Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo distroyed vehicles ambazo wana haribu russia everyday si wangekuwa wako kiyv sahizi.?
Am sorry to say but putin angaalie watu anaofanya kazi nao wanampiga fix
 
Kaka embu share hiyo link. Thats interesting to hear from wananchi hao ambao juzi juzi walionekana kuwakaribisha askari wao kwa machozi na makumbato mengi
 
mbn sio siri kuwa US amepgana vita vingi tu, mi ht sijawahi bisha but point yangu ni kuwa russia yuko busy kuvamia na kupokonya ardhi za majiran zake mkuu hio ndio inaleta rusophobia toka hizi nchi, ht north korea unaweza ona ni mwendawazimu kukomalia kuwa na nguvu za nuclear ila ana hesabu nyingi sn, china kwa imiaka mingi sn huko nyuma haikuwa na mahusiano mazuri na urusi kwasababu hiohio, hii siberia anayoringia mrusi leo ilikuwa ni ya china kabla ya 1850 lkn mrusi alitumia style hizihizi kuikwapua toka china, china anaelewa kabisa style za jiran yake na nationalists wa china wanakomalia historia ya siberia kuendelea kufundishwa mashulen ili vijana wasije kusahau, majirani zenu hawawaamini mkuu, marekan hana nguvu ten ya kwend kusumbua korean peninsula au pacific so huku kujiimarisha kjeshi kwa china na north korea ht si kwaajili ya marekan maana wanajua inadecline haiwez kuja kuvamia yeyote pale so wanajiimarisha tu kwaajili ya usalama wao maana eneo lile hamuaminiani
 
Habar njemaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635]

A former NATO general has warned that the alliance is not ready to engage in a war with Russia should its invasion of Ukraine turn into a “worst case” scenario.

General Sir Richard Shirreff, who served as the deputy supreme allied commander Europe between 2011 and 2014, said the success of Ukraine’s counteroffensive had been “vindication” of the military support for Kyiv, particularly from the U.S. and U.K.

The Briton said that could “send a powerful message to the wobbly nations” in the alliance about backing Kyiv, “particularly the Germans who have been utterly pathetic.”

But in his call…

Continue Reading


News Source: NATO nowhere near ready for direct war with Russia: Ex-general
 
Hizo distroyed vehicles ambazo wana haribu russia everyday si wangekuwa wako kiyv sahizi.?
Am sorry to say but putin angaalie watu anaofanya kazi nao wanampiga fix
mkuu hizo ndio habari zinaripotiwa kwe vyombo vya habari vy ndani huko urusi, hawana access ya habari tofauti na serikali yao inavyotaka iripotiwe
 
US mjanja,anatengeneza nchi chambo Karibu na mataifa ambayo ni tishio kiuchumi Kwake!Mfano China,tayari ameshampata Taiwan,Na Kwa Russia tayari ameshampata Ukraine!Tena hapo ameshajua Kuna migogoro basi akiona mataifa hayo yanazidi kuimarika kiuchumi,basi anaanza kuanzisha ***** ***** Ili kuyaingiza Vitani na Kisha yeye kufanya biashara na pia kupunguza nguvu ya uchumi!
Americans are evils,ni mashetani yanywa damu namba Moja duniani!
Wamejiapiza Ukraine vita haitakwisha until the last Ukrainians is gone!Putin akasema,let be so!
 
@T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Volodymyr Zelenskiy has voiced concerns for his home city of Kryvyi Rih, parts of which were flooded after Russian cruise missiles blew up a nearby dam.

In a video address released early on Thursday, the Ukrainian president said “everything is being done to eliminate the consequences of yet another vile Russian act”, referring to the targeting of the dam in Kryvyi Rih, on the Inhulets River 95 miles (150km) south-west of Dnipro.

Russia-Ukraine war latest news: what we know on day 204 of the invasion

City authorities fought to contain the damage to its water system after eight cruise missiles hit a water pumping station there in what Zelenskiy has called an attempt to flood the city, the largest in central Ukraine, with an estimated prewar population of 650,000.

Workers repairing the dam on a reservoir close to Kryvyi Rih. Photograph: AP

The Ukrainian legislator Inna Sovsun tweeted: “The water pumping station was destroyed. The river broke through the dam and overflowed its banks. Residential buildings are just a few meters away from the river.”
 
Hizo distroyed vehicles ambazo wana haribu russia everyday si wangekuwa wako kiyv sahizi.?
Am sorry to say but putin angaalie watu anaofanya kazi nao wanampiga fix
Hizo video za himars ku destroy madaraja na maiti za urusi na ndege zilizoangushwa zinaletwa kila siku na pro nato si ingekuwa wa ukrane wako moscow!!! Itakuwa zele anadanganywa aangalie watu anaofanya nao kaz [emoji23]
 
Unajua wakati mwingine uwe na akili, we hujiulizi kwanini EU walizuia RT? Kwanini walifunga mpaka chanel zao za youtube? Kwanini leo ukiandika Operation ya Russia nchini Ukraine youtube wanafuta wanaona unapotosha? Cos na wao wanataka uwe unarepoet kile ambacho wao wanakipenda.

Usiwaone Russia wanazuia habari tofauti juu yao ila ata west walishafanya hivohivo na ndiyo maana kule Libya waliita ni Operation lakini mpk leo wanaitakbua hivo
mkuu hizo ndio habari zinaripotiwa kwe vyombo vya habari vy ndani huko urusi, hawana access ya habari tofauti na serikali yao inavyotaka iripotiwe
 
ndio hivyo mkuu watu huwa wanatafuta sehemu ya kuingilia, juzi kati china haiku overeact pelosi kwenda taiwan kwasabu haikutaka kuingia kwe mtego ambao marekan, ndio siasa hizo mkuu, sa putin wakimtekenya anajibu na chuma watu wanazidi kupata visingzio vya kupandikiza chuki, hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…