Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani miaka 8 ndo wajiandae kwa vita na Urusi..thubutuuu..matokeo yake si ndo haya sasa....????Ukraine hata apambane vipi hawezi shinda hii vita....
Screenshot_20220912-070855_Twitter.jpg
 
Tulia wewe ma video mnaoleta nyie hata source hayana unalalamika nini?

Leta maoni yako mbadala - msitake kutawala watu, kwa nini mnalazimisha members watoe maoni mnayo taka kuyasikia - nyinyi nani?

Kama mna uwezo anzisheni social media za kwenu zitakazo sheheni lugha zenu za mitaani/vijiweni na kebehi za kijinga mnapo kosa hoja za maana.Mara zote nawakumbusheni kwamba Watanzania tulio wengi kuna haja kubwa ya kujifunza kutoka kwa wenzetu kutoka Kenya mfano: MK 254 fatilieni anavyo jibu members hata siku moja uwezi kuona anamtukana mtu au kutumia lugha ya kejeri nk, sisi tofauti kabisa - sasa sijui tatizo ni malezi au shule tulizo pitia hatufikirii mara mbili kabla hatujatumia lugha yenye shombo - PR yetu ni mbaya sana sana.
 
😆😆😆 BBC kweli kituko, eti jeshi la Ukrein lakomboa mara tatu ya maeneo yaliyotekwa na Urusi.
Maana yake km Urusi aliteka maeneo matatu wao wamekomboa tisa 😆 (3×3=9) hata chizi hawezi kuelewa.
Hayo sita mengine yametoka wapi?
Jeshi la Urusi limeondoka Ukrein? Propaganda za kitoto, ni mataahira wachache wanaweza kuwaelewa BBC
Wewe ndio taahira umeshindwa kuelewa habari. Habari simple tu umeshindwa ku digest kichwa maji uwe unauliza kwanza.
 
Leta maoni yako mbadala - msitake kutawala watu, kwa nini mnalazimisha members watoe maoni mnayo taka kuyasikia - nyinyi nani?

Kama mna uwezo anzisheni social media za kwenu zitakazo sheheni lugha zenu za mitaani/vijiweni na kebehi za kijinga mnapo kosa hoja za maana.Mara zote nawakumbusheni kwamba Watanzania tulio wengi kuna haja kubwa ya kujifunza kutoka kwa wenzetu kutoka Kenya mfano: MK 254 fatilieni anavyo jibu members hata siku moja uwezi kuona anamtukana mtu au kutumia lugha ya kejeri nk, sisi tofauti kabisa - sasa sijui tatizo ni malezi au shule tulizo pitia hatufikirii mara mbili kabla hatujatumia lugha yenye shombo - PR yetu ni mbaya sana sana.
Mkuu sikatazi maoni mbona umeona hapo nimekuzia kutoa maoni?

Ukipunguza mahaba kwa Russia utakuwa mtu poa tatizo lako ni double standard.

Vunjo akileta habari unalalamika mfano hapo juu ila upande wako ukileta habari bila source unaingia mzima mzima.

Sasa facebook si ni social media haiwezi kuwa source ya habari? Mbona unakuwa mpuuzi? Kama ni uongo leta counter news inayokataa hiyo habari.
 
Mwandishi wa habari aliyeko Ukraine anaripoti

'Completely dark’​

Al Jazeera’s Hoda Abdel Hamid reporting from Kharkiv said there are “power outages in five regions in the northeast and eastern part of the country. What we’re hearing from officials is that the Russians have hit critical infrastructure; they’re not telling us what or where, but this city is in pitch-black.
 
Wewe ndio taahira umeshindwa kuelewa habari. Habari simple tu umeshindwa ku digest kichwa maji uwe unauliza kwanza.
Imeandikwa hivi... "Jeshi la Ukraine lakomboa Mara 3 ya eneo lililotekwa na Urusi..."

Yaani Kama Urusi waliteka 100 square km, wao Ukraine wameshateka 3 x 100 = 300 square km.

Ndio maana mdau hapo amekuwa na doubts na hiyo habari ya BBC.

Ni swala tu la kuwa reasonable kuhusu hizo fake news.
 
Ukraine TG Channels zote ziko kimya hope ni kwasabab ya hyo black out.

Wenye power banks mtuazime tupeleke msaada ili tuendelee kupata updates za Urusi inavyochapika. 😂😂😂

Ingawa Urusi haijakana wala kukubali tukio hilo, kwangu mie nalitafsiri kama onyo kwa Kiev. Ni as if Russia anatoa ujumbe kua wanaweza fanya chochote mda wowote chenye madhara zaidi kwa Ukraine.

Kama jana hadi reli hazifanyi kazi, hizo reli pia tunajua ndio zinatumiwa na Ukraine kuingizia silaha kutoka west il kipindi chote hicho Urusi hakuwahi kuzuia.

Urusi amekuwa akifahamika kwa their rigid patience linapokuja swala la kidiplomasia, kitu ambacho of course kwa wasio elewa mambo huona kama udhaifu kwa Warusi. Bt indeed Russia ni powerful yet wako too much humble.

Je hiyo 'Move' ya jana inaashiria kubadilika kwa upole wa urusi? Wacha tuone.
 
Pro Putin niwape History moja, hapo zamani Somali was very strong hadi siku moja kiongozi mmoja mpuuzi aliponzisha vita Ethiopia kuchukua maeneo ya watu aliokuwa anaita Historical Somali lands.

Matokeo yako ni kushindwa vibaya aliporudi nyumbani akaanza kuaamini alifanyiwa hujuma...
 
Imeandikwa hivi... "Jeshi la Ukraine lakomboa Mara 3 ya eneo lililotekwa na Urusi..."

Yaani Kama Urusi waliteka 100 square km, wao Ukraine wameshateka 3 x 100 = 300 square km.

Ndio maana mdau hapo amekuwa na doubts na hiyo habari ya BBC.

Ni swala tu la kuwa reasonable kuhusu hizo fake news.
Mkuu Nkuba25 sio kweli kulingana na tafsiri yako. Kwanza nikuulize hiyo habari umeisoma?
Na attach hapo chini halafu ona tafsiri yako kama ni sahihi.
Screenshot_20220912-082241.jpg
 
Mje kukusanya hawa marehemu huku wakirusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Hii ni comment ya kijinga sana and I do not know why you love it.Eti mitaala ni yao,sijui Lugha,sijui simu unayotumia ni yao!Kwani wao wanachukua vyetu vingapi?Kwani bila sisi wange-survive Wazungu.Utajiri wao si mali walizotupora.
Halafuu, kwa kuwa tunatumia sijui lugha yao,sijui simu zao basi wafanye wanavyotaka.Hapana kijana,international trade ni lazima iwepo,na lugha lazima ziwepo for purposes of communication,which language you use is not very important,communication is key.

Finally your comment shows clearly your ignorance and low thinking capacity,ume-expose mno your stupidity.
Siku hizi tunapita tu .... Uzuri tupo laboratory majibu yatapatikana tu....
 
Back
Top Bottom