mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Sawa ila Kharkiv balaa limetokea tunasubiri tujue hii tsunami imeondoka na wangapi.shikamoo WARUSI maana hii aina tofauti na nuclear.
Hii vita kama itaisha salama sijui yangu macho
Hii vita kama itaisha salama sijui yangu macho
Kule Taganrog ndani ya Russia imeshambuliwa base inayokuwa na IL-76. Haya Warusi wenye air defence system njooni