Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kuna watu walikua wanabisha humu Marekani ilipotoa taarifa za intelligensia kwamba Russia imepewa mamia ya drone na Iran
Ni kitu gani kinachokufanya utambue kwamba hapo sehemu iliyopo hiyo drone ni kwenye ardhi/eneo la Ukraine...?Drone za Iran zimeanza kutunguliwa View attachment 2355541
Huyo jamaa asahau Donbas kurudi Ukraine,Russia alishaanza kujenga miundombinu kabisa huko na amezitambua kama jamhuri huru,,!
Itachukua miaka 5 kama wataendelea kuwashinda Russia kuwachia DombasHuyo jamaa asahau Donbas kurudi Ukraine,Russia alishaanza kujenga miundombinu kabisa huko na amezitambua kama jamhuri huru,,!
Of course Hilo ndo lengo,vita ichukue muda mrefu, Russia azid kudhoofika,Itachukua miaka 5 kama wataendelea kuwashinda Russia kuwachia Dombas
Huwajui warusi wewe. Kwanza anza kutofautisha umoja wa Kisovieti na Urusi, harafu uendelee kufuatilia vita alivyopigana Mrusi.Warusi wana historia mbaya ya kukungutwa kila mahali wanapovamia, lakini hawajifunzi.
Walitolewa kamasi na Chechnyia, baadaye na Talibani na sasa Wanamgambo wa Ukraine wamewatoa mkuku huko Khakiv.
Hapakuwa na kichapo, ni kwamba Warusi wameona ni Ufala kupigania kisichojulikanaDuh mines za kutosha zmeachwa kweli kichapo kilikua kikali
View attachment 2355591
Mkuu leta pingamizi kwamba hapo sio Ukraine. Hiyo habari imepostiwa na kuelezwa hapo ni ukraine wamedungua drone ya iran so supporting evidence ni hiyo habari na wewe leta ushahidi hapo siyo ukraine ni sehemu nyingine.Ni kitu gani kinachokufanya utambue kwamba hapo sehemu iliyopo hiyo drone ni kwenye ardhi/eneo la Ukraine...?
Super power anaombq ndege Kwa Iran.tayali zisha Anza kutunguliwa hukoWazee wa according to plan hali ilikuwa hivi hadi juzi. Mmetumia miezi minne kuteka maeneo ambayo kwa sasa mnatimua mnaacha silaha zenuView attachment 2355218
Bro Kwa nchi dhahifu kama Ukraine ukilinganisha na Russia acha tuipe pongezi tu.si mchezoAs of sept 12 Russia controls over 116k sqkm in ukr. Hiyo ni karibu na nusu (48%) ya UK.
Sasa mkuu watu wanakalia zaidi ya km za mraba laki naa wewe unakomboa km 5000 tu za mraba unapiga keleleee. Umgeweza kuchukua hata km 20k si ungedecleare total war victory kbs!???
Kumbuka ukr wamepoteza zaidi ya wanajeshi 4k kwenye hiyo counter offensive ya kharkiv na ile iliyofeli ya kherson. Yaani 4k soldiers in exchange for less than 5k sqkm!??? Na Jana warusi wamepiga miundombinu ya kijamii maji umeme/nishati na mitandao bado ni hasara kwa ukrn. Mwanzoni urusi alikuwa anatarget miundombinu ya kijeshi tu sasa hv anapiga yote.
Pia, Wakati ukr wamesogea kdg hapo kharkiv ujue na warusi wameadvance pia huko kherson towards mykolaiv. 2 x 2 minus 4!!!
Ukr can't defeat Russia ever hata wewe hilo unalijua. Kremlin wamerudia tena sio chini ya mara moja malengo ya smo lzm yatimie, iwe iwavyo! Yaani ht km ni kwa kudeclear full scale war against ukr.
Sio kwamba tunampenda sana mrusi na kumchukia ukr. Ni uhalisia.
sijawahi kuchangia chochote kwenye hii thread,nilikuwa naheshimu sana michango yako ila nimeona jamaa kwa sasa una utoto mwingi sana;
Saba bro Kwa nini wasijifurahishe wakati Russia wametumia zaidi ya miezi minne?mfano mji wa Izyam Russia akitumia mwezi kuuteka Ukraine siku mbili tu.Saivi Russia wanaongelea kutaka Marshall law kisa Ukraine.mziki ulivyo mnneUkitaka tuanze kutaja nani kapoteza nini mbona hiyo battle ukraine ataishindwa kbla hajaianza!?
Siku tano mmekomboa 5000sqkm tu katika 116000aqkm zilizotwaliwa. Endeleeni kupambana bado mna safari ndefu ya kwenda msijifurahie mapema hivyo. Mna kmsq zaidi ya laki za kurudisha kwenye himaya yenu.
AFU nalo ni jeshi imara usilichukulie poa. Urusi lzm apoteze baadhi ya vifaa na wanajeshi. Hawapiganii vifaa lkn kumbuka wanapigania ardhi. Anayepoteza ardhi ndio anayepoteza
Kwenye silaha marekani hajaipita RussiaNachoweza kusema hawa wanajeshi vijana wa kirusi wamekataa kuwa malofa. Wamekataa kufwata misingi iliyokuwa yafwatwa huko zamani na wanajeshi wengi kupotea na waliopona kutokuthaminiwa.
Kwa ufupi bithaa za Marekani sio mchezo! Kama ushawahi ona machine za Caterpillar au crane za Grove utakuwa umepata picha kwa mbali kuhusu tech aliyonayo US
Huu mjadala nilianza nikiwa neutral badala yake wakanitukana kila nikichangia ili niache. Siachi, wala sina ushabiki na vita ila nina ushabiki na kila nchi inayotetea haki yakesijawahi kuchangia chochote kwenye hii thread,nilikuwa naheshimu sana michango yako ila nimeona jamaa kwa sasa una utoto mwingi sana;
ttsiweke ushabiki,mambo ya vita si mazuri,lakini angalia uhalisia wa mzozo wa warusi na waukrain bila kuegemea upande wowote;
Hii nadhani ni suicide drone kwahiyo kupigwa sio tatizo sana. Iran waliwaambia Russia mapema sana vita hii watumie hii mbinu kujua AD za Ukraine zilipo ila kutokana na Russia walivyo na namna yao wakabisha wakaja kichwa kichwa na ndege. Sasa naona wamerudi palepale walipotakiwa kuanziaSuper power anaombq ndege Kwa Iran.tayali zisha Anza kutunguliwa hukoView attachment 2355633View attachment 2355632
Siongelei wingi naongea uboraKwenye silaha marekani hajaipita Russia
Inaonekana ulikuwa unafuraia advance ya Russia nchini Ukraine..,wewe ni muumini wa udhalim unaofanywa na urusi dhidi ya taifa hurusijawahi kuchangia chochote kwenye hii thread,nilikuwa naheshimu sana michango yako ila nimeona jamaa kwa sasa una utoto mwingi sana;
ttsiweke ushabiki,mambo ya vita si mazuri,lakini angalia uhalisia wa mzozo wa warusi na waukrain bila kuegemea upande wowote;