Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hahah hahah dah ila kuna hujuma zingine zinatia hasira sana raia lazima wageuke Kambare [emoji226][emoji226][emoji226][emoji226][emoji226][emoji226][emoji226][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali ilivyo katika mkoa wa Kryvyi baada ya WARUSI kubomoa kuta za mto zinazozuia maji kuja kwenye makazi.View attachment 2357978View attachment 2357979
Mbn alichukua eneo la georgia na hawajajaribu kulichukua!?Hivi Urusi anataka ardhi? Kwann asiende moja kwa moja kwenye objective? Hii kushika eneo halafu unakaa nalo kama unalitaka moja kwa moja ndo inamgharimu sababu hata ikipita muda gani as long as wenye eneo wapo hai watajaribu kuchukua eneo lao na watauwa tu warusi. Kama nia yake ni kuyachukua hayo maeneo angeua kwanza wanaosema ni ya kwao awamalize.
Okey boss. Nakuelewa.Mbn alichukua eneo la georgia na hawajajaribu kulichukua!?
Alafu vita zote zimebase kwenye deception hii hapa haina tofauti. Tunayoyajua sisi kuhusu hii vita hayafiki hata 5% ya ukweli halisi wanaoujua wanaohusika na vita venyewe.
Point yangu hapo awali ni kwamba kushikilia ardhi ni ishara sahihi na ya wazi inayoonesha ushindi au kushindwa! Sio kupoteza vifaa wala askari bali ardhi. Ikiwa Ukraine wanaruhusu advancement ya warusi huku na wao wakisogea kwenye counter offensive naona km ni kazi bure kuelekea kushinda. Mzuie kwanza asiendelee kusogea kwenye eneo lako kbl hujaanza kumlazimisha atoke kwenye lile analokalia tayari.
Anyway its just my opinions
Kila mtu na fani yake bhana!Mbona unaroho nyepesi sana unaweza kusaidia majeruhi aliyeumia wewe[emoji44]
Haya ndio mafanikio makubwa ya kijeshi anayojivunia urusi [emoji2]Hali ilivyo katika mkoa wa Kryvyi baada ya WARUSI kubomoa kuta za mto zinazozuia maji kuja kwenye makazi.View attachment 2357978View attachment 2357979
Safi Sana hapo wakifuga sangara na migebuka ndani ya Muda mfupi tu watatajirika,wamekalia utajiri hapo-Alisikika Motivational speaker wa JF akiongea kwa sauti.Hali ilivyo katika mkoa wa Kryvyi baada ya WARUSI kubomoa kuta za mto zinazozuia maji kuja kwenye makazi.View attachment 2357978View attachment 2357979
[emoji635][emoji1250]Putin and Erdogan in Samarkand will discuss the transition to rubles and lira when paying for Russian gas.Dikiteta Putin kaonekana kuwa ana akili finyu kweli
Yaani kaingia kwenye ndoano ya west kiulailaini tu [emoji2]
Ngoja tu waendelee kumtatua Malinda hakuna namna