Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals
Ndio habari za operation yenu hii Ukraine anzisha uzi brotherView attachment 2350883WAKATI KIBABU KISHENZI BIDEN KIKIMWAGA MISAADA YA KIJESHI NA YA KIVITA HUKO UKRAINE ONA HALI ILIVYO NYUMBANI KWAKE LOS ANGELES WATU HAWANA MAKAZI.
Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals
Kwani kuna ubaya nikipost humu mkuu?Ndio habari za operation yenu hii Ukraine anzisha uzi brother
Lete habari za frontline yenu mnasonga mbele au nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kuna ubaya nikipost humu mkuu?
Poa nazileta muda c mrefu kiongoziLete habari za frontline yenu mnasonga mbele au nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni nchi ndogo sana kwa Russia na siyo kwa uingereza.Ukraine Ni nchi ya pili kws ukubwa kieneo katika bara ulaya. Unasema nchi ndogo kweli?
Kazi nzuri [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kharkiv region hii bendera ya super power wa mchongo imeshushwa imepandishwa ya Ukraine ni ukombozi tu
Hao wazamiaji ,mmarekani ukiwa RAIA halali hukosi pa kuishi,wala kula ,tatizo kule wazamiaji weng alafu siyo waaminifu hivyo hata kupewa kaz za vibarua inakua ngumu,ila kama una documents halali hukos pa kuhemea mkuu sure I tell uView attachment 2350883WAKATI KIBABU KISHENZI BIDEN KIKIMWAGA MISAADA YA KIJESHI NA YA KIVITA HUKO UKRAINE ONA HALI ILIVYO NYUMBANI KWAKE LOS ANGELES WATU HAWANA MAKAZI.
Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals Los Angeles County homeless jumps to more than 69,000 people, count reveals
Mkuu now wamehamisha magoli wanasema hata mkikomboa hiyo miji hamtadumu,hahaaaaaMlikuwa mnauliza vijiji vingapi Ukraine amekomboa mpaka sasa.Ulizeni tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2350897
Washakimbiana siwaoni leo wanasaka articles hakuna inayoeleweka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu now wamehamisha magoli wanasema hata mkikomboa hiyo miji hamtadumu,hahaaaaa
Washakimbiana siwaoni leo wanasaka articles hakuna inayoeleweka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kakwambia tumekimbia ,we unafikir jeshi lote tumepeleka Kherson, hapa tnaua ndege 2 kwa wakat mmojaKWANI VIPI KULE KHERSON SI ILIKUWA KAMA IVI ILA MWISHO WA SIKU MMEKIMBIA NA COUTER OFFENSIVE IKAISHIA HAPO.SASA MPO KHARKIV,MSIJISAHAU NAPO KUWA WARUSI SIO WAJINGA KUTELEKEZA UWO MJI.MUDA UTAONGEA
Hizi ni porojo za alinacha.Ushahidi wa the West umethibitishwa kwa personnel wa nchi za Magharibi kukamatwa,matamshi ya viongozi wa nchi hizo kusema wazi wanasaidia na hata vifaa vyao kukamatwa maeneo ya mapambano!Na wewe lete uthibitisho kama huo.[emoji1][emoji1][emoji1] ona sasa ubongo wako umecheza,kwani kushiriki vita ni hadi hizo nchi zitume majeshi Ukraine? Hao mbuzi wanamsupport Russia waziwazi kabisa wengine wametoa hadi ofa ya wanajeshi,drones feki [emoji1] wengine wameruhusu majesh ya Russia kupita kwenda Ukraine halafu unajifanya haujui? Pro Russia mnatia aibu na huruma kwa kweli