Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nani alikwenda frontline for body count ya wanajeshi wa Russia waliopoteza maisha - wanajitia o know bits and pieces kuhusu hasara wanayo pata jeshi la Urusi lakini hawazungumzii chochote kuhusu idadi ya vifyo ya wanajeshi wa Ukraine - what does that tell you? Ni obvious stories are made up for poliical reasons, na sijui hilo linawasaidia nini katika war effort zao, inachekesha sana.
Hahahaha....inachekesha kweli Mkuu maana tangu March Russia hajatoa idadi ya wanajeshi waliokufa na huu ni mwezi wa September tunaelekea October wakati huohuo anatoa wafungwa gerezani na kubandika mabango mitaani watu waende kupigana vita. Kama Mtu mwenye akili timamu unadhani hiyo inaashiria nn?!

Juzi hapa Putin Katia saini decree ya kuongeza wanajeshi 137,000 kwenye jeshi.
 

Putin confirms he is using country’s vast energy reserves as leverage to force EU to drop economic sanctions​

Friday, September 09, 2022

Russian President Vladimir Putin has finally acknowledged what only a few seasoned geopolitical observers have known for months now: He is using his country’s enormous fossil fuel reserves to extract diplomatic concessions from the European Union, most notably, to have crippling economic sanctions that have been imposed on his nation dropped.
Two days after Russian officials announced they were shutting down the Nord Stream 1 pipeline due to a puny oil leak, Russian officials — with Putin’s permission, of course — admitted that the energy shutdown was intentional and came with a purpose. Over the weekend, Putin’s spokesman, Dmitry Peskov, said that the pipeline will remain closed until sanctions imposed on Russia following its invasion of Ukraine by the U.S., Canada, and the “collective West” are lifted.
“The problems pumping gas came about because of the sanctions western countries introduced against our country and several companies,” Peskov said, as he was allegedly quoted by the state-run Interfax news agency. “There are no other reasons that could have caused this pumping problem.”
Zero Hedge reported further:
Peskov’s comments were the most stark demand yet by the Kremlin that the EU roll back its sanctions in exchange for Russia resuming gas deliveries to the continent. It also confirms that Russia no longer needs to pretend it needs to export commodities to Europe – after all it has more than enough demand in China and India – and is willing to give Europe just enough rope to… well, you know the rest.
Russian state-owned oil giant Gazprom announced late last week that gas supplies through Nord Stream 1 would be halted due to a technical problem, which was blamed on the difficulties of repairing German-made turbines in Canada. But that was simply a straw man; the real deal is that Putin is tired of playing around and wants the sanctions lifted from his country sooner rather than later. And he’s apparently willing to allow millions of Europeans to start freezing to death in several short weeks as winter’s chill begins to set in. Short of that, there is also a belief that Putin’s move is part of a “gray zone” warfare strategy to stoke unrest and instability on the European continent, which would also likely force the hands of EU leaders to drop the sanctions.
In the interim, EU leaders have accused Putin of “weaponizing” energy exports, which of course it most certainly has. That’s the point, though; actions that don’t cause Europeans any pain, economically or otherwise, are pointless diplomatic exercises that won’t produce the desired result of reviving the Russian economy.
Interestingly, Russia is still supplying natural gas to Europe — via Soviet-era pipelines that run through Ukraine and one, South Stream, that transits Turkey. There is also no shortage of irony here: The head of the Ukrainian gas transit operator told reporters last week that technically, he could make up all of the lost NatGas from Nord Stream 1, which means that Europe will continue to pay Putin billions of dollars per month for gas that flows through Ukraine, which gives Putin hard currency to continue his invasion…of Ukraine.
The big question mark now, however, is how long European leaders will hold out. That will increasingly depend on how restive and unstable EU countries become. As NatGas and other fossil fuels become more scarce they will become more expensive and it will become harder for ordinary Europeans to heat their homes, power their economies, and fuel their businesses. And the harder that becomes the more unrest there will be.
Matteo Salvini, the leader of Italy’s far-right League party, said this weekend the sanctions aren’t working and are actually harming Europeans more.
“Do we have to defend Ukraine? Yes,” Salvini said. “But I would not want the sanctions to harm those who impose them more than those who are hit by them.”
EU Commission President Ursula von der Leyen, tone-deaf as ever, tweeted that the EU “will prevail” while urging Europeans to suck it up even more than they already have.


Sources :
ZeroHedge.com
NaturalNews.com
So sanctions are working.....
 
Kwa kuwa ni habari inayokupendeza na imeletwa na pro Russia wenzio basi unakuwa mwepesi kuamini bila hata kuuliza chanzo Cha hiyo habari

Lakini ukiletewa habari usiyopenda na kuwekewa kabisa chanzo Cha habari utakomaa na neno " propaganda" mpaka mwisho

Look 'am not an avarage Joe -gotta lotta friends and highly knowleagable people in Continental Europe wanao nipatia habari zenye uhakika - sio lazima ukubaliane na maoni yangu hata kidogo, kwa nini mnaonekana kukwazika sana sana members wengine wanapoleta maoni mbadala, mnakasirika kweli kweli - msitake kulazimisha watu kufuata mkumbo!!
 
So sanctions are working.....
Who is being hurt more has always been the question.Nobody has ever said the sanctions don't hurt Russia,surely they do.If you have to search for new markets for your commodities and new sources for your supplies, that takes time.That in itself is an inconvience isn't it.This further implies that new trade deals have to be made which may take time to finalize which may mean reduced revenue for some time.So the sanctions in some way have indeed hurt Russia,nobody denies that,but not in same magnitude as they have done to Europe.Europe is now obviously collapsing.
 
Nani alikwenda frontline for body count ya wanajeshi wa Russia waliopoteza maisha - wanajitia o know bits and pieces kuhusu hasara wanayo pata jeshi la Urusi lakini hawazungumzii chochote kuhusu idadi ya vifyo ya wanajeshi wa Ukraine - what does that tell you? Ni obvious stories are made up for poliical reasons, na sijui hilo linawasaidia nini katika war effort zao, inachekesha sana.
Oky basi sawa. Russia hajapoteza wanajeshi wamekufa kumi na tano tu if that could comfort you.

Ila mkuu una mahaba sana na Russia mpaka unapoteza uwezo wako wa kufikiri linapokuja suala la Russia loss.
 
Mi Pro Russia na sitabadilika na nina imani ya Russia kushinda maana
1. Anapigania kwa adui anaweza kuleta uharibufu na kuondoka.
2. Anatumia bado ile SMO
Ila lazima nikubali kuwa sasa hawa Ukraine au Pro Nato wanafanikiwa japo wanachanganya na uongo ila ukweli upo.

Hii hapa kutoka vyanzo vya Russia yetu.


[emoji635][emoji1255] Today and the next few days we will not receive the most joyful news, and crests will dump gigabytes of photos and videos from the settlements we left behind. Kupyansk has been abandoned and, in fact, we cannot hold out on the right bank of the Oskol River now. I will say this, the decision to withdraw our troops is a military necessity that has prevailed over political expediency, and we must pay tribute to the fact that he who gave the order to withdraw showed courage.

The overslept counteroffensive of the Armed Forces of Ukraine in the Balakley-Izyum sector, the state of the troops in this area, the lies in the reports to the top, let those who are supposed to deal with all this. I repeat, in the current conditions, an organized withdrawal is the only right decision. And thank God that despite serious territorial losses, our losses in personnel are very small, especially considering the scope of the operation.

In our history, there were the most difficult defeats, after some we became stronger and repaid the enemy a hundredfold, after others, the country itself slipped into disaster. The main thing now is to understand that the Izyum-Balakley battle is Narva, and not Tsushima or Mukden. No need to sprinkle ashes on your head, look for traitors and build conspiracy theories. Such searches lead to a false path, which not only does not correct mistakes, but also aggravates them. We must calmly analyze what happened and realize that there is a difficult war with a strong enemy.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hahaha CGI generated?! Halafu Daraja Lina matundu balaa mpaka sasa ni unusable kwa Russia mpaka wanatumia ferry. Huoni km unajitekenya halafu unacheka mwenyewe Mkuu!!!!!
Yaani unapoteza muda kuwajibu?

We andika

Kaa kimya

Waache watape tape wenyewe
 
Hahahaha....inachekesha kweli Mkuu maana tangu March Russia hajatoa idadi ya wanajeshi waliokufa na huu ni mwezi wa September tunaelekea October wakati huohuo anatoa wafungwa gerezani na kubandika mabango mitaani watu waende kupigana vita. Kama Mtu mwenye akili timamu unadhani hiyo inaashiria nn?!

Juzi hapa Putin Katia saini decree ya kuongeza wanajeshi 137,000 kwenye jeshi.

Msiwe mnasema mambo bila ya kuyatafakari kiundani kwanza - kitu wanajeshi wanao pigana kusini mashariki mwa Ukraine ni wachache sana - majority ya wapiganaji ni Ukranians wenye asili ya Urusi wanao
Ile ferry iliyokua spotted na satellite wiki hii ikivusha wanajeshi na vifaa vya Russia imezamishwa Leo.

HIMARS kiboko @bukyanangadi zile S300 zilikua wapi kutungua Himars rocket like flies mpaka hii ferry ikazamishwa?!



Nawaulizeni kila siku mna uhakika gani kama habari hizo ni za kweli - Ukraine na wafadhili wao ni mabingwa sana kutunga stories na kutumia software ku-manufacture virtual videos na kuzisambaza as if ni real thing, baadhi ya members wanakuwa carried away na usanii huu sijui kwa nini??

Unaweza kutengeneza video clip inayo onyesha missiles au ndege ya kivita ikishambilia adui missiles zinalipuka on impact unaona kabisa moshi mweupe/black/ pink au blue kutegemea unacho taka watu wakione-majengo/madaraja/vifaru vinalupuliwa artfically na ki ukweli wala havipo kabisa - clip nzima ni ya kubuni tu kwa malengo fulani ya kutangaza biashara ya kuuza silaha kwa kusimema vibaya silaha zinazo uzwa na mshindani mwenzako na hiki ndicho kinaendelea huko Ukraine - kuonyesha jinsi S-300/400 zinavyo zulipuliwa na American supplied AGM-88 anti radiation missiles - uongo mtupu !!

Cha ajabu media za magharibi hazizungumzii chochote kuhusu madaraja yanayo vunjwa na Russian airforce, Ukraine Air defense systems zilizo kwisha lipuliwa na Russian anti Radiation missiles (au mnafikiri Warusi hawana!!), idadi ya ndege na vifaru vilivyo kwisha haribiwa na jeshi la Urusi, POW wa Ukraine ambao wamechukiliwa mateka na jeshi la Urusi nk, hayo hawayesemi kabisa kabisa.
 
Kiufupi mtu anayesifia hizo system huwa nashindwa kumuelewa.

Ukraine analipuwa depot za silaha kila siku hayo madaraja ndio usiseme hapo hujataja hizo system zenyewe zinapigwa asee sijui point gani zinatumika kuzisifu hizo s-300, 400.
Mapenzi tu na mahaba yanawasumbua
 
Hahahaha.... "bringing down HIMARS rockets like flies" wakati maghala yake ya silaha kila siku yanalipuliwa na hizohizo HIMARS. Madaraja na pontoon bridge ambazo kila akijaribu kujenga apitishe supplies zinalipuliwa na HIMARS halafu Leo unakuja kuzihype hzo obsolete defense system!!!!
Ukraine juzi imekiri kuishambulia Saki airbase pale Crimea kwa maroketi na Makombora,hizo S300 na s400 zilikua wapi?! Embu fikiria kambi kubwa kama Saki inapigwa Makombora na kuharibu ndege za kijeshi karibu kumi. Tatizo unasikiliza Sana daily briefing za warusi maana siku hizi kila wakitoa lazima waseme wamedondosha Himars wakati mambo Kwa front lines ni tofauti.

Nina video air defenses za Urusi zikihangaika kudaka Makombora ya HIMARS lkn zikashindwa,Yani walirusha Makombora 24 kudaka Himars 6 tu.

Hapa umedanganya ni issue ya mahesabu kuwa kama atapiga huenda zikatunguliwa , probablily. Huu sasa ni utabiri tu. Ni ramli

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji1255] The Armed Forces of Ukraine arranged a cemetery for themselves and their equipment in the gut in the Kherson-Nikolaev direction, today the pilots finished off the survivors there, this is good, against the backdrop of news from the Kharkiv region.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Napost hii nikiwa sina furaha mi kwa kweli sitaki NATO na ushoga wao na kuwapangia watu maisha upate ushindi.
Hii SMO Russia aachane nayo . Iwe full War michezo uishe. Tuache kutumia timu B hii game. Mi kama mshauri wa PUTIN bila kujali watu wengine bado wanaingia mtu apigwe round 1na sekunde 1. Watu watoke nje kwa kazi zingine

[emoji635][emoji1255] We are leaving most of the Kharkiv region. This is a military disaster. We are severely underpowered. The only thing that will improve the situation is the declaration of WAR to Ukraine, the introduction of martial law and mobilization. In the near future, and better - TOMORROW.

Nothing else will help, it's already obvious. I have no other words for you.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Oky basi sawa. Russia hajapoteza wanajeshi wamekufa kumi na tano tu if that could comfort you.

Ila mkuu una mahaba sana na Russia mpaka unapoteza uwezo wako wa kufikiri linapokuja suala la Russia loss.


Hii ni vita mkuu, hakuna popote nimewahi kusema kwamba Russia haipati hasara au wanajeshi wake kuuwawa, lakini wanapokuja watu hapa na kidai eti Urusi imekwisha poteza wanajeshi 140,000 hayo ni nambo ya kutunga tu.
 
Napost hii nikiwa sina furaha mi kwa kweli sitaki NATO na ushoga wao na kuwapangia watu maisha upate ushindi.
Hii SMO Russia aachane nayo . Iwe full War michezo uishe. Tuache kutumia timu B hii game. Mi kama mshauri wa PUTIN bila kujali watu wengine bado wanaingia mtu apigwe round 1na sekunde 1. Watu watoke nje kwa kazi zingine

[emoji635][emoji1255] We are leaving most of the Kharkiv region. This is a military disaster. We are severely underpowered. The only thing that will improve the situation is the declaration of WAR to Ukraine, the introduction of martial law and mobilization. In the near future, and better - TOMORROW.

Nothing else will help, it's already obvious. I have no other words for you.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
MKUU hii SMO itaendelea kama inavyoendelea
Nahakuna kitakacho shindikana kwa RUSSIA
Malengo lazma yafikiwe RUSSIA haiwezi ikatangaza vita na UKRAINE
SMO yaendelea vyema kama ilivyopangwa MKUU
Kua na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.

Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.

Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.

Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
Mchango huu haukuwa wa bure. Ilikua ni njia ya kujipatia uunganiji mkono wa sera ya ujamaa. Ulipokua unapewa msaada huu shariti lilikua baada ya kupata uhuru ilitakiwa ujiunge ujamaa ndo lilikua shariti no Moja. Lakini Leo misaada inayotolewa na west Africa ni mikubwa had mara 50 ukilinganisha na misaada ya Urusi afrika
 
Tupatie ushahidi wa uhakika kwamba wamekomboa jimbo fulani.
Ushaidi. , Ushaidi. , Ushaidi..ni ushaidi gani unataka? Nikisema aljazeera wamesharipoti kuhusu majeshi ya Ukraine kusonga mbele na kukomboa maeneo.., unasema propaganda.., tukiwaambia BBC..,bado mnasema propaganda.., CNN bado utasema propaganda

Video mkiletewa mnasema zimeeditiwa,..,
Kuna picha na video ya lutein kanali amekatwa na jeshi la Ukraine Bado mnasema ni propaganda,

Habu niambie..,unataka ushaidi gani hasa ndugu [emoji848]
 
Back
Top Bottom