Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu Izium ilishafall muda wanajeshi wa Urusi walikimbia wakaacha vifaru na mizinga,Leo Ukraine imechukua Hoptivka,wapo karibu na mpaka wa Russia. Usione Putin anarusha Makombora kwenye matransfoma burebure ni hasira kapoteza maeneo aliyoyapigania miezi karibu sita ndani ya saa 72.
 
Hahaha
 
Aiseee yani hawa jamaa wamefanya repair ndani ya saa 24 wanawashinda hata Tanesco ambao hawako vitani,transfoma likibuka mnaweza kaa hata siku mbili bila Umeme na nchi imetuliaa hakuna hata risasi inayorindima mtaani
 
Wamekimbia wameacha silaha zao za mwaka 47 sidhani kama Ukraine atazitumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Hasira za miji kurudi mnamalizia dawasco na tanesco[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Mzee hujui Geopolitics. Sitaki kuanza kubishana na mtu asiyejua Geopolitics. Nchi ambazo zinapingana na Urusi zilizokuwa kwenye Soviet Union ni nchi zilizo ulaya.
Kuna:
The Commonwealth of Independent States (CIS)

The Collective Security Treaty Organization (CSTO)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…