Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kwa saivi hawezi mkuu?afu kherson Kuna waasi Wengi bora mariopolngoja putin atue kherson
Mkikosa hoja ndo mnaleta utopolo huo.
hatari snKwa saivi hawezi mkuu?afu kherson Kuna waasi Wengi bora mariopol
.... Mungu awabariki sana wamarekani; kwa hisani ya watu wa Marekani.[emoji298]️ White House: US may provide Ukraine with an additional security assistance package 'in coming days.'
"We're in lockstep with the Ukrainians talking to them every day," said National Security Council spokesman John Kirby.
Since the start of Russia's full-scale war in February, the U.S. has provided Ukraine with $15.2 billion in military aid.
Kwa hiyo Xi hakuwa na hadhi ya kukutana na Rais akaishia kukutana na makamu wake au siyo. Sasa hapo Xi ana tofauti gani na Rais wa Bongo? Hivi kwa akili yako Rais wa China akutane na Rais wa Marekani ili iweje?Mkuu, hiyo picha Biden alikutana na Xi akiwa makamu wa raisi na si akiwa raisi wa Marekani.
Tangu Biden awe raisi wa Marekani mwaka 2021 hajakutana na Xi Jinping.
Jaribu kuwa makini kidogo.
Siku watakayojaribu tu, watakiona...Putin na taifa lake watapotea katika uso wa dunia. Tatizo la nyie washabiki wa mchongo ni kujaribu kuyalinganisha haya mataifa mawili, huo ni uzuzu usio na kiwango...subirini huyo mwehu ajaribu.wakishazidiwa wanaanza kutishia nuclear
Magaidi wa Ukraine wapasuliwa vichwa na Makomandoo wa Urusi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia anaendelea kuzalilishwa huko.. Daah aibu sana, mimi kama Pro Russia inaniumiza sana.. Russia wasitishe vita tu Dunia irudi kama zamani tusiendelee kuumia wakati anachapika tu huko
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji298]️ White House: US may provide Ukraine with an additional security assistance package 'in coming days.'
"We're in lockstep with the Ukrainians talking to them every day," said National Security Council spokesman John Kirby.
Since the start of Russia's full-scale war in February, the U.S. has provided Ukraine with $15.2 billion in military aid.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787]