Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Diplomacy serves the strongest....Mpaka sasa dunia ilikuwa chini ya west yaani USA na nchi makuwadi wake plus NATO. PUTIN is trying to change this, and I can say in earnest he is winning in this mission....If you remember UN iliikataza USA, NATO na west kutoishambulia Iraq, lakini kwa ujeuri mkubwa hiyo haikusaidia. Wakaishambulia Iraq wakamuua Sadam Hussein na kuisambaratisha Iraq nq qmbayo mpka sasa tunaweza kusema nchi hiyo haitawaliki....Kwa Libya ilikuwa hivyo hivyo wakamuua Mummar GADHAFI NA KUISAMBARATISHA lIBYA. Dgambi ya Saddam na Muammart haikuwa udikteta. Dhambi yao ni kutaka dollar isiwe fedha ya dunia na baadala yake nchi zote duniani zitumie vigezo vya dhahabu kama rate of exchange......Serbia nayo ilipigwa kwa kile kinachoitwa carpet bombing....Yaani mabomu yanarindima non stop na kupiga nchi and everything wakiwemo raia kwa kisingizio cha 'collateral damage' . Yaani ni unyama wa kutisha. Huko Ukraine PUTIN anafanya ubinadamu 'uliopitiliza' kwa kuwajali raia wakati wa vita. Milosevic wa Serbia naye alijkufa akiwa gerezani lakini inasadikiwa alililishwa sumu.

Diplomacy kwa dunia ya sasa haiwezi kufanikiwa kamwe mpaka unipolar world itokomezwe.
Hakuna seint Mataifa makubwa yote Yana pambana Kwa faida yao.mbonaa Husemi Russia ilivyo haribu maisha ya waAfganistan ilipo vamia na kuua raisi wao?haya Syria Hasad anapo omba msaada Kwa Russia unaatwa okomboz ila U.S anapo ombwa msaada anaitwa mchochezi?
Kuhusu Russia kujali maisha raia huo ni uwaongo mkuu jana wamelipua kituo Cha kufulia umeme huko khakvi
 
Overview of the situation in the north-east of the SMO zone.

For 4 days now, the enemy has been trying to break through the defensive line of the allied forces in the Liman direction. The Kyiv regime threw mechanized units into battle, which operate with the support of tanks. A crossing has been built across the Seversky Donets near Yapol, formations of the Kyiv regime are trying to cross the river, but are under constant artillery fire from the allied forces. Now Yampol and Krasny Lyman are in full control of our troops. The units of the Armed Forces of Ukraine are also increasing pressure in the area of Belogorovka not far from Seversk in order to pull part of the forces of the 2nd Corps of the LNR from Soledar, where the allies are operating successfully. The status of Svyatogorsk is not yet clear. But apparently the enemy managed to take control of part of the city. It should be noted here that even before the counteroffensive, Svyatogorsk was difficult to keep, since the enemy controlled the height on the left bank of the river.

The front line has also stabilized in the northeast of the SMO zone. Parts and formations of the Russian army, those that escaped the encirclement in Izyum and the reserves that were transferred by the Russian Ministry of Defense formed a defense line along the right bank of the Oskol River, and along the border with the Belgorod region. Kupyansk is divided into two parts, the western part is controlled by the forces of the Kyiv regime, the eastern part is controlled by the fighters of the Russian Army. Here, for now, the enemy is using rocket and cannon artillery. But it does not attempt to attack.
 
"mara kadhaa humu.."


hizo nukta mbili ulizoziweka mwisho zina maana yake.., matumizi yake umeyakosea hapa.

"na siyo 'siraha'..." (na sio siraha)

Mwisho ni kwamba hapa hatuko darasani kuandika " imla"

Aliyebuni kipengele Cha imla aliona wazi kwamba always tunafanya makosa mengi kwenye uandishi
Hahahahahaha.......Nadhani uendelee kujielekeza kwa 'Russia anapelekewa moto'🙂🙂🙂🙂
 
Msemaji wa jeshi lao Leo hii
saintjavelin-20220912-0001.jpg
 
Russian T-90 Tank Crews Capture Ukrainian Weapons & US-Made Equipment

The Ministry of Defense has published video of Russian tank units in action.

As a result of the combat work of T-90 tank crews together with motorized rifle units, three military vehicles were destroyed – two Ukrainian tanks and one US-made M113 armored personnel carrier.

Subscribe to RT
Mbona huweki picha mkuuView attachment 2354714
Screenshot_2022-09-11-18-19-18-685_com.gbinsta.android.jpg
 
Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.

Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.

Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.

Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Sasa hapo Russia inapambana na jeshi la Ukraine au Wanchi wa Ukraine?
 
UNAAMBIWA ULE MTAMBO WA KUZALISHA THERMAL POWER KWA JINSI JESHI LA URUSI LIMEUHARIBU. HAUWEZI KUREKEBISHIKA TENA

[emoji635][emoji1255][emoji298]It is reported that at the Kharkiv CHPP-5, the heat capacity workshop was destroyed, which cannot be repaired.
Afu mnasema Putin anajali raia pia halengi miundombinu ya kijamii?
 
Hahahahahaha.......Nadhani uendelee kujielekeza kwa 'Russia anapelekewa moto'🙂🙂🙂🙂
Unaamua kupotezea sio? Nimekufahamisha tu siku nyingine usirudie kukosoa watu kwa makosa ya kawaida ya kiuadishi,

Labda kama tuko hapa kuandika imla
 
Ukraine TG Channels zote ziko kimya hope ni kwasabab ya hyo black out.

Wenye power banks mtuazime tupeleke msaada ili tuendelee kupata updates za Urusi inavyochapika. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ingawa Urusi haijakana wala kukubali tukio hilo, kwangu mie nalitafsiri kama onyo kwa Kiev. Ni as if Russia anatoa ujumbe kua wanaweza fanya chochote mda wowote chenye madhara zaidi kwa Ukraine.

Kama jana hadi reli hazifanyi kazi, hizo reli pia tunajua ndio zinatumiwa na Ukraine kuingizia silaha kutoka west il kipindi chote hicho Urusi hakuwahi kuzuia.

Urusi amekuwa akifahamika kwa their rigid patience linapokuja swala la kidiplomasia, kitu ambacho of course kwa wasio elewa mambo huona kama udhaifu kwa Warusi. Bt indeed Russia ni powerful yet wako too much humble.

Je hiyo 'Move' ya jana inaashiria kubadilika kwa upole wa urusi? Wacha tuone.
Wapo bize wanakusanya silaha alizo acha Russia.afu izyamu kuiteka ilichua mwezi jamaa wanachukua Kwa siku Tano?
20220911_224602.jpg
20220911_134710.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-12-19-04-11-739_com.gbinsta.android.jpg
    Screenshot_2022-09-12-19-04-11-739_com.gbinsta.android.jpg
    36.5 KB · Views: 19
Wakuu

Kuna muhubiri mmoja hivi

Alisema Russia ndio hasa waisrael HALISI hao wengine tunaowajua ni feki kabisa!

Akasema Russia ndio atashinda vita!!naona dalili ndio hizo naziona!!

Japo Tanzania hatujaweka wazi tupo upande gani!nadhani USA ata mind kiaina!!madhara yake tutayaona kwenye afya hasa akikata msaada kwenye shirika La WHO hali itakuwa mbaya!

Tuisubiri!!
I'm sure huyo mahubiri ni miongoni mwa wale wahubiri wa ule upande, utasikia:, fulani na fulan ni devil worshipers wakubwa wa Degree 11😂😂.
Chief, achana na hao jamaa kwa ustawi wa akili yako.
 
Embu assume hivi, wakati wa winter ukibaki Kama wiki 2 hivi, halafu jamaa akaharibu mitambo yote ya kuzalisha umeme.. unafikiri Nini kitatokea?

Just fikiria hiyo scenario.
kwa nini Putin atumie njia hii pamoja na ile ya kuzuia kusambaza kwa vyakula duniani?
 
Wakuu

Kuna muhubiri mmoja hivi

Alisema Russia ndio hasa waisrael HALISI hao wengine tunaowajua ni feki kabisa!

Akasema Russia ndio atashinda vita!!naona dalili ndio hizo naziona!!

Japo Tanzania hatujaweka wazi tupo upande gani!nadhani USA ata mind kiaina!!madhara yake tutayaona kwenye afya hasa akikata msaada kwenye shirika La WHO hali itakuwa mbaya!

Tuisubiri!!
Sisi ni NAM. Wao wapigane tu wakiamua kukaa ni vizuri zaidi wakiendelea sawa. Hatuna upande. Ilishawekwa wazi na Balozi wa kudumu wa Tz UN na Balozi Mulamula Waziri wa Mambo ya nje.
 
Sisi ni NAM. Wao wapigane tu wakiamua kukaa ni vizuri zaidi wakiendelea sawa. Hatuna upande. Ilishawekwa wazi na Balozi wa kudumu wa Tz UN na Balozi Mulamula Waziri wa Mambo ya nje.
YAP.
 
Back
Top Bottom