kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
US alitumia nyukria kwa sababu alikuwa anashambuliwa katika nchi yake
US hakuivamia Japan kama urusi alivyofanya,Bali Japan kwa ubabe wake wa vita ndiye alitangaza vita na marekani
Ushawahi kujiuliza kwa nini marekani hakutumia nyukria huko Vietnam Ili kuficha fedheha aliyopata?
Ukishakuwa mvamizi unakosa credit ya kutumia silaha za maangamizi
Ndio maana pamoja na marekani kutoa siraha lukuki kwa Ukraine,anamzuia sana Ukraine kutumia siraha hizo kushambulia ardhi ya urusi, maana kwa kufanya hivyo atakuwa amempa sababu ya msingi kabisa dikiteta Putin kutumia siraha za maangamizi,
Mwisho mataifa yote yanayomiliki silaha za nyukria ni Kwa ajili ya kuilinda mipaka yake tu na si vinginevyo [emoji106]