Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ni mimi muhanga wa TOZO.Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.
Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.
Ni mimi muhanga wa TOZO.
Haya kalale uamke MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app