Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine anamwagiliwa milipuko mda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91]
IMG_20220911_214339_649.jpg
 
Russian T-90 Tank Crews Capture Ukrainian Weapons & US-Made Equipment

The Ministry of Defense has published video of Russian tank units in action.

As a result of the combat work of T-90 tank crews together with motorized rifle units, three military vehicles were destroyed – two Ukrainian tanks and one US-made M113 armored personnel carrier.

Subscribe to RT

Hizo ni baadhi tu ila list ni ndefuuuuu
 
Ukraine ipo gizani baadhi ya miji baada kituo cha umeme kulipuliwa na walume ndago [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The blackout occurred in Ukraine after the incident at the Kharkiv CHP-5.

There is information that electricity was lost in Poltava, Kremenchuk, Kharkiv and Odessa.

There is no connection and there is a railway connection.

[emoji3502]Kharkiv CHP-5 is one of the largest thermal power plants in Ukraine.

Subscribe to @Sputnik
IMG_20220911_220130_720.jpg
 
Subscribe to @SputnikView attachment 2353891
Sasa naanza kuelewa kwa Nini Zelensky anasemaga hii Vita ikienda hadi winter Basi Ukraine watakuwa wameshindwa.

(Uwaga anasemaga Ukraine inabidi ishinde hii Vita kabla ya kipindi cha winter)
 
Ukrops are saying Russia started hitting critical infrastructure, no electricity in multiple cities.
Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.

Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.

Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.

Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
 
Unajua nilikuwa najiulizaga ni kwa Nini Russia hajawaigi kutuma mabomu kwenye key infrastructures Kima umeme, maji, telecom, government buildings, etc.

Kumbe haya Mambo yanaendaga kwa phases.

Sasa hapo Kama Wananchi wana akili inabidi wahame hayo maeneo haraka Sana...
 
Sasa naanza kuelewa kwa Nini Zelensky anasemaga hii Vita ikienda hadi winter Basi Ukraine watakuwa wameshindwa.

(Uwaga anasemaga Ukraine inabidi ishinde hii Vita kabla ya kipindi cha winter)
Kwa alichokifanya Russia wanalo!

Train zimeshindwa kutembea kwa sababu umeme hamna!

Maeneo yalikatiwa umeme makombora yanarindima! Raia wako wanahofu sana kwa sababu hawaoni hakuna umeme na makombora yanaanguka.
 
Can you imagine walishindwa hata kuamini Kharkiv kutakuwa na offensive, wakati huo wimbo NAFO tulikuwa tunashinda nao. Na walikuwa wanaona preparations tangu July wakajiandaa uko, baadae Ukraine ikaona haiwezi kuwapiga na defensive lines zao uko, ikashambulia madaraja ya Kherson kisha ikatangaza raia wake waondoke, Urusi ikakurupuka ikahamisha majeshi kuyapeleka uko. Walipofika uko Ukraine ikamalizia madaraja, sasa wanavuka kwa pontoons ambazo nazo zinashambuliwa.

Ukraine ikashambulia Kherson inafanya attrition waishiwe nguvu. Kisha ikashambulia Kharkiv inapeta kiurahisi defensive lines ziko weak mpaka wanafikia kumkamata huyo tujue ilikuwa ghafla na walienda kwa kasi upinzani ni mdogo. Makamanda wa superpower wanatumia akili zao wenyewe

Ukraine wapo Gizani.​

=====

Ukraine suffers blackout after ‘Russian strikes’​

President Vladimir Zelensky has confirmed energy shortages across multiple regions of the country
Ukraine suffers blackout after ‘Russian strikes’

DETAILS TO FOLLOW

Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.

Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.

Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.

Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Mie ningekuwa yule Zelensky..nisingekubali kupigana hii vita, ningekuwa mnafiki tu..kuingia hata mkataba wa uongo wa kutojiunga NATO etc.....France kwenye vita ya pili pamoja na ubabe wake, ilipopima maji cha Ujerumani na Hitler yake ilisalimu amri mapema sana 1940-mwanzoni kabisa kwa vita...walijifanya wanyonge na ilisaidia sana kupunguza maafa kwenye nchi yao....wamekuja kuingia baadae 1944 huko baada ya Ujerumani kuwa na hali ngumu.....
Wakati mwingine...kujishusha na kuwa walaghai is better huku ukitafuta muda sahihi...

Hivi ni kwa nini North Korea kakaza mpaka kutengeneza bomu la Nyuklia (Kwa maelezo yao).....Ili wawe na burgaining pana.....Iran inajitahidi kufanya hivyo hivyo ili iweze kutunishiana misuli..otherwise hamna kitu.....

Sasa kwa Ukraine huwezi kaza shingo wakati huna cha kumtisha mtu..NEVER..Hii dunia kupata haki ni ngumu..utalalamika weeeee...survival of the fittest...
 
Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.

Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.

Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.

Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Naomba wote tuwe hapa kwenye uzi kama tuliyokuwa tumehamasishana kukaa kwenye uzi tangu offensive ya Ukraine ilivyoanza.
 
Unajua nilikuwa najiulizaga ni kwa Nini Russia hajawaigi kutuma mabomu kwenye key infrastructures Kima umeme, maji, telecom, government buildings, etc.

Kumbe haya Mambo yanaendaga kwa phases.

Sasa hapo Kama Wananchi wana akili inabidi wahame hayo maeneo haraka Sana...
Hapo wahame labda pakipambazuka ila kwa usiku wa leo sijajua watafanya nini!
Majijii yanagiza vibaya sana! Angani ni pekundu kwa sababu ya makombora. Mbaya zaidi hawajui watakimbilia wapi kwa sababu ya giza wanashangaa tu kombora limeangukia sehemu fulani limelipuka.

Zelensky akubali mapema kuweka mambo sawa! Nina uhakika ndani ya siku 2 Ukraine wata experience jehannamu jinsi ilivyo!
 
Su-34 imeshushwa huko Izium.

Jamaa kabinywa kila mahali kuanzia angani mpaka ardhini

"Counteroffensive, but at what cost?"

The French TV channel "France 2" showed a hospital in Kramatorsk, where a large number of wounded Ukrainian soldiers are brought.

It is noteworthy that the report was released in the second part of the final news program. The first part was entirely devoted to the accession of Charles III to the throne.

In turn, Reuters connects Ukraine's counteroffensive with its attempts to maintain Western support on the eve of winter and the energy crisis in Europe.

"Kiev is under pressure to demonstrate progress before the onset of winter, amid threats by Russian President Vladimir Putin to stop all energy supplies to Europe," the agency writes.

Subscribe to @Sputnik
 
Back
Top Bottom