Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
Una wazimu Ukraine sio kundi la vibaka kama ISIS Daesh , hizo fighter jets za kufanya hizo bombing atazipitia kwenye anga lipi ?
 
Mmeanza kufukuzana bado mapema hivi?😀
Screenshot_20220912-152724.jpg
 
Mkuu samahani, kwami wewe una exposure ya kiwango gani katika masuala ya silaha/makombora pampoja na war planning strategy - siku ulizi kwa nia mbaya.

Remember Russian Federation isn't a Banana Republic don't you forget that, any level headed person hawezi kulinganisha uwezo wa jeshi la Urusi na Iraq hata siku moja - dharau hizo ndizo one day zitakuja kuwa cost an arm and leg NATO specifically the USA, NATO can not play Rissian on their little finger and expect to get away with it.

FYI, Russian military gotta ways, means and Mega capabilities to tame entire NATO alliance with easy - mark my word.
Rubbish , mnabondwa na wanamgambo WA Ukraine mje mpambane na NaTo , au mnataka mgeuzwe majivu sekunde
 
Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
haya wacha tusubiri hio carpet bombing, miezi inakatika tu
 
tutatulia vipi mnalpua miundombinu ya maji banah nyie vipi?
Sasa msipotulia mnadhani mtaifanya nini RUSSIA eti MKUU
Nimawili au matatu lazma mkubali kukaa kimya moja kupiga kelele kwenye mitandao kama hv mbili na tatu kuwahimizi NATO wakaisaidie UKRAINE
La sivyo hamna lakuifanya RUSSIA ili isimamishe SMO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
URUSI ANAWAPELEKEA MOTO UKRAINE [emoji95][emoji95][emoji95]

[emoji635][emoji1255][emoji298]More than 300 Ukrainian soldiers were destroyed in the Nikolaev-Kryvyi Rih direction, up to 1,000 were injured - Russian Defense Ministry
Pumbav
Hutoi sources unaandika kama tupo kijiwe cha Kahawa ,idiot
 
Sasa msipotulia mnadhani mtaifanya nini RUSSIA eti MKUU
Nimawili au matatu lazma mkubali kukaa kimya moja kupiga kelele kwenye mitandao kama hv mbili na tatu kuwahimizi NATO wakaisaidie UKRAINE
La sivyo hamna lakuifanya RUSSIA ili isimamishe SMO

Sent using Jamii Forums mobile app
naona aljizuia kuharibu baadhi ya infustructures but now anaziharibu hii ni ishara kuwa huu mgogoro unaenda upande ambao hapo mwanzo haukufikiriwa
 
Back
Top Bottom