Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ah sasa kwani si hoja tu mkuu sasa niwe na akili kivipi? ni kweli wameban RT na nyinginezo but hakuna anayezuia kureport chochote kuhusu urusi ht ukisema sio uvamizi ni special operation hakuna mwenye shida so ukipata information uko free kureport but urusi imeban kabisa ht kureport tofauti na vile serikali inavyuotaka, uksema hii ni vita na si SMO n jela 15 yrs kwa sheria ya sasa, we ulishasikia huko west mtu kafungwa kwa kureport kuwa hii ni SMO na si uvamizi?
 
au we umeshasikia media za EU zimepgwa marufuku kureport habari yoyote ile kuhusu ukraine au urusi, maana za urusi zimekatazwa kureport takwiku au habari yeyote kuhusu jeshi ambazo hajijathibitishwa na MOD sasa sijui ni west ipi ambayo inarestriction ya aina hiyo ya kutoa habari, tujuzane
 
Hizo distroyed vehicles ambazo wana haribu russia everyday si wangekuwa wako kiyv sahizi.?
Am sorry to say but putin angaalie watu anaofanya kazi nao wanampiga fix
Watuoneshe hata kapicha tu
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Europe’s power networks face a crucial test this winter, with supplies compromised by a collapse in imports of Russian energy, nuclear outages in France and dwindling hydropower reserves. The battle to avoid blackouts will be waged partly by the specialist traders who send electricity across borders to where demand, and prices, are highest. There’ll be no room for error. Any unplanned halts of big power stations or sudden failures on transmission cables could plunge cities into darkness and bring factories to a juddering halt.

The UK and Nordic countries began to liberalize their…

Continue Reading


News Source: How Power Trading Tries to Keep Lights On in Europe
 
Putin Slams “Unipolar World” Attempts In Xi Meeting

Russian President Vladimir Putin has hit out at “attempts to create a unipolar world” after meeting Chinese counterpart Xi Jinping at the Shanghai Cooperation Summit in Samarkand, Uzbekistan.

Putin also thanked Beijing for its “balanced position” on Ukraine, admitting its concerns over the crisis are understandable and promising to clarify Russi adding Moscow agrees with the ‘One China’ policy and condemns the US’ provocative approach to Taiwan.

Xi added China was willing to work with Russia as “great powers”.

Subscribe to RT
 
China ilivyoacha kureact Pelosi kwenda Taiwan na kusindikizwa na ndege vita(maana yake uvamizi), US hajaridhika,ameandaa Bill ya kuwapa silaha kali za kivita Taiwan Ili kuendelea kumchokonoa China!Halafu China akireact jamaa anawashirikisha wanafiki wenzake NATO na EU kuiweka sanctions china!
Hebu hizo vurugu anazofanya US,China ajaribu kwenda kuweka Base Cuba na kupeleka silaha za maangamizi huko,US atasema yupo tayari Kwa WW3 ila sio China kuweka Base Cuba!

Mmwagaji damu namba Moja Dunia hii ni USA!Halafu watu wanamuona muungwana!Muungwana my foot!
 
HIZI SIYO PICHA NZURI NA HAKUNA SIFA YA KUSHABIKIA VITA. Tuanatakiwa kushikamana kwa namna zote hivi vita viishe. Hawa ndugu wapatane.
Huu Uzi wa Oparation Maalum Bado Russia hajaingia Vitani, Zelensk anatakiwa asiegemee upande wowote West au East asikaribishe maadui wa jirani zake kwenye ardhi yake
 
Usiku kuamkia leo Azerbaijan imeshambulia kituo cha shirika la ujasusi la Urusi kilichopo grey zone ndani ya mipaka ya ArmeniaView attachment 2356864View attachment 2356865View attachment 2356867

Aione Bwana Utam aliyedai Azeri waache kulialia
[emoji1039][emoji635]The Azerbaijani ̵D̵e̵f̵e̵n̵s̵e̵ ̵M̵i̵n̵i̵s̵t̵r̵y̵ Rejection Accusation MInistry has rejected accusations from Armenia of firing on a vehicle of the FSB of the Russian Federation

Sawa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unatoaje habari ambazo hujazithibitisha MKUU
MOD anapewa habar nawalio field mie na wewe tutapata habar toka wap!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin ameishiwa mpaka anaenda kununua silaha kwa shoti wa Korea?I thought Russia wanakilakitu duuu
 
Putin ameishiwa mpaka anaenda kununua silaha kwa shoti wa Korea?I thought Russia wanakilakitu duuu
Technoligia ya Silaha za Urusi inategemea 45% importation ya vifaa toka Ulaya - Kwa hiyo viwanda vyake haviwezi kuendelea na uzalishaji kwa kasi inayotakiwa - hana namna ni lazima aombe kwa majirani zake - hali ni mbaya kule !!
 
Kwa hizi siku mbili naona Urusi anasambaza kipigo balaa hapo Ukraine, watu wanachomwa kama panya na jeshi la Urusi linasonga kwa kasi huko.
atachoka tu, unless Ukraine wenyewe waamue kumpa nchi yao, vinginevyo kazi anayo. Nchi haiwezi kupigana vita ndefu ikabakia salama, per day ni billions of cash zinatumika ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…