Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wivu wa kike

The United States wants to "undock" Central Asia from Russia, USAID Deputy Assistant Director Anjali Kaur openly stated

According to her, ultimately the American goal should be the "undocking" of Central Asia from the Russian economy.
 
Super pawer anatishiwa kupigwa ngumi ya kulia..,anababaika wee.., kumbe dhamira yetu ni kumtwanga kwa ngumi ya kushoto

Anapigwa mkwara kwamba Kuna counteroffensive kheson kumbe wajanja wamedhamilia kumchakaza khakivu [emoji2]
 
mkuu hizo ndio habari zinaripotiwa kwe vyombo vya habari vy ndani huko urusi, hawana access ya habari tofauti na serikali yao inavyotaka iripotiwe
Media sensorship mbn inafanyika dunia nzima mkuu!? Hakuna serikali ya nchi yeyote iko tyr taarifa isizozitaka zitoke

Mm huwa nafanya hivi; kila chombo cha habari kikubwa nakijua ni cha kambi ipi. Mf kwenye huu mgogoro kuna sputnik na rt upande wa urusi alaf kuna Kiev independent na western msm upande wa ukraine. Taarifa yeyote kutoka RT au Sptunik iliyo in favour of Russia huwa siiamini na taarifa yeyote kutoka KI au western media iliyo in favour of Ukraine siiamini. On the other hand km RT wakitoa taarifa in favour of Ukraine naiamini tena najua wamepunguza ukweli wa mambo.

Ziko baadhi ya media zinajitahidi kuwa neutral lkn sio kwa 100%. Ni kazi ya mtu mwenyewe kuchambua.

If you don't read the news you are uninformed, if you read the news you are misinformed
~ D. Washington
 
The Ukrainian Armed Forces again claimed to have shot down an Iranian UAV used by Russia.

1663258448603.png
 
The United States is still not ready to supply Ukraine with ATACMS ballistic missiles with a range of up to 300 kilometers, CNN reports citing sources. "To date, the United States is still not ready to supply the Ukrainian armed forces with ATACMS systems, which they (Ukrainians) have been asking for for several months," the publication says. According to sources, the administration of US President Joe Biden is unlikely to significantly change its approach to the aid package for Kyiv, considering the types of weapons already being delivered "effective." Officials do not believe that the situation on the battlefield has changed enough to make significant changes in strategy in the near future, despite Ukrainian requests to the Pentagon for long-range missile systems and tanks.
 
Back
Top Bottom