Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine TG Channels zote ziko kimya hope ni kwasabab ya hyo black out.

Wenye power banks mtuazime tupeleke msaada ili tuendelee kupata updates za Urusi inavyochapika. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ingawa Urusi haijakana wala kukubali tukio hilo, kwangu mie nalitafsiri kama onyo kwa Kiev. Ni as if Russia anatoa ujumbe kua wanaweza fanya chochote mda wowote chenye madhara zaidi kwa Ukraine.

Kama jana hadi reli hazifanyi kazi, hizo reli pia tunajua ndio zinatumiwa na Ukraine kuingizia silaha kutoka west il kipindi chote hicho Urusi hakuwahi kuzuia.

Urusi amekuwa akifahamika kwa their rigid patience linapokuja swala la kidiplomasia, kitu ambacho of course kwa wasio elewa mambo huona kama udhaifu kwa Warusi. Bt indeed Russia ni powerful yet wako too much humble.

Je hiyo 'Move' ya jana inaashiria kubadilika kwa upole wa urusi? Wacha tuone.
Jana na leo yake RUSSIA katoa dozi ila onyo tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwaambia vijana wetu kua US is fighting proxy war with Russia watapiga kelele. Taratibu tu wanaenda wanajisema. Hawa below ni New York Times [emoji41][emoji41][emoji41]

View attachment 2354421

[emoji631][emoji1255] American intelligence helped prepare the APU offensive near Kharkov, the New York Times writes.

The United States and Ukraine stepped up intelligence sharing in the summer. According to The New York Times, throughout the entire special operation, the United States provided Ukraine with information about command posts, ammunition depots and other key nodes of the Russian army.

Ukraine's decision to announce a counteroffensive in the south before striking in the northeast is a standard technique that the US military uses to disorient the enemy, the newspaper notes.
Hili mbona liko wazi kwamba Marekani anashare taarifa za intelligensia na Ukraine lkn mwenye maamuzi ya Mwisho ni Ukraine. Tangu vita inaanza Marekani na Uingereza wanarusha ISR planes na drones kwenye mipaka na Russia pamoja na Bahari nyeusi kuangalia mwenendo mzima wa wanajeshi wa Urusi ndo maana baada ya Himars kufika command posts za Mrusi zikaanza kupigwa Makombora baada ya kupata coordinates toka kwa hao mabwana wawili na hapo ndipo Rashia alipoanza kupoteana.
 
Putin aliivamia na kuitwaa kabisa Crimea 2014. Diplomasia na sanctions dhaifu havikuweza kuirudisha Crimea kwa Ukraine mpake leo. Inaonekana West nao wamechoka kufanya appeasement wameamua iwake tu.
Diplomasia kwa tyrants wakati mwingine huwa wanaichukulia kama ishara ya udhaifu.
Ni kweli
 
[emoji1126][emoji1099]Hungary may withdraw from the EU because of its position on anti-Russian sanctions.

This opinion was expressed by Czech Minister for European Affairs Mikulas Bek on the air of Radio Český rozhlas Plus.

Hungary does not follow the policy of anti-Russian sanctions.
Hahaaaa who the fuc*k cares , as long as mbuzi anakula kipigo , piga mbwa hizoooooooo
 
“We were on the streets when [the power outage] happened and as we were driving back to our location, everything was completely dark; there was not one light on. It was quite an eerie scene.”

Mamæ hapo satellite image iliyochukuliwa usiku inaonyesha Ukraine yote ni giza

Pro-NATO wanauliza mbona imefika J3 hawaoni maajabu?

Wewe nchi nzima iko gizani no power huoni tayari taifa liko katika wakati mgumu sana

Kusoma hujui hata picha

Putin wapeleke moto hao maLGBTQ [emoji95][emoji95][emoji95]
PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom