Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hata mbio ni silaha wakati mwingine vitani ... Ni kama walivyomuwekea vikwazo ....Ndio hivyo mkuki haupigwi konzi....kwa nini Putin atumie njia hii pamoja na ile ya kuzuia kusambaza kwa vyakula duniani?
baba mziki ni wa hatari, Mrusi anazidi kurudi nyuma !! ushauri tu jamaa aachane na hii kitu.Siku Tano wametwaa blyanklia, kupyansk,na izium..,nk nk
Siku Tano kwa izium pekee, umewapendelea sana[emoji17][emoji17][emoji17]
mbinu za kutumia binadamu si nzuri, ni sawa na kumpa chakula mtu mwenye njaa kali with conditions. kwa kifupi tu hatafanikiwa.Hata mbio ni silaha wakati mwingine vitani ... Ni kama walivyomuwekea vikwazo ....Ndio hivyo mkuki haupigwi konzi....
kauli za mataifa madogo madogo haya !! hungary ?? aingie vitani kumsaidia mwenzakeSpeaker of the Hungarian National Assembly Laszlo Keverm
Km 8300 ni kama kutoka Mwanza kwenda Dar mara nane. Basi Ukraine ni kubwa zaidi ya Afrika.Mbona huweki picha mkuuView attachment 2354714View attachment 2354715
Naomba nianze kwa kunukuu hivi:kwa nini Putin atumie njia hii pamoja na ile ya kuzuia kusambaza kwa vyakula duniani?
Hata hiyo 'sio' ulivyotumia ina walakini....tuendelee na kusudio la uzi huu...my message sent...Unaamua kupotezea sio? Nimekufahamisha tu siku nyingine usirudie kukosoa watu kwa makosa ya kawaida ya kiuadishi,
Labda kama tuko hapa kuandika imla
Huenda ni km za mrabaKm 8300 ni kama kutoka Mwanza kwenda Dar mara nane. Basi Ukraine ni kubwa zaidi ya Afrika.
Muwe mnajiongeza unapoongea na sisi
HahahahaHuku sisi umeme kukatika si mpaka bomu. Hata yowe tu za watoto wakitoka shule zinakata umeme. Tuna kazi ya kufanya kama nchi.
HahahahaMsemaji wa jeshi lao Leo hiiView attachment 2354708
Ni kilometa za mraba (8300 km²)Km 8300 ni kama kutoka Mwanza kwenda Dar mara nane. Basi Ukraine ni kubwa zaidi ya Afrika.
Muwe mnajiongeza unapoongea na sisi
Muandike kwa makini siyo kukimbiakimbia kama unafuatwa na IskanderNi kilometa za mraba (8300 km²)
Tik tok soldierRamzan Kadyrov said that he had prepared a surprise for the Armed Forces of Ukraine.
"Our fighters have prepared an interesting surprise for the Ukrainian gangs, which will soon become known. In the meantime, I will not reveal the cards. I will say that all the actions of the fighters are clearly planned. There are no deviations or emergency situations," the head of Chechnya wrote in his Telegram.
He also noted that "thanks to the courage, bravery and heroism of the Chechen power units, as well as well-established cooperation with the allied forces," the special operation in Ukraine is moving forward successfully
View attachment 2354854