Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

sawa Xi JINPNG, wahusika watakuwa wamekusikia
“No matter how the international situation changes, we will continue our strong support to Kazakhstan in protecting its independence, sovereignty and territorial integrity... and strongly oppose... the interference of any forces in the internal affairs of your country,” Xi continued, adding that he would hold talks with Tokayev “to jointly draw a new blueprint for China-Kazakhstan all-round cooperation.”, Xi yuko kazakhstan leo
Hii vizuri. Maana baada ya rais wa Kazakhstan kukataa matakwa ya Putin, Warusi wengine walianza kujadili vita dhidi ya Kazakhstan. Kazakhstan haitaki kutambua jamhuri bandia za Donbas pia inashiriki katika vikwazo dhidi ya nchi iliyoanzisha vita.
 
Nimeona habari hapa French 24,huko Izyum baada ya Urusi kuondoka,wananchi wanapishana na kufokeana!Wengine wanasema wamekula msosi wa bure Kwa kipindi chote ambacho Russia walikuwepo,Sasa pamechukuliwa na Ukraine,hakuna msaada wowote wa kibinadamu wanaopata!Wengine wakasema bora Russia wangeendelea kuwepo tu!
Mwingine akamind akasema unauza ardhi Yako Kwa chakula?Jamaa akamjibu,mbona hata wewe ulikuwa unakuja kuchukua chakula Cha bure na Kisha unarudi kulala kwako!
Daaaah😀😀
 
yeah pia urusi pia ina claim eneo linalokaliwa na watu jamii ya urusi huko kazakhstan, na pro-russia pundts wengi walikua wakiitishia kazakhstan baada ya rais wake kukataa kuitambua donbass, naona xi amerusha jiwe kizan maana china ina mslahi makubwa kazakhstan pia ni majirani
 
Nimeona habari hapa French 24,huko Izyum baada ya Urusi kuondoka,wananchi wanapishana na kufokeana!Wengine wanasema wamekula msosi wa bure Kwa kipindi chote ambacho Russia walikuwepo,Sasa pamechukuliwa na Ukraine,hakuna msaada wowote wa kibinadamu wanaopata!Wengine wakasema bora Russia wangeendelea kuwepo tu!
Mwingine akamind akasema unauza ardhi Yako Kwa chakula?Jamaa akamjibu,mbona hata wewe ulikuwa unakuja kuchukua chakula Cha bure na Kisha unarudi kulala kwako!
Daaaah😀😀
hawa wananchi walikua hawana shida hizo zote za misosi kabla urusi haijawavamia
 
Nimeona habari hapa French 24,huko Izyum baada ya Urusi kuondoka,wananchi wanapishana na kufokeana!Wengine wanasema wamekula msosi wa bure Kwa kipindi chote ambacho Russia walikuwepo,Sasa pamechukuliwa na Ukraine,hakuna msaada wowote wa kibinadamu wanaopata!Wengine wakasema bora Russia wangeendelea kuwepo tu!
Mwingine akamind akasema unauza ardhi Yako Kwa chakula?Jamaa akamjibu,mbona hata wewe ulikuwa unakuja kuchukua chakula Cha bure na Kisha unarudi kulala kwako!
Daaaah😀😀

Kwahiyo hii habari za Miji kukombolewa kumbe ni kweli sio propaganda?
 
Kwani ardhi anaifanya ya Kwake?Ye anawakomboa na wazawa ndio watakula matunda!
kama alivyokomboa abakhazia, south ossetia na transnistria?? ndio maana tokayev kasema hatoitambua donbass, kwakuwa anajua nia yenu ya baadae kuitaka ardhi yake wanakoishi watu wanoongea kirusi, mna shida na majirani zenu nyie watu
 
Mngemwambia Zelensky akaacha kuwatesa na kuwaua warusi wa Donbas,haya yasingeokea!Yaani jeshi la Nazis ndio lilikuwa deployed Donbas!Warusi walikiona Cha moto,miaka nenda Rudi jamaa anamuonya Zele ila akawa Kichwa ngumu!
 
kwani wakati mnapokonya crimea au kuweka vibaraka wenu kule east zelensky alikuwepo?? mmekalia ardhi ya moldova ya transnistria kuna zelensky huko? mlipovamia na kukalia ardhi ya georgia kuna zelensky pia huko? mmekuwa na tabia ya kuvamia na kukalia ardhi za majirani zenu halafu mnadai kuwa marekan ndio anasambaza rusophobia kwa nchi zinazowazunguka,
 
Naendelea kuwakumbusha endeleeni na propaganda zenu baaada ya kuchukua udhibiti wa miji 2 lakini kumbukeni bado Russia anamiliki 20% ya ardhi yote ya Ukraine.
Miji mingapi??[emoji41]

Kupiansk

Blyanklia

Izium

Metropol

Jamaa wamekomboa maeneo yote hayo ndani ya siku 5,

Bado wanaendelea kusonga mbele kwa Kasi ya mwanga huko Donbass

Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
 
kwani wakati mnapokonya crimea au kuweka vibaraka wenu kule east zelensky alikuwepo?? mmekalia ardhi ya moldova ya transnistria kuna zelensky huko? mlipovamia na kukalia ardhi ya georgia kuna zelensky pia huko? mmekuwa na tabia ya kuvamia na kukalia ardhi za majirani zenu halafu mnadai kuwa marekan ndio anasambaza rusophobia kwa nchi zinazowazunguka,
Na Huo ndio kweli kwenye sentence ya mwisho!
USA mpaka Sasa amevamia nchi ngapi?Tena zilizo mbali na mipaka yake!
Unajua mpaka Sasa taifa linaloongoza Kwa kupigana vita nyingi?
US ni mchochezi mkuu wa vita,hata alichofanya Taiwan ameona haijatosha,Sasa ameandaa Bill kupeleka silaha za maangamizi Taiwan!
Hata vita ya Russia na Ukraine,imechangiwa na Kwa asilimia fulani na US!
 
Wanaolialia ni Armenia, pamoja na kuwa na vikosi vya Russia mwaka 2020 walitandikwa na haikufanya lolote. Leo hii Russia imepeleka wanajeshi waende Armenia, anayejiliza nani hapo
Wanajeshi wa RUSSIA wapo toka zamani mbona
Na jana cjui juzi kuna eneo wanakaa idara yujasusi ya FSB RUSSIA ARMENIA walitangaza kua imeshambuliwa na waazeri naona waazeri wakakanusha kupitia FM wao
Kuepo vikosi vya RUSSIA sio shida kama unavyotaka kuonesha hapo juu shida nikwamba wamehusika kwnye hayo mapigano
Mwisho azer ndio wanalialia maana ARMENIA wanalilalia eneo lao hao mabwana tokea mwaka 1990s
Jamaa wanataka kukomboa eneo lao Azeri ila hawana huo ubavu kama wanaweza wakakomboe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom