Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.

Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.

Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.

Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Mkuu tupe source ya hii habari.
Kulingana na source za ukraine ni makombola machache tu yamepenya kati ya mengi yalirushwa 11, 2 ndio yamekuwa successful. Leta source yako.
Screenshot_20220911-225308.jpg
 
Mie ningekuwa yule Zelensky..nisingekubali kupigana hii vita, ningekuwa mnafiki tu..kuingia hata mkataba wa uongo wa kutojiunga NATO etc.....France kwenye vita ya pili pamoja na ubabe wake, ilipopima maji cha Ujerumani na Hitler yake ilisalimu amri mapema sana 1940-mwanzoni kabisa kwa vita...walijifanya wanyonge na ilisaidia sana kupunguza maafa kwenye nchi yao....wamekuja kuingia baadae 1944 huko baada ya Ujerumani kuwa na hali ngumu.....
Wakati mwingine...kujishusha na kuwa walaghai is better huku ukitafuta muda sahihi...

Hivi ni kwa nini North Korea kakaza mpaka kutengeneza bomu la Nyuklia (Kwa maelezo yao).....Ili wawe na burgaining pana.....Iran inajitahidi kufanya hivyo hivyo ili iweze kutunishiana misuli..otherwise hamna kitu.....

Sasa kwa Ukraine huwezi kaza shingo wakati huna cha kumtisha mtu..NEVER..Hii dunia kupata haki ni ngumu..utalalamika weeeee...survival of the fittest...
Sasa zelensky kakaza mbona hamjaweza kumtoa mpk sasa badala yake mnarudishwa nyuma zaidi
 
Nilisema LAWAMA ZITAKUA DEBE na BADO KAZI haijaanza ni taa tu imezimwa JAMBO lifanyike
Mkuu ndio tulikuwa tunasubiri taa zizimike tangu jana😂 mnachekesha sana team Putin.
Soma hiyo analysis ya watu wenye akili sio kusubiri wakati hamna kinachofanyika
Screenshot_20220911-224933.jpg
 
Back
Top Bottom