Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamani tuacheni double standards wakati mwingine Pro russia huwa siwaelewi sijui wana msongo wa mawazo?

Mapicha na video akileta mwenzao wanakausha na kulike bila tatizo mfano Jesus Mlokozi kaleta mapicha kibao na video bila source lakini akileta vunjo tena anaweka na source mnasema video game na makasiriko yanakuwa mengi.

Mkuu vunjo walete studio naona wanajisahau.😂

Hii aione Bukyanagandi mzee wa double standard.
 
China kuingia mikataba ya Ulinzi na Solomon Islands -(US amekuwa concern na ILA hajasema inahatarisha usalama wake), Amekuwa concern kwa sababu hivyo visiwa vinatumiwa na Australia pamoja na New Zealand kama kituo muhimu kufika sehemu mbalimbali ikiwemo US yenyewe.

China kutoa mikopo kwa Africa-US amekuwa concern na Africans wanaingia kwenye debt trap. Kuna tatizo gani US wakiwa concerns na Africa kuingia kwenye debt trap??Concern yao Inawazuia Waafrika kuendelea kukopa China?

Iraq alishambuliwa na nchi kuharibia kwa reasons ambazo Ni fake (US alikuwa concern na WMD, ambazo hazikuwepo)- Huu ulikuwa uvamizi wa hovyo na hata huko US kwenyewe kuna watu wengi wa kawaida na maarufu waliupinga.

Iran na North Korea kuwa nuclear na weapons -US amekuwa concern na anafanya kila awezalo ili kuhakikisha hawapata hiyo chance ya kuwa na hizo silaha kwa sababu Iran anatishia Israel, Qatar, Saudi Arabia na washirika wengine wengi wa US. Korea ya mwendawazimu Kiduku kila siku inatishia usalama wa Korea Kaskazini na Japan kwa kufyatua makombora hovyo karibu na nchi zao.

Huelewi mgogoro na vita vya Kosovo kujitenga na Serbia ndio maana unafananisha hiyo civil war na Crimea kuchukuliwa na Russia.

Je, kuna tofauti gani Kati ya Cuba Crisis na hii ishu ya Ukraine? Au ishu ya Taiwan ya US- kwanza Cuba Crisis ilikuwa na vita baridi ndani yake, pia Warusi walikuwa wanaenda kuweka makombora kwenye ardhi ya Cuba ambapo US alikuwa na ugomvi na serikali ya Castro tu(US haijawahi kuwa na mpango wa kuimeza na kuifanya Cuba sehemu yake kama Urusi inavyotaka kuimeza Ukraine kabisa ndio sababu unaona wamechukua Crime na eneo la Mashariki.
Taiwan ni nchi ambayo haitaki kumezwa na Wakomunisti wa China na imeona ijiegemeze kwa US kuzuia Wachine wasiichukue sasa hapo tatizo liko wapi?

US uchumi wake umeunganika sana na sehemu kubwa ya dunia, makampuni na watu wake wako Uarabuni, America Kusini, Russia, China, Africa, Australia, Ulaya na kila mahali kwa hiyo lazima atakuwa na concerns nyingi sana na Geopolitics zozote zitakazotokea duniani.
Hivi ni kwa Nini Russia au China akisema kwamba hili swala x y z linahathili national security yake inakuwa sio sawa kusema, sio kweli, wanaongea uongo, wanataka kuleta Vita etc.

Lakini hapo hapo US akisema kwamba wapo concern na swala flani kwa kuwa linahatarisha usalama wao, linakuwa Ni swala la kweli, US anaongea ukweli, lazima asikilizwe, lazima aachwe afanyalo ili kujilinda.

Kwa Nini nasema hivi...?

Chukulia mfano wa juzi hapa, China ameingia mikataba ya Ulinzi na Solomon Islands (US amekuwa concern na inahatarisha usalama wake)

China kutoa mikopo kwa Africa (US amekuwa concern na Africans wanaingia kwenye debt trap)

Iraq alishambuliwa na nchi kuharibia kwa reasons ambazo Ni fake (US alikuwa concern na WMD, ambazo hazikuwepo)

Iran na North Korea kuwa nuclear na weapons (US amekuwa concern na anafanya kila awezalo ili kuhakikisha hawapata hiyo chance ya kuwa na hizo silaha)

Kosovo kujitenga na Serbia, US anaona Ni sawa kabisa, lakini Crimea kujitenga na Ukraine, US amekuwa concern na ameweka vikwazo.

Okay, mifano hipo mingi Sana.

Kwa Nini nimejaribu kukupa hiyo mifano, Ni kwa sababu Kuna double standards sana na Kama kweli wewe hupo reasonable, lazima utaiona tu.

Je, kuna tofauti gani Kati ya Cuba Crisis na hii ishu ya Ukraine? Au ishu ya Taiwan ya US kupeleka vifaa vyake mpakani mwa China

Tujaribu kujadili kwa reasonableness,
 
Wanakwambia wameua wanajeshi 4000 wa Ukraine counter offensive kwanini miji bado inaondoka na vifaa vyenu ndio vinalipuliwa wanajeshi wengine wanakimbia maeneo yao.

 
Kuna siku majirani wataamua kuyamaliza na watarejesha amani ndipo vibarua vya uchawa visivyo na malipo vitakoma kwa aibu. Hakuna usiku usio pambazuka.
images - 2022-09-11T203355.933.jpeg
 
Umeandika Mambo ya maana Sana....ndiyo tabia ya watanzania tulivyo...
We are not serious as society...ni watu wa mzaha na umbea...Kuna utafiti ulifanyika naambiwa nchi yetu ni ya nne kutoka mwisho kwa kutokuwa na furaha...Yaani hata Afghanistan na Ukraine wametuzidi...hovyo kabisa...wewe fikiria msanii yule aliyeingia uwanja wa Mkapa akiwa ndani ya jeneza..yeye aliona ni sawa and millions of others kiushabiki wakaona Yuko sahihi...Yaani tukio like lilikuwa live mbele ya macho ya dunia nzima...ni kituko, serikali haikusema kitu, TFF kimya ...Sasa kwenye Vita vya Russia na Ukraine tunaingiza ujinga, utoto, upumbavu, ulimbukeni, umbea, ushabiki na kadhalika..hatujadili Mambo ya maana, hatujadili chanzo Cha mgogoro, mods wanaacha matusi yatawale, tunaleta humu milicha fake, mingine ni mipicha ya maiti..hatuna sense of responsibility ..hatupeani elimu...tunalishana sumu ya ujinga na umbea...yaani Kama nchi we are doomed...hatuwdzi kutafakari issues...hatujui impact ya Vita hivi kwa dunia....dah...
Ni kweli mkuu ila Bahati mbaya sana ni kwamba hatuwezi kufanana mkuu, ule mda ambao mimi na wewe tunawaza mbona hawa hawapo kama sisi na wao wanawaza na kuulizana mbona sisi hatupo kama wao.

Ndio dunia yetu lakini that's why wenye macho mapana wanadai tuchague wa kunena nao. Obviously ni kwasababu hatuezi kuzungumza lugha moja daima.
 
“The ‘commandant's offices’, ‘prosecutor's offices’, occupiers and gauleiters are leaving,” he stated.

“They are packing their loot, packing their families, and leaving. Even, by the way, from the cities that have been occupied since 2014. We hope that in the near future we will see the Armed Forces of Ukraine cross the river and a large-scale de-occupation of Luhansk Oblast will begin.”
 
"In one settlement there are trucks waiting for Russians, and they are just drinking nearby," he added.
 
Sergey Lavrov, Minister for Foreign Affairs of the Russian Federation, said that Moscow is not opposed to negotiations with Ukraine.
 
Back
Top Bottom