefyekwa
View attachment 2349875
Zelensky ni jokerSio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.
Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Hii ni small military operation watz vichwa vigumu sana urusi inaenda kwa tahadhari kuepusha more causality. Endelea kuchoma mkaa mambo makubwa kwako chiefNilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
Anapeleka ujumbe kwa Zelensky kumtaka akubali kushindwa.US Secretary of State Blinken arrives on an unannounced visit to Ukraine
In their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky MkuuMambo mazuri yanakuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2350436
Huwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]In their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky Mkuu
and what would you expect the purpetier to say ...demonstrable success [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] what a bunch of clowns ....Counter offensive inazidi kufanikiwaView attachment 2350446
Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that MkuuHuwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete ushahidi wa video hata moja kuwa ni edited hivi unaedit watu wamekufa na silaha za mrusi zinaonekana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that Mkuu
Yaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...Tunazidi kusonga mbele 50km sio mchezoView attachment 2350450
Hakuna ushahidi mliwahi kuukubali sisi tunasonga mbele kanunueni silaha kwa kiduku tunawasubiri zile Intercontinental missile zimekwisha HIMARS kiboko yenuYaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...
Ukros are literally annihilated