Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hata huo wawazungu pia haiji bure bureMchango huu haukuwa wa bure. Ilikua ni njia ya kujipatia uunganiji mkono wa sera ya ujamaa. Ulipokua unapewa msaada huu shariti lilikua baada ya kupata uhuru ilitakiwa ujiunge ujamaa ndo lilikua shariti no Moja. Lakini Leo misaada inayotolewa na west Africa ni mikubwa had mara 50 ukilinganisha na misaada ya Urusi afrika
Eidha ukubaliane nao na takwa lao kuu lakuunga mkono ushoga na usagaji na sheria zao nyengine zakishenzi kama kutoa mimba nk
Au ukubaliane nao juu ya kuzuia ushawishi wa RUSSIA na UCHINA hapo nchini mwako
Bado RUSSIA namisaada yake kidogo anayotoa ni afadhali zaidi yayeye kuliko hao wajinga walokua wakiongozwa na mja walaana elizabeth wapili
Mungu amlaze mahala pema motoni amiin
Sent using Jamii Forums mobile app