HaiwezekaniNAONA KUNA DALILI KITANUKA KATI YA BELARUS NA POLAND, MRUSI AKIWA NYUMA YA BELARUS. ACHA TUONE
Russia-Ukraine war: September 8 updates ⤵️
Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy,” said its defence ministry.
🟠 LIVE coverage: Belarus launches war games along border with Poland, Ukraine https://t.co/w5sJm2l732
Mkuu usisahau, kuwa kuna habari zilizagaa zikiwatuhumu uongozi ndani ya Kiev na hasa kiongozi wao kuwa wanabwiya 'sembe'! Sasa katika mazingira haya, kama askari wao wamelambishwa na wakiwa alosto wanaambiwa lazima mwende huko frontline vinginevyo hupati kete, watakataaje!After all kuna kitu hapa nimeki'note, wajeda wana obedience kwa mamlaka ya ajabu kinyama. Anything wakiambiwa wao ni ndio mkuu haijalishi ni hatari gani iliyo mbele yao au mtoa order katoa kwa mustakabali upi either hisia ama mihemko yake au kwa maslahi yake binafsi.
Huyo jamaa akiona urusi anapata kichapo anakuwa na stress sana.., kiukweli ana mahaba mazito na Russia kiasi kwamba anashindwa kuamini kile kinachofanywa na jeshi la Ukraine, nadhani atakuja kushtuka khakivu na kheson zinarudi mikononi mwa Ukraine.., namuomba mungu uzima Ili niweze kushuhudia atarudi kuandika nini hapa [emoji120]
NAONA KUNA DALILI KITANUKA KATI YA BELARUS NA POLAND, MRUSI AKIWA NYUMA YA BELARUS. ACHA TUONE
Russia-Ukraine war: September 8 updates ⤵️
Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy,” said its defence ministry.
🟠 LIVE coverage: Belarus launches war games along border with Poland, Ukraine https://t.co/w5sJm2l732
Kuna ile time unasoma unacheka weee then baadae waona huruma tu hawa jamaa wanavyo-kaangwa for show off za yule comedian apate cha kufanyia PR.
After all kuna kitu hapa nimeki'note, wajeda wana obedience kwa mamlaka ya ajabu kinyama. Anything wakiambiwa wao ni ndio mkuu haijalishi ni hatari gani iliyo mbele yao au mtoa order katoa kwa mustakabali upi either hisia ama mihemko yake au kwa maslahi yake binafsi.
Huu utii unazidi hata wa mbwa kwa mmiliki wake, mbwa kokote ukimnyooshea kidole huwa anakwenda ila kuna wakati akiona anakonyooshewa kidole hakueleweki anatulizana.