nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,225
Mkuu Izium ilishafall muda wanajeshi wa Urusi walikimbia wakaacha vifaru na mizinga,Leo Ukraine imechukua Hoptivka,wapo karibu na mpaka wa Russia. Usione Putin anarusha Makombora kwenye matransfoma burebure ni hasira kapoteza maeneo aliyoyapigania miezi karibu sita ndani ya saa 72.Endeleen kukata umeme mjimalize wenyewe.
the Russian army was fighting without enough night vision goggles, flack jackets, first-aid kits or drones. A few hundred miles away, Ukrainian forces retook the Russian military stronghold of Izium, continuing their rapid advance across the northeast and igniting a dramatic new phase in the war.
The guardian news
HahahaMkuu Izium ilishafall muda wanajeshi wa Urusi walikimbia wakaacha vifaru na mizinga,Leo Ukraine imechukua Hoptivka,wapo karibu na mpaka wa Russia. Usione Putin anarusha Makombora kwenye matransfoma burebure ni hasira kapoteza maeneo aliyoyapigania miezi karibu sita ndani ya saa 72.
Huyu bwana Novichok itamhusu au tutasikia ameanguka toka ghorofaniChawa wa Putin akili imeanza kuwaingia sasa
Huyu Shoigu hakupitia hata jeshini huo uwaziri wa Ulinzi sijui hata kaupatajewanamind huko kwe blog zao wanataka shoigu atimuliwe
Aiseee yani hawa jamaa wamefanya repair ndani ya saa 24 wanawashinda hata Tanesco ambao hawako vitani,transfoma likibuka mnaweza kaa hata siku mbili bila Umeme na nchi imetuliaa hakuna hata risasi inayorindima mtaani[emoji779]️Ukraine Suffers Massive Blackout After ‘Russian Strikes’
Multiple regions of southeastern Ukraine suffered electricity shortages and blackouts late on Sunday.
President Vladimir Zelensky has said the cause was missile attacks by Moscow on “critical infrastructure.”
So, far Moscow has remained silent on the matter, neither confirming nor denying its involvement. Still, the incident has been preceded by a reported launch of multiple cruise missiles from Russian ships positioned in the Black and Caspian Seas.
Subscribe to RT
Baada ya kushindwa mnaanza kuchafua jukwaaAlisikika Pro Ukraine mmoja baada kujikuta gizani View attachment 2354294
Sio vijiji Mzee walikua wanasema centimetresHIZO HIMAS ZIMEKOMBOA VIJIJI VINGAP MPAKA SASA? ALISIKIKAGA PRO RUSSIAN MMOJA HIVI ,HAAHAAAA
Kwanini alijiondoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiji la liman ambalo urusi ilijiondoa juzi teyaqi
si washkaji zake putinHuyu Shoigu hakupitia hata jeshini huo uwaziri wa Ulinzi sijui hata kaupataje
Hasira za miji kurudi mnamalizia dawasco na tanesco[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alisikika ripota wa Ukraine toka Timbuktu baada ya kuvuta bange na kokaineWamekimbia wameacha silaha zao za mwaka 47 sidhani kama Ukraine atazitumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2354301
Mzee hujui Geopolitics. Sitaki kuanza kubishana na mtu asiyejua Geopolitics. Nchi ambazo zinapingana na Urusi zilizokuwa kwenye Soviet Union ni nchi zilizo ulaya.hizo ni habari za mtaani ila kama unafuatilia mambo utakua unajua kuwa rais wa kazakhstan alishaongea wazi tena akiwa kwenye nkutano na putin kuwa nchi yake haisupport uhuru wa hayo majimbo urusi ilyovamia ikisema yako huru, kazakhstan inaanza ujenzi wa bomba jipya la mafuta ambalo litakuwa halipiti kwenye ardhi ya urusi unajua sababu ni nn? pia wameingia mkataba na turkey kuanza kuzalsha drone km zile anazotumia ukraine unajua kwann? au umekariri, unajua kwann urusi aliichuni armenia hapa juzi mpk ikapoteza nagoro karabakh kwa azerbaijana? au unaish kwa kukariri tu ukiona putin na xi wanachekeana unajua wanaenda sawa kila kitu
Hasira za miji kurudi mnamalizia dawasco na tanesco[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]