Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SIZIONESHI PICHA ZINATISHA SANA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI

The bodies of the killed soldiers of the Armed Forces of Ukraine and mercenaries in Kodem, among which there are foreign mercenaries, including blacks.

The forces of PMC "Wagner" were able to completely dislodge the militants from Kodema, and continue to develop a successful offensive in the Artemovsky direction, it is reported that the settlement was taken. Nikolaevka-2, and the attack on Zaitsevo.
acha kuongelea stor za mbezi wa pili mkuu, this is september, wenzako 2000 wamezungukwa na hawana pa kutokea
 
Mdogomdogo

1663118213771.png

 
Mkuu, hiyo picha Biden alikutana na Xi akiwa makamu wa raisi na si akiwa raisi wa Marekani.

Tangu Biden awe raisi wa Marekani mwaka 2021 hajakutana na Xi Jinping.

Jaribu kuwa makini kidogo.
Umewahi kunijibia, huenda watakutana mwezi November kwenye mkutano wa G20.

Mkutano wao haujawa rasmi mpaka muda huu.

Mkongwe wa JF anatuongopea mchana
 
Mada imekuwa ndefu sana, ngoja tuweke rikodi sawa na tukumbushane ili ule mwisho utakapofika tusiongopeane kuhusu objective za Urusi. Kila mzalendo mtetezi wa nchi husika(Urusi/Ukraine) afurahi au alie kwa haki:

“And for this, we will strive for the demilitarisation and denazification of Ukraine,” Putin said. “Russia cannot feel safe, develop, and exist with a constant threat emanating from the territory of modern Ukraine.”

Tafsiri ya neno demilitarization:

Demilitarization is often narrowly defined as simply the dismantling or demobilization of a military, and the eventual destruction of military equipment, the destruction of weapons and explosives, and the incineration and destruction of chemical and biological weapons.

HAYA TUENDELEENI KUSOMA NA KUTOA HOJA NA TUMATUSI TWA HAPA NA PALE. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa mbona warusi ndo wana militarize Ukraine Kwa kuwaachia mamia ya silaha za kila aina kuanzia vifaru,Sam,mizinga, mabomu,command vehicles,nk. Duh[emoji124]
 
Sasa mbona warusi ndo wana militarize Ukraine Kwa kuwaachia mamia ya silaha za kila aina kuanzia vifaru,Sam,mizinga, mabomu,command vehicles,nk. Duh[emoji124]
Mambo bado hayajaisha boss.
 
[emoji298]️Pentagon: Ukraine’s successful counteroffensive only surprised Russia.

Ukraine’s counteroffensive against Russia in Kharkiv Oblast was not a surprise to its allies and partners, Pentagon Press Secretary Air Force Brig. Gen. Pat Ryder said on Sept. 13.

“I think if anyone was surprised, just based on the reports that we’ve seen in terms of the Russian military’s response, it was probably the Russians,” Ryder said.
 
[emoji298]️Ukraine’s military strikes Kakhovka bridge in Kherson again, halting Russian forces' repairs.

Ukraine's Southern Operational Command reported on Sept. 12 that they also struck nine Russian positions and three groupings of personnel and equipment.

The command also said it destroyed one Russian Mil Mi-8 helicopter, one Su-24 aircraft, and one pontoon crossing in Darivka in Kherson Oblast.
 
[emoji298]️CNN: Pentagon has seen 'a number of Russian forces' cross back into Russia in Kharkiv Oblast.

Pentagon press secretary Brig. Gen. Pat Ryder said that some Russian forces have crossed the border back into Russia, as they retreated during Ukraine’s counteroffensive.
 
Back
Top Bottom