kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Urusi imejinasibu ipo kwamba kwenye special military operation..,angetanagaza vita kamili Wala tusingeshangaa mambo haya,Wapi na wapi ambapo hapatakiwi kulipuliwa..?
Urusi imejinasibu ipo kwamba kwenye special military operation..,angetanagaza vita kamili Wala tusingeshangaa mambo haya,Wapi na wapi ambapo hapatakiwi kulipuliwa..?
Embu assume hivi, wakati wa winter ukibaki Kama wiki 2 hivi, halafu jamaa akaharibu mitambo yote ya kuzalisha umeme.. unafikiri Nini kitatokea?hahahaa mkuu maji banah
Urusi imejinasibu ipo kwamba kwenye special military operation..,angetanagaza vita kamili Wala tungeshangaa mambo haya,
Anapiga madaraja kwa sababu yanatumika kutoa supplies kwa vikosi vilivyo mstali wa mbele kupambana na serikali ya mjini KyivOkay, hoja yako hapa Ni kwamba kwa Nini anapiga Civil infrastructures.
Naomba kuuliza, mbona Ukrainians wanapiga madaraja, au madaraja sio civil infrastructures..?
kitakachotokea hakitakuwa katika interest ya urusi kwa namna yeyote ile, urusi wanatambua hiloEmbu assume hivi, wakati wa winter ukibaki Kama wiki 2 hivi, halafu jamaa akaharibu mitambo yote ya kuzalisha umeme.. unafikiri Nini kitatokea?
Just fikiria hiyo scenario.
wanajilinda dhidi ya wavamizi mkuuOkay, hoja yako hapa Ni kwamba kwa Nini anapiga Civil infrastructures.
Naomba kuuliza, mbona Ukrainians wanapiga madaraja, au madaraja sio civil infrastructures..?
hawa wanaharibu ili kujilinda na uvamizi, warusi kwann wanapiga miundombinu ya kjamii/kiraia?Anapiga madaraja kwa sababu yanatumika kutoa supplies kwa vikosi vilivyo mstali wa mbele kupambana na serikali ya mjini Kyiv
Hebu niambie unapopiga miundombinu ya maji unapata faida gani hapo front line,
hio ni tactic mkuu, tulia uone kitachofuata toka kwa mrusiWatakwambia hiyo ni mbinu ya kijeshi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wakuu
Kuna muhubiri mmoja hivi
Alisema Russia ndio hasa waisrael HALISI hao wengine tunaowajua ni feki kabisa!
Akasema Russia ndio atashinda vita!!naona dalili ndio hizo naziona!!
Japo Tanzania hatujaweka wazi tupo upande gani!nadhani USA ata mind kiaina!!madhara yake tutayaona kwenye afya hasa akikata msaada kwenye shirika La WHO hali itakuwa mbaya!
Tuisubiri!!
Bora moderators wameshakupa adhabu yakoUna akili ndogo sana sijapata ona. Kumànina hivi pro-NATO mmefikia kuwa wajinga kiasi hicho
Utawala gani uliochaguliwa kihalali??? Una maana huu wa Zelensky?? Hukumbuki kabla ya hapo kulikuwa na coup iliyoandaliwa na Marekani??? hivi uliwahi kujiuliza kwanini NATO, USA na West nzima wameng'ang'ania huko Ukraine? Uliwahi kujiuliza kwanini NATO inazidi kupanuka?? Kwa hofu ya nani??? na Kwa nini wana hofu???Huwezi kulazimisha uonekane msitaharabu wakati umeshavamia na kutaka kuondoa utawala uliochaguliwa kihalali,
Zimepikwa hizi takwimu kwa lengo la kujiridhisha ingekuwa idadi ya majengo mliobomoa ningekubali.Statistics zinaongea mzee. Wakoloni kwa sasa wanahaa, zama zimebadilika
View attachment 2353420
Inaonyesha hujui maana ya coup,wananchi wanapoingia barabarani kwa umoja wao kuitaka serikali Yao iachie madaraka hiyo ni coup?Utawala gani uliochaguliwa kihalali??? Una maana huu wa Zelensky?? Hukumbuki kabla ya hapo kulikuwa na coup iliyoandaliwa na Marekani??? hivi uliwahi kujiuliza kwanini NATO, USA na West nzima wameng'ang'ania huko Ukraine? Uliwahi kujiuliza kwanini NATO inazidi kupanuka?? Kwa hofu ya nani??? na Kwa nini wana hofu???
Kuna mdau mmoja huko juu aliuliza kuhusu uharibifu waliofanya US kwenye Vita ya Iraq na Yugoslavia - kwenye upande wa Civil Infrastructures.Anapiga madaraja kwa sababu yanatumika kutoa supplies kwa vikosi vilivyo mstali wa mbele kupambana na serikali ya mjini Kyiv
Hebu niambie unapopiga miundombinu ya maji unapata faida gani hapo front line,
Kama zimepikwa unataka upakuliwe!?Zimepikwa hizi takwimu kwa lengo la kujiridhisha ingekuwa idadi ya majengo mliobomoa ningekubali.
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Huu mgogoro kuna point inaweza fikia huko.kitakachotokea hakitakuwa katika interest ya urusi kwa namna yeyote ile, urusi wanatambua hilo
Tupe sababu hapa kwanini Russia wasipige au kulipua miundombinu....Halafu mlete orodha hapa Russia anatakiwa kulipua nini?? Maana inaelekea ninyi ndio mnaompangia Russia nini cha kufanya...Ni sawa na mabeberu ambao waliweka vikwazo kibao vya uchumi kwa Russia vyenye lengo la kuifanya Russia ipige magoti...Russia nayo ilipoweka vikwazo vya uchumi vya gas kwa nchi za ulaya tumesikia kutoka hukokelele nyingi eti Russia ni mbaya kwani anatumia gas kama silaha....hebu nitumie neno, I am sorry mods, nadhani hawa wazungu ni very very very stupid indeed Yaani wao ni sawa kuweka vikwazo lakini Russia hastahili kuwawekea vikwazo...hivi hii ni akili ya wapi???!!!! Halafu huwa nasikia au kusoma humu JF kuwa eti Russia hana ubavu kijeshi na kwamba anajivunia nyuklia tu....Mimi nauliza hivi kama unapambana na vibaka wenye mapanga na wewe una panga, eti kama unayo bunduki usitumie kwani utawaumiza hao vibaka, na kwamba eti bila kuwa na bunduki wewe si lolote kwa vibaka hao....jamani hii akili ya wapi hii??!!!hawa wanaharibu ili kujilinda na uvamizi, warusi kwann wanapiga miundombinu ya kjamii/kiraia?