Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Huyo bwana kwakujikataa hapa jf nahisi ndio topJamaaa amejikataaaa sio yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesikia toka wapiNasikia military service men wa ukraine hawazidi hata 10,000 , ila russia ni more than 50,000 na ratio ina depict 1:10 sasa hvi vi-news vya kuwa 2000+ UAF, have been killed in the last 24hr je kuna ukweli ??? Au. Tuendelee kuangalia. Miji ikirudishwa kwa kupandisha bendera daily ??
Jamaa wanapewa kipigo mpaka wanasahau silaha,Fake video tazama silaha walizo acha warusi baada ya kukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silaha tunazo wapa Ukraine mnaziweka kwenye kundi lipi? Je idadi yake mnayo? Je mnajua kama silaha tunazompa Zelensky zikiwafikia zinahesabika ni zao? Hiyo ina maana kwamba zikiharibiwa ni Majeruhi wa Ukraine na sio sisi. Je, unafahamu hilo?
Ikiwa ndio, Kwa hivyo ni nini hoja yako hapo?
Kwangu takwimu walizotoa Urusi, naweza kusema hazipo sawa kwani ni chache. Hiyo ni nyingi kama vile tulivyotarajia. Kitu nilichogundua kutoka kwa adui yetu(Urusi) ni kwamba, Urusi haipendelei kutoa data kamili ya majeruhi wa Ukraine. Wanaendelea kusema machache, yote kwa sababu nadhani kutafuta taswira ya "operesheni ya kijeshi" kwa ulimwengu.
Wachache wetu, nakubali juu ya hili, tunajua haswa hali ya Ukraine ni Kuzimu Duniani. Majeshi yetu yameharibiwa kwa kiasi kikubwa lakini upande wa adui unaendelea kuchapisha hasara ya vifaa vya vifaa vya kijeshi, inashangaza kwamba huwa hawachapishi mengi kuhusu kifo cha askari wetu kama vile sisi.
Tulikuwa na askari wa miguu kati ya 600k hadi 800,000, Wataalamu walisema tumepoteza zaidi ya 70% ya jeshi letu bado Urusi ikiweka idadi ya chini iwezekanavyo hadi 45k. Je ni kweli 70% ya 600k hadi 800k na 45k?
Kwa watu wanaofikiri vyema, ni vigumu kupata makosa kwenye data ya Kirusi kama unaendeshwa na huba nyingi au chuki nyingi.
Namalizia kwa kusema kwamba, data za adui yetu (Urusi) zipo chini ya uk
Hili swala humu lime kuwa kubwa sana kiasi yaani utitiri wa mambo ya kitoto umekua mkubwa mpaka tumepoteza hali halisi ya dira ya Uzi huu ,Kuna watu kama akina galip walikua wakitema madini konki tupu japo wapo baadhi waliobaki ila hats hao wamepunguza morali ya uandishi,.Pro NATO. hawapendi kuambiwa kweli,hawa wanachukulia vita kama Moira wa miguu, pia kuna mdau aliesema watanzania wengi tuna matatizo ya akili nime mwunga mkono kwa wingi huo basis humu wamejaa na ndio wanao tusumbua humu.Tumieni busara wakati mwingine - kumbukeni vita hii si matumizi ya silaha tu, bali wanatumia vile vile propaganda za kujaribu kuwakatisha tamaa maadui zao - wanaleta picha na video clip fake kujaribu kuhadaa wanajeshi wa Urusi na Dunia - na nyinyi mnaigia kwenye mtego kichwa kichwa kwa ku-copy na ku-paste habari fake tu, na wala hamlishukii hilo, yaani hamna habari kwamba wanao onekana hapo ni waigizaji wa Ukraine wanajifanya ni wanajeshi wa Urusi, kumbeee...
Alafu ikawajeWalikuwa wanajaribu kuleta silaha frontline hiyo convoys tumeteketeza yote
Truth is a matter of perception. Pro Nato pro Russia wote hapa kila mtu anajitapa.Hili swala humu lime kuwa kubwa sana kiasi yaani utitiri wa mambo ya kitoto umekua mkubwa mpaka tumepoteza hali halisi ya dira ya Uzi huu ,Kuna watu kama akina galip walikua wakitema madini konki tupu japo wapo baadhi waliobaki ila hats hao wamepunguza morali ya uandishi,.Pro NATO. hawapendi kuambiwa kweli,hawa wanachukulia vita kama Moira wa miguu, pia kuna mdau aliesema watanzania wengi tuna matatizo ya akili nime mwunga mkono kwa wingi huo basis humu wamejaa na ndio wanao tusumbua humu.
MORE THAN , AFUU HUKU TUKIONA MIJI IKIRUDI KATIKA UDHIBITI WA KYIEV MHHH HUMU KUNA UNAFIKI MWINGI SANA ASEEEEEEEEEEE⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
📄Part 1 (Read part 2)
▫️ Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.
💥 The Russian Aerospace Forces, missile forces and artillery are launching precision strikes on AFU units and reserves in the Kharkov region.
▪️ The strikes has resulted in the elimination of the military personnel and military equipment of the units of the 14th and 92nd Mechanized Brigades of the AFU in the areas of Staroverovka, Chuguev and Volosskaya Balakleya, the 113th Territorial Defense Brigade in Novaya Vodolaga, as well as the deployment point of foreign mercenaries near Klugino-Bashkirovka.
▫️Enemy losses were over 200 servicemen and more than 20 military equipment.
In addition, during the day, concentrated fire strikes destroyed Armed Forces of Ukraine units in the areas of Pristin , Boldyrevka, Sinikha, Beloye, Komarovka, Gorokhovatka, Kupyansk, Senkovo and Podvysokoye of Kharkov region.
▪️More than 250 Ukrainian servicemen, 12 units of armored vehicles, three field artillery guns, one multiple-launch rocket system and 17 motor vehicles were destroyed.
💥On the Nikolayev-Krivoy Rog direction, high-precision missile strikes by the Russian Air Force destroyed a temporary deployment point of units of the 36th Brigade of the AFU Marine Corps near Nikolayev. More than 100 servicemen and 15 units of motor and armored vehicles of the enemy were lost.
▪️ In total, from September 6 to 10, the Kiev regime losses were more than four thousand dead and more than eight thousand wounded in these two areas alone.
💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.
💥 Iskander high-precision ground-based missiles struck manpower and military equipment of the 28th AFU Motorized Infantry Brigade during unloading at the railway station of Krasnoarmeysk in the Donetsk People's Republic.
💥In the area of Mirolubovka, Kherson region, the strikes of the Russian Space Forces has resulted in elimination of over 50 servicemen and 7 pieces of military equipment of the 60th Infantry Brigade of the Armed Forces of Ukraine.
◾️ Eight command posts of the AFU, including the headquarters of the 93rd and 24th Mechanized Brigades in the areas of Artyomovsk and Raigorodok of the Donetsk People's Republic, the command posts of Battalions of the 1st Tank, 59th Motorized Infantry Brigades, 60th Infantry Brigade and the 35th Marine Brigade in the districts of Kalinovskoe, Maryanskoe of Dnepropetrovsk Region, Kaluga of Nikolayev Region and Belaya Krinitsa of Kherson Region, as well as 43 artillery units, enemy manpower and military equipment in 103 areas were destroyed.
💥Munition depots at Nikolaevka in the Donetsk People's Republic and Voznesensk in the Nikolayev region were destroyed.
💥A radio detection and ranging station in Staraya Bogdanovka, Nikolayev region, was destroyed.
💥Russian air defence forces shot down an Mi-8 helicopter of the Ukrainian Air Force near Ugledar in the Donetsk People's Republic.
💥Four unmanned aerial vehicles were also shot down in the air of Tomina Balka (Kherson region), Snigiryovka (Nikolayev region) and Kirillovka (Donetsk region).
Two Tochka-U ballistic missiles and two American HARM anti-radiation missiles were shot down in the air near the village of Udy, Kharkov region.
💥In the area of Novaya Kakhovka, Kherson region, 12 shells of the US-made HIMARS multiple rocket-launch systems and nine shells of the Olkha rocket system were intercepted.
📊In total, 293 aircraft and 153 helicopters, 1,933 unmanned aerial vehicles, 374 anti defence missile systems, 4,883 tanks and other armored combat vehicles, 831 combat vehicles equipped with MRLS, 3,378 field artillery cannons and mortars, as well as 5,469 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Nasikia military service men wa ukraine hawazidi hata 10,000 , ila russia ni more than 50,000 na ratio ina depict 1:10 sasa hvi vi-news vya kuwa 2000+ UAF, have been killed in the last 24hr je kuna ukweli ??? Au. Tuendelee kuangalia. Miji ikirudishwa kwa kupandisha bendera daily ??
Hili swala humu lime kuwa kubwa sana kiasi yaani utitiri wa mambo ya kitoto umekua mkubwa mpaka tumepoteza hali halisi ya dira ya Uzi huu ,Kuna watu kama akina galip walikua wakitema madini konki tupu japo wapo baadhi waliobaki ila hats hao wamepunguza morali ya uandishi,.Pro NATO. hawapendi kuambiwa kweli,hawa wanachukulia vita kama Moira wa miguu, pia kuna mdau aliesema watanzania wengi tuna matatizo ya akili nime mwunga mkono kwa wingi huo basis humu wamejaa na ndio wanao tusumbua humu.