Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

According to Basurin, our troops started fighting in the residential areas of Soledar (apparently they moved further into the center from KNAUF). The enemy is stubbornly defending there. You can’t expect big rates there yet - they will take house by house.
 
Mr Zelensky declined to name which places had been retaken, saying that "now is not the time to name" them.

Mkuu embu tutajie hayo maeneo yaliyorudishwa, maana huyu Zelensky hata hayajui, labda inawezekana wewe unayajua vizuri. View attachment 2349477
Yani jamaa ukimuona tu kakaa kama kichekesho akiongea anaonekana kichekesho sijui walitoka naye wapi
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Maandalizi ya kuinyakua Warsaw View attachment 2349869
LIVE

LIVE UPDATESLIVE UPDATES,

Russia-Ukraine live news: Belarus war games at Poland border.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

By Joseph Stepansky

Published On 8 Sep 20228 Sep 2022

Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy” and regaining control over border regions, the defence ministry said.

The US has accused Russian forces of forcibly deporting Ukrainians to Russia, in Washington’s latest allegation of war crimes in the wake of the invasion of Ukraine
Poland apigwe tu
 
1662633514334.png

The French authorities declared support for Greece in the event of an attack on it
 
Wanakimbia maeneo na kuacha magali na silaha tazama video kweli super power wa mchongo anachapika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazama Ukraine walivyolipua maeno ya warusi wamekimbia wengine wamekufa sio kwa hasara hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazama Ukraine walivyolipua maeno ya warusi wamekimbia wengine wamekufa sio kwa hasara hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Super pawer wa mchongo anazidi kulambishwa hasara tu[emoji848][emoji848]
 
Wewe una mahaba sana ,unasahau wakati Russia wanateka hiyo miji vyombo vyote viliripot,mpaka ile siku Ukraine wanafurumushwa Kherson ,vyote vilionyeshwa,leo Ukraine ameanza kuwatesa mnadai uongo ,cha ajabu mnaokanusha hampo vitani ,walioko vitan hawajakataa kwamba Ukraine wanasonga mbele.endeleen na ubishi wenu mpaka tukishabeba chetu ,ndio mnene

Sio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.

Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
 
Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa xa The Washington Post limesemaje lilipo muhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, kukatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo wanayo likumba jeshi la Ukraine - eye witness huyo, tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano:chukulia maigizo ya Zelensky juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wapwleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Ushaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuamin
Urusi ina ushaid gan imewafurumusha Ukraine au ushaid gan uliopo kwamba Ukraine hawajasonga mbele.
 
Sio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.

Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Only Junkies like him Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.

Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
 
What a lame ..answer Mkuu ..ukiwa Media ..ili uheshimike jnahitaji a balanced reporting na sio matangopori
Unajua mkuu mashabiki wa pro NATO na pro Russia wanajaribu kila mtu kuvuta upande wake ,ndio maana ya jukwaa ,hivyo mwisho wa siku field ndiyo itaamua .maana huku tunafurahishana tuu mda uende ,maana tozo zinatukaba
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Maandalizi ya kuinyakua Warsaw View attachment 2349869
LIVE

LIVE UPDATESLIVE UPDATES,

Russia-Ukraine live news: Belarus war games at Poland border.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

By Joseph Stepansky

Published On 8 Sep 20228 Sep 2022

Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy” and regaining control over border regions, the defence ministry said.

The US has accused Russian forces of forcibly deporting Ukrainians to Russia, in Washington’s latest allegation of war crimes in the wake of the invasion of Ukraine

Russian forces war crime -my foot!! Je Russia ikisema former Rais wa Merikani Bill Cliton nae aburuzwe the Hague for war crime commited by invading former Yugoslavia na kuwaua raia wasio na hatia - hapo Wamerika watajibu nini? Wasilete mambo ya mkuki kwa Nguruwe - na wao wana mashitaka mengi tu na makubwa ya kujibu, wasitumie vitisho kwa malengo ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom