Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katika NGUMI mara chache utashinda bila kupigwa hata kangumi kamoja . Ukweli ni kwamba offensive imefanyika kwa mtindo wa wapiganaji wa karne za kina Daudi na Goliath. Yaani askari wengi kwa maelfu na mafarasi yanamfuata adui na mishale majambia . Ndicho alichoganya zelensky . Hapo ni wazi wengi watakufa na kujeruhiwa lakini pia kwa wingi wao na masilaha yao wataweza kuuwa na kuteka ingawa kwa vita vya kisasa ukienda mtindo huo utapata mafanikio ya kuingia kilometer 10 kwa masaa machache na unaweza rudiahwa km mia mbili baada ya muda machache maana hukuacha mistari ya defense nyuma yako. Hii ndio hadith ya Kherson . No sustainability
"No sustainability" hii ni unategemea advance ya ukraine itarudishwa tena au ni wamesharudishwa? Na unakubali kwamba Ukraine wame rudisha baadhi ya maeneo.
 
Marekani ameshatangaza mzigo mwingine wa Dola billion 2 huko..,huu mchezo hauitaji hasira[emoji12]

Chanzo; dw kiswahili
 
wazee wa kazi
From Grozny, soldiers of 2 elite special forces flew out from Grozny to the special operation zone - the "North" regiment and the "South" battalion of the Russian Guard.

In the ranks of the allied troops, they will carry out the tasks set by the President of Russia V. Putin, R. Kadyrov said.
View attachment 2349139
Mimi sio Muislam.
Lkn navutiwa sana na nchi ya Urusi,
Kuwa ndani ya jeshi Kuna vikosi vya askari ni waislam kwa 100%
Na wanapiga kazi bega kwa bega na vikosi vingine.
Utulivu na amani ndani ya jeshi la Urusi ni akili hekima na busara za Putin.
Rais mwenye akili kuliko Marais wote wa NATO na west.
 
Ule wa $60 bil umeshateketezwa.
Bila shaka, silaha zinaletwa Ili zitumike mkuu, haijalishi zitatumikaje,iwe ni Kwa kuteketezwa,kutekwa na adui..au kumshambulia adui adi zikaisha..hiyo ndo kazi ya silaha,

Kikubwa ni Lengo litimie,
 
Mimi sio Muislam.
Lkn navutiwa sana na nchi ya Urusi,
Kuwa ndani ya jeshi Kuna vikosi vya askari ni waislam kwa 100%
Na wanapiga kazi bega kwa bega na vikosi vingine.
Utulivu na amani ndani ya jeshi la Urusi ni akili hekima na busara za Putin.
Rais mwenye akili kuliko Marais wote wa NATO na west.
Nilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
 
Badae wasije laumu ooh rusia makatili
Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%
 
Back
Top Bottom