Jumatatu haijesha more to be reported . New 600000 elite troops with modern equipment s[emoji2788]FLASH NEWS[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Hoptovka, Kharkiv region. There are reports that Allied forces have recaptured the settlement[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
acha kuongelea stor za mbezi wa pili mkuu, this is september, wenzako 2000 wamezungukwa na hawana pa kutokeaSIZIONESHI PICHA ZINATISHA SANA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
The bodies of the killed soldiers of the Armed Forces of Ukraine and mercenaries in Kodem, among which there are foreign mercenaries, including blacks.
The forces of PMC "Wagner" were able to completely dislodge the militants from Kodema, and continue to develop a successful offensive in the Artemovsky direction, it is reported that the settlement was taken. Nikolaevka-2, and the attack on Zaitsevo.
Wamezungukwa wapi?acha kuongelea stor za mbezi wa pili mkuu, this is september, wenzako 2000 wamezungukwa na hawana pa kutokea
Umewahi kunijibia, huenda watakutana mwezi November kwenye mkutano wa G20.Mkuu, hiyo picha Biden alikutana na Xi akiwa makamu wa raisi na si akiwa raisi wa Marekani.
Tangu Biden awe raisi wa Marekani mwaka 2021 hajakutana na Xi Jinping.
Jaribu kuwa makini kidogo.
[emoji1787].... Bibi kumbe enzi zake alikuwa byutifu.......Ndugu zangu pro- Russians nilikua bush ila nimefurahi sana kuona mashetani yanazidi kufa yule bibi bado hawajamzika?? [emoji1005]
Sasa mbona warusi ndo wana militarize Ukraine Kwa kuwaachia mamia ya silaha za kila aina kuanzia vifaru,Sam,mizinga, mabomu,command vehicles,nk. Duh[emoji124]Mada imekuwa ndefu sana, ngoja tuweke rikodi sawa na tukumbushane ili ule mwisho utakapofika tusiongopeane kuhusu objective za Urusi. Kila mzalendo mtetezi wa nchi husika(Urusi/Ukraine) afurahi au alie kwa haki:
“And for this, we will strive for the demilitarisation and denazification of Ukraine,” Putin said. “Russia cannot feel safe, develop, and exist with a constant threat emanating from the territory of modern Ukraine.”
Tafsiri ya neno demilitarization:
Demilitarization is often narrowly defined as simply the dismantling or demobilization of a military, and the eventual destruction of military equipment, the destruction of weapons and explosives, and the incineration and destruction of chemical and biological weapons.
HAYA TUENDELEENI KUSOMA NA KUTOA HOJA NA TUMATUSI TWA HAPA NA PALE. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mambo bado hayajaisha boss.Sasa mbona warusi ndo wana militarize Ukraine Kwa kuwaachia mamia ya silaha za kila aina kuanzia vifaru,Sam,mizinga, mabomu,command vehicles,nk. Duh[emoji124]
C tulikubaliana kwamba silaha za RUSSIA nidhaifu MKUU amaSasa mbona warusi ndo wana militarize Ukraine Kwa kuwaachia mamia ya silaha za kila aina kuanzia vifaru,Sam,mizinga, mabomu,command vehicles,nk. Duh[emoji124]
Ngoja tusubiri. Muda ndo hakimu wa kweliMambo bado hayajaisha boss.
KabisaNgoja tusubiri. Muda ndo hakimu wa kweli
Mbona unabadilisha mada Kaka!!! Me nazungumzia hao waliokimbia na kuacha hizo silaha,kwanini waziache?!