Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Malalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debenaona sasa wameamua kulipua mpk mabomba ya maji,
Malalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debenaona sasa wameamua kulipua mpk mabomba ya maji,
Source pleaseRussia amashatatuliwa Malinda,hakuna Tena jeshi pale.., anachofanya ni kuendelea kupigana kiume Ili kuficha aibu anayopata
Mwisho atakimbia kwa aibu tu huyo super pawer wa mchongo [emoji12]
Lavrov amewataka raia waondoke kabla mvua rasmi aijaanza kunyesha na unaambiwa ule mtambo mkubwa wa nyuklia unaofua umeme na kupeleka kiev russia wanataka wauaribu na vifaa vyake wavipeleke moscow now putin ataki mchezoUkraine TG Channels zote ziko kimya hope ni kwasabab ya hyo black out.
Wenye power banks mtuazime tupeleke msaada ili tuendelee kupata updates za Urusi inavyochapika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa Urusi haijakana wala kukubali tukio hilo, kwangu mie nalitafsiri kama onyo kwa Kiev. Ni as if Russia anatoa ujumbe kua wanaweza fanya chochote mda wowote chenye madhara zaidi kwa Ukraine.
Kama jana hadi reli hazifanyi kazi, hizo reli pia tunajua ndio zinatumiwa na Ukraine kuingizia silaha kutoka west il kipindi chote hicho Urusi hakuwahi kuzuia.
Urusi amekuwa akifahamika kwa their rigid patience linapokuja swala la kidiplomasia, kitu ambacho of course kwa wasio elewa mambo huona kama udhaifu kwa Warusi. Bt indeed Russia ni powerful yet wako too much humble.
Je hiyo 'Move' ya jana inaashiria kubadilika kwa upole wa urusi? Wacha tuone.
possible but not in the way ambayo itakuwa meaningful sana kwa urusi, kuhusu china kwanza hakunaga anayeelewa position ya china ht urusi mwenyew atakua amejifunza this time maana ht hayo mafuta yenyew anaswitch tu kati ya iran, urusi na venezuela kutegemea yapi bei rahis kipind hicho, benki zenye za china znazngua tu hazibehave namna vile putin angependa-mchina yuko busy bussiness km deal haimake sense kibiashara naye anaanza kutomake senseNaa hili ndio lakimsingi tuuombee uzima na uhai Mkuu
[emoji1258][emoji635] The United States fears that Europe, under the influence of the energy crisis, will change its position towards Russia and Ukraine, CNN reports, citing sources.
"The risk (of a split in Europe) is real... citizens in Europe could rebel against the Western strategy of isolating Russia economically," the channel said in a statement, citing U.S. officials.
T14 Armata
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi kaamua kujipoza maumivu ya kipigo kwa kulipua miungu mbinu.., miundombinu yenyewe aliyoharibu ghalama ya kurekebisha haifikii hata kifaru kimoja Cha urusiMalalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debe
jamaa analalama mno anataka makamanda waongeze uzalendo, aangalie wasije kula kichwa mwenzie pushilin alitokomea sijui km kesharudi toka mafichoniJamaa kaona kipigo anachopokea super pawer wao ,hakiendani na jeshi lao tulilohaminishwa kwamba ni la pili kwa uhimara dunian,
Urusi kaamua kujipoza maumivu ya kipigo kwa kulipua miundombinu.., miundombinu yenyewe aliyoharibu, ghalama ya kurekebisha haifikii hata kifaru kimoja Cha urusiMalalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debe
Una akili ndogo sana sijapata ona. Kumànina hivi pro-NATO mmefikia kuwa wajinga kiasi hichomiundombinu yenyewe aliyoharibu ghalama ya kurekebisha haifikii hata kifaru kimoja Cha urusi
hahaha n sehemu ya mikakati, tukikupiga tunashangilia ukitupiga tunalalamikaMalalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debe
Ni vema ukaficha upumbavu wako,jibu hojaUna akili ndogo sana sijapata ona. Kumànina hivi pro-NATO mmefikia kuwa wajinga kiasi hicho
tuko busy tunahamia starlinkZA MOTOMOTO MCHANA HUU UNAAMBIWA
🇷🇺🇺🇦 In Kharkov, the Internet again disappeared after a series of missile attacks on energy infrastructure facilities this afternoon
Gharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzalisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru kimoja!!!Ni vema ukaficha upumbavu wako,jibu hoja
Walijichanganya siku ya kwanza wakaenda na helikopters pale Hostomel airport na special force yao ya VDV waliambulia miili ya wanajeshi wao. Eti hiyo VDV ndio inafanya kuwaiga 82nd Airborne Division ya wale watu wenye HIMARS, wakati wenzao kabla hawajafanya hiyo daring mission huhakikisha wana air dominanceRussia afanye carpet bombing Ukraine Kwa Airforce gani aliyokua nayo?! Hiihii ambayo videge vyake vinashushwa kila siku?! Yani Russia anashindwa hata na Israel kufanya SEAD operation hapo Ukraine ili aingie bombers afanye carpet bombing kwenye maeneo muhimu ya kijeshi. Na hapo ndo Ukraine haina air defenses za maana vipi zile modern air defenses walioahidiwa na west zikitia timu kama NASAMS au IRIS-T ya Ujerumani?!
Huko Syria jeshi la Urusi lilionekana tishio sababu walikua wakipigana na magaidi hawana air defenses walikua wananyanyua Tu-160,Tu-95 wanazijaza dumb bombs wanaenda kuwaangushia Isis Ila Ukraine Hali ni tofauti ili uingize Tu-95 au Tu-160 lazima ufanye SEAD operation ili uharibu air defense systems. Sasa Urusi mpaka sasa hana air superiority hiyo carpet bombing ataifanyeje?!
Dada nimekwambia ni vema ukaficha upumbavu wako,unajidhalilisha,Gharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru!!!
Hivi wewe jamaa una akili kweli?
Mpumbavu mkubwa wewe
hahaha yaani lavrov ndio anajisifia nchi yake kufanya uharibifu kwe nchi ya watu na kuiba vifaa! ndio maana china hayupo kimbelembele kusapoti huu uvamizi maana kuna baadhi ya vitu vinaleta taswira ya ajabuLavrov amewataka raia waondoke kabla mvua rasmi aijaanza kunyesha na unaambiwa ule mtambo mkubwa wa nyuklia unaofua umeme na kupeleka kiev russia wanataka wauaribu na vifaa vyake wavipeleke moscow now putin ataki mchezo
Mkuu vipi umepata kizungu zungu kwa kichapo anachopewa russia?Una akili ndogo sana sijapata ona. Kumànina hivi pro-NATO mmefikia kuwa wajinga kiasi hicho