Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi wana historia mbaya ya kukungutwa kila mahali wanapovamia, lakini hawajifunzi.
Walitolewa kamasi na Chechnyia, baadaye na Talibani na sasa Wanamgambo wa Ukraine wamewatoa mkuku huko Khakiv.
Huwajui warusi wewe. Kwanza anza kutofautisha umoja wa Kisovieti na Urusi, harafu uendelee kufuatilia vita alivyopigana Mrusi.
 
Ni kitu gani kinachokufanya utambue kwamba hapo sehemu iliyopo hiyo drone ni kwenye ardhi/eneo la Ukraine...?
Mkuu leta pingamizi kwamba hapo sio Ukraine. Hiyo habari imepostiwa na kuelezwa hapo ni ukraine wamedungua drone ya iran so supporting evidence ni hiyo habari na wewe leta ushahidi hapo siyo ukraine ni sehemu nyingine.
Cc Pietro
 
Bro Kwa nchi dhahifu kama Ukraine ukilinganisha na Russia acha tuipe pongezi tu.si mchezo
 
sijawahi kuchangia chochote kwenye hii thread,nilikuwa naheshimu sana michango yako ila nimeona jamaa kwa sasa una utoto mwingi sana;

ttsiweke ushabiki,mambo ya vita si mazuri,lakini angalia uhalisia wa mzozo wa warusi na waukrain bila kuegemea upande wowote;
 
Saba bro Kwa nini wasijifurahishe wakati Russia wametumia zaidi ya miezi minne?mfano mji wa Izyam Russia akitumia mwezi kuuteka Ukraine siku mbili tu.Saivi Russia wanaongelea kutaka Marshall law kisa Ukraine.mziki ulivyo mnne
 
Nachoweza kusema hawa wanajeshi vijana wa kirusi wamekataa kuwa malofa. Wamekataa kufwata misingi iliyokuwa yafwatwa huko zamani na wanajeshi wengi kupotea na waliopona kutokuthaminiwa.

Kwa ufupi bithaa za Marekani sio mchezo! Kama ushawahi ona machine za Caterpillar au crane za Grove utakuwa umepata picha kwa mbali kuhusu tech aliyonayo US
 
Kwenye silaha marekani hajaipita Russia
 
Huu mjadala nilianza nikiwa neutral badala yake wakanitukana kila nikichangia ili niache. Siachi, wala sina ushabiki na vita ila nina ushabiki na kila nchi inayotetea haki yake
 
Super power anaombq ndege Kwa Iran.tayali zisha Anza kutunguliwa hukoView attachment 2355633View attachment 2355632
Hii nadhani ni suicide drone kwahiyo kupigwa sio tatizo sana. Iran waliwaambia Russia mapema sana vita hii watumie hii mbinu kujua AD za Ukraine zilipo ila kutokana na Russia walivyo na namna yao wakabisha wakaja kichwa kichwa na ndege. Sasa naona wamerudi palepale walipotakiwa kuanzia
 
Inaonekana ulikuwa unafuraia advance ya Russia nchini Ukraine..,wewe ni muumini wa udhalim unaofanywa na urusi dhidi ya taifa huru

Huyo comred kinachomfanya aonekane ana utoto mwingi ni mzuka alioupata baada ya kuona uvamizi wa urusi nchini Ukraine unaonekana kuelekea kushindwa kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…