Senior Bachelor ll
Senior Member
- Sep 7, 2022
- 182
- 378
Baridi inaanza liniPutin ndie anaewachora NATO na USA ambao ndo wapigana nae (Ukraine ni chambo tu)
Russia hadi sasa anahodhi eneo la kilomita za mraba 120,000 hivyo hawana wasiwasi Ukraine kujisifu amechukua eneo ka kilomita 6000 za mraba, na ndo maana Putin anaweza hata kusafiri kwenda Uzberkstan kwenye mkutano.
Ukumbuke hadi sasa Russia bado hajatumia jeshi lake kamili bali bado atumia wanajeshi wa kukodi kama Wagner na wale wa Chechen.
Pia vifaa vyote vya kivita maalum bado hawajaviingiza kwenye vita.
Ila, US na NATO wakae mkao wa kula Russia angojea baridi ianze na siku si nyingi atafanya kitu mbaya sana na si matumizi ya nyuklia.