Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
[emoji848][emoji848]Muda mfupi ujao urusi inatarajiwa kuuteka mjini mkuu wa ukraine kiev
[emoji848][emoji848]Muda mfupi ujao urusi inatarajiwa kuuteka mjini mkuu wa ukraine kiev
Hakuna nchi 30 hapo mkuu. Muamuzi na mpanga matukio ni mmoja tu. Hao wengine ni vibendera fuata upepo.
Kuna yule alikuwaga anatuletea 'breaking news' kila baada ya dk 1 anaitwa Nyundo ya Moto yuko wapi? Pro Russia wa Feb hadi April hapo walikuwaga moto kweli,sasa hivi wengi wao wamejizima data baada kuona uhalisia.Naona pro russia wa humu ndan wamejificha kwe mahandaki
Uzuri Zelensiky yupo salama kabisa according to Sky News na Aljazeera.Hii coment,inawapa matumaini pro Russia,wakiona watairukia kama mbwa aliyetupiwa mfupa[emoji2]
Mwambie rukhsa kunipigia0784720642 na 0655321066 mpigie huyu akuonyeshe mbinu zingine zinazotumika
sawa adelius f.rwemigira atakupigia. Je bado unatumia namba 0626184627?Mwambie rukhsa kunipigia
Ndiosawa adelius f.rwemigira atakupigia. Je bado unatumia namba 0626184627?
Maisha ya Russian ,utafikiri bongo
View attachment 2357385
Ni kitu gani kinachoonyesha hapo Ni Russia?Maisha ya Russian ,utafikiri bongo
View attachment 2357385
leonce rwezaura
Ni jambo jema [emoji120][emoji120]Uzuri Zelensiky yupo salama kabisa according to Sky News na Aljazeera.
Tabu iko pale pale.
Kwani Russia ina alama gan mkuuNi kitu gani kinachoonyesha hapo Ni Russia?
Ndio maana picha uwaga inakuwa na narration kwa chini ili kutoa details na info juu ya hiyo picha.Kwani Russia ina alama gan mkuu