Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazee wa according to plan hali ilikuwa hivi hadi juzi. Mmetumia miezi minne kuteka maeneo ambayo kwa sasa mnatimua mnaacha silaha zenuView attachment 2355218
As of sept 12 Russia controls over 116k sqkm in ukr. Hiyo ni karibu na nusu (48%) ya UK.

Sasa mkuu watu wanakalia zaidi ya km za mraba laki naa wewe unakomboa km 5000 tu za mraba unapiga keleleee. Umgeweza kuchukua hata km 20k si ungedecleare total war victory kbs!???

Kumbuka ukr wamepoteza zaidi ya wanajeshi 4k kwenye hiyo counter offensive ya kharkiv na ile iliyofeli ya kherson. Yaani 4k soldiers in exchange for less than 5k sqkm!??? Na Jana warusi wamepiga miundombinu ya kijamii maji umeme/nishati na mitandao bado ni hasara kwa ukrn. Mwanzoni urusi alikuwa anatarget miundombinu ya kijeshi tu sasa hv anapiga yote.

Pia, Wakati ukr wamesogea kdg hapo kharkiv ujue na warusi wameadvance pia huko kherson towards mykolaiv. 2 x 2 minus 4!!!

Ukr can't defeat Russia ever hata wewe hilo unalijua. Kremlin wamerudia tena sio chini ya mara moja malengo ya smo lzm yatimie, iwe iwavyo! Yaani ht km ni kwa kudeclear full scale war against ukr.

Sio kwamba tunampenda sana mrusi na kumchukia ukr. Ni uhalisia.
 
Ukweli mchungu . Hakuna namuna
 
Yule mzee Putin ni fala sana eti sisi Russia vita bado hatujaanza hapo umegongwa sanctions zaidi ya elfu kumi anabana pua ooh sisi Russia bado hatujaanza vita Ukraine miezi saba ya vita Russia haileweki inataka nini kwenye hii vita
 
Operation ya siku tatu hii. Its going according to plan
 
Unapotosha kwa maksudi. Putin mwenyewe km mwenyewe hawezi kulaunch nuke kwa yeyote. Mfumo unahitaji ruhusa ya pamoja kutoka kwa raisi, waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi. Hawa wote lzm wakubaliane na watoe ruhusa ndio nuclear ipigwe mahali. Na sababu zitazopelekea hilo zimewekwa wazi kbs kwenye nuclear doctrine ya urusi. Sio kila jambo litajibiwa kwa nuclear!

Nuclear haikuwa sababu ya Truman kuondolewa madarakani kwa nini unafkiri itakuwa sababu ya Putin kuondolewa madarakani!?

Hizo nuclear zimetengenezwa ili zitumike na itapobidi zitatumika (mimi ni mpingaji mzuri tu wa silaha za aina hiyo). Lkn kusema kwamba Putin ataondolewa madarakani kisa ameamuru nuclear itumike kunashangaza!

Alaf vita haipiganwi kwa maelekezo ya putin bwana. Jeshi ndio linapigana vita na ndio linajua inapiganwaje. Putin anapelekewa tu taarifa na option kisha yeye anatoa go ahead kwa option anayoona inafaa zaidi. Km kuna ulazima wa kutumia nuclear wanajeshi wanaopigana vitani ndio watakaopeleka option hiyo kwa putin wakitaka ruhusa yake na sio kwamba putin ataamka tu asbh na kumpigia simu shoigu adondoshe nuclear kiev!
 
Operation ya siku tatu hii. Its going according to plan
You are better than that mkuu!

Yes, According to plan. Ijapokuwa kuna improvisation za hapa na pale.

Hao ukr pia ni wanajeshi shupavu na wanasaidiwa kwa kila namna. So Upinzani ni lzm uwepo na matter of fact mpk hp walipofikia wamejitahidi. Ila bado kushinda.

Ukr anapigana vita mwenzake yupo kwenye operation. Ni kama ile game ya Sevilla tu na Simba. Mwenzio ni km yupo mazoezini wewe ndio umekamia km uko fainali ya world cup!
 
Una masihara zaid ya majeneral 20 wameuwawa,na kikosi cha makomandoo 200 maarufu kama paratroops walichinjwa pale kyv,wanajesh zaid ya elfu 50 wamegeuzwa mbolea,unachukulia masihara ,so Russia ameenda kujifurahisha Ukraine ndio unataka kutuambia.mkuu acha masihara watu wako mzigoni ,si ajabu hata mlio wa bunduki hujawah sikia
 
Wao wanakwambia eti urusi imetumia asilimia 5 tu ya nguvu zake [emoji848][emoji848]
 
So what? Mazoezi si wanafanya kwenye tank biathlon na Zapard. Na mwaka huu washafanya na washirika kama China wameshiriki.

Mazoezi ya siku tatu yanaendelea. Sasa hivi wako kwenye special military retreat na special weapons abandonment. Operation imefanikisha kuzama kwa flagship ya Black Sea fleet na kupigwa kwa military installation. Ni mazoezi!
 
Tumefikia pazuri mpaka ijumaa kama Russia tutakuwa tumesogea na kuongeza eneo zaidi. Mkumbuke hii sio vita
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]The detention on the detention of Russian teachers in the Kharkiv region does not conform to reality, - Ministry of Education of the Russian Federation 1/2

All the teachers from the Russian Federation who showed in the liberated territories are now where the situation is controlled by the Russian army[emoji3538][emoji3538][emoji3538]2/2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…