Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia akishindwa vita hii hakutokuwa na ww3. Hiyo.kitu haianzi kirahisMarekani anajua,Russia akishindwa hii vita means world war 3!So vita hii inaweza kwenda hata miaka 10,wamachosubiri ni uchumi wa Russia ndio umalize vita!Yaani uchumi wa Russia ukianguka basi Russia ashindwe kuendesha vita!Lakini sio Russia ashindwe kwenye battlefield,ikitokea hivyo,west wanajua kitakachofuata!
You hilo ndio tatizo mlilonalo wengi. Kila mtu ana judge based on majigambo instead of field tacticts,tecnicals, professionalism.Russia bado hajaamua vita iishe ila akiamua ni sekunde tu. Russia bado hajapata anachokitaka lazima apeleke taratibu ili malengo yatimie
Tunataka waogelee kama kambareMaeneo ya jiji Ukraine yameshaanza kujaa maji.
Russia kalipua bwawa bhana!LAWAMA gunia na BADO tunapiga mpk mabanda ya kuku
Not so fast ,Not so easy , Not yet[emoji845]The domination of the West is over
The world domination of the West has come to an end, former French ambassador to Israel, the United States and the United Nations Gerard Haro said on France 24.
The Karachunovskaya dam is 205 meters long and belongs to the 1st class of capital. Every spring, it is strengthened by carrying out repair work, but despite this, the dam is swollen and corroded by time almost along its entire length.Tunataka waogelee kama kambare
Saa. 72. imekuwa 6months. Urusi wakalaleThe Karachunovskaya dam is 205 meters long and belongs to the 1st class of capital. Every spring, it is strengthened by carrying out repair work, but despite this, the dam is swollen and corroded by time almost along its entire length.
Scientists say that in the event of a dam break, almost 300 million tons of water will pour into the city, flooding 70 km2. The central urban area may be flooded above the third floor.
This evening,Russian Aerospace Forces launched a missile attack on the Karachunovskaya dam, after which, the water level in the Ingulets River, downstream, began to rise.
Yaani hii taarifa nilivyoisoma nimecheka kama mazuri. Sijui waliwaza nini mpaka wakawa hili! Russia wanafanya vitu ambavyo ni ngumu kwa akili ya kawaida
Sababu nn za kujaa maji?Tunataka waogelee kama kambare
This shouldn't be brought here imejen vita ya Uganda na Tanzania mganda anakuambia, msimbazi imejamaji ili kuonyesha uimara wa jeshi la Nduri?.Maeneo ya jiji Ukraine yameshaanza kujaa maji.
Azerbaijan vs ArmeniaVifo ni vingi sana na hawataki kuchukua miili ya vijana wao
Azerbaijan vs Armenia hii videoAisee hii Hari sio ,Sasa hakuna Cha ukrein au Urus bali tu Mungu angilie Kati wamalize vita,
Aisee inauma Sana ,watu wanakufa,wanaacha familia zao,ndugu na jamaa,hii sio sawa kwakweli
0655321066 na 0784720642Azerbaijan vs Armenia
0784720642 na 0655321066 mpigie huyu akuonyeshe mbinu zingine zinazotumikaTope tupu kifaru kinatembeaje.Russia anaitumia mbinu kujipanga