Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Shahed-136 vs Bayraktar
The first photos of the consequences of the use of Shahed-136 Iranian kamikaze drones by Russian troops (localized as Geran UAVs) appeared on the Web A drone hit an enemy self-propelled gun.
View attachment 2360728
View attachment 2360729
View attachment 2360730

Mnatuletea pichamlizopigwa
1663513020456.png
 
Huu uzi umekuwa na comment zenye ukakasi toka Mwanzo ila hakuna aliwai omba Mods waingilie kati.
Ikiwa hukuwa na shida na lugha zilizokuwa zikitumika toka mwanzo wa hii thread basi vumilia tu na huu mwisho wake.
Wengi wanaolialia kwa mwenendo wa huu uzi wana FAKE HEKIMA ila kiuhalisia ni watukanaji wazuri na watu wa lugha chafu. . Ikiwa wana hekima kweli walipaswa kuzionyesha toka mwanzo kabisa wa huu uzi ila kwasasa ni kutafuta huruma ya Mods tu.
Mods wenyewe ni sehemu ya ukakasi...Bila Shaka wameelekezwa waachie matusi
 
@lee van cliff uchambuzi wako hapo juu umekuja na evidence hongera sana MKUU naamini mchambuzi wetu hapa ndugu T14 Armata atapitia hapo kwako juu
Bila yakusahau na hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
T14 Armata alikua mchambuzi Mzuri sana zamani kabla hajaonesha mapenzi yake kwa west.
Huyo ni mmoja wa wanaoamini kua west ni peponi na hawana makosa wala matatizo.
Anaponda Kila kitu Cha East bila kukumbuka kua hata west Wana makosa na madhaifu kama East.

Naongeza Tena.
Op hii Russia Yuko peke yake.
Op kama hii USA hawezi kwenda peke yake na akasavaivu hata kwa miezi mitatu TU kama hajakimbia ama kutumia nuke.
Kama watalabani TU wasio na Jeshi la anga ,majini na ardhini lililokamilika limemkimbiza angeuweza mziki anaoucheza Urusi?
All major Powers wa west wanampa silaha na intelligence Ukraine.?

T14 Amarta hanaga kumbukumbu.
Leo Turkey anapeleka majeshi dhidi ya NATO mwenzake.
 
Huu uzi umekuwa na comment zenye ukakasi toka Mwanzo ila hakuna aliwai omba Mods waingilie kati.
Ikiwa hukuwa na shida na lugha zilizokuwa zikitumika toka mwanzo wa hii thread basi vumilia tu na huu mwisho wake.
Wengi wanaolialia kwa mwenendo wa huu uzi wana FAKE HEKIMA ila kiuhalisia ni watukanaji wazuri na watu wa lugha chafu. . Ikiwa wana hekima kweli walipaswa kuzionyesha toka mwanzo kabisa wa huu uzi ila kwasasa ni kutafuta huruma ya Mods tu.
Mods wenyewe ni sehemu ya ukakasi...Bila Shaka wameelekezwa waachie matusi
 
Kuna habari zililetwaga hapa na Pro Ukraine kwamba huyo mkuu wa Wagner Group ameuliwa na bomu akiwa huko Ukraine. Je, amefufuka?

Pili, kwa wao kufanya recruitment ya hao wafungwa kuna ubaya gani. Yaani hilo jambo lina ubaya gani?
Urusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.
Hata silaha anazotimia anatumia kwa tahadhari hatumii zana zote muhimu,anajua baadae NATO wanaweza wakaingia mzigoni,hivyo anaweka akiba ya vita kamili na kubwa.
Ni akili TU.
Ila wasiojua wanaona kama kaishiwa askari.
Hata NATO wanajua lengo hilo la Urusi.
 
Dunia ina mambo 🤣

Wenzetu baada ya HIMARS hivi sasa wameleta kituko kipya.

Wana sayansi wa Ukraine baada ya kubwia unga vizuri wanadai kua UFOs na Alliens wapo after Vlad Putin 🤭. Sasa Nasubiri wazee wa kubadili ID kujiita HIMARS kama watafata upepo wabadili wajiite UFO's ama Alliens.

IMG_20220917_084727_674.jpg


2022 tutashuhudia mengi sana 😜, Napata shida sana kuelewa mind za watu wanao wasikiliza na kuwaamini hawa viumbe.

#SlavaCocaine 🤗
 
Urusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.
Hata silaha anazotimia anatumia kwa tahadhari hatumii zana zote muhimu,anajua baadae NATO wanaweza wakaingia mzigoni,hivyo anaweka akiba ya vita kamili na kubwa.
Ni akili TU.
Ila wasiojua wanaona kama kaishiwa askari.
Hata NATO wanajua lengo hilo la Urusi.
Wabongo mna maneno sana yaan wewe unaishi kanchi maskin unajua mambo ya big country kama Russia tena mambo ya jeshi? Saluuut bwana mkubwa
 
Wabongo mna maneno sana yaan wewe unaishi kanchi maskin unajua mambo ya big country kama Russia tena mambo ya jeshi? Saluuut bwana mkubwa
Hii ya kutumia wafungwa na makundi ya kukodi mbona imesemwa na Putin mwenyewe!
Uvivu wako wa kutafuta na kusoma habari ndio unakupa shida.
Hivi wewe kwa aliki zako unaamini Russia kaishiwa wanajeshi?
 
Ukifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
Nilikuwa sijui kama iran inaongozwa kidikteta
 
Hivi hizi S-300 za Russia zinafanya kazi gani mbona milipuko haiishi hapo Kherson?![emoji848]

A powerful explosion rocked the temporarily occupied city of Kherson, southern Ukraine. The Yuvileiny movie concert hall was hit.
"The Yuvileiny movie concert hall was hit. We are waiting for details..." Oleshky town mayor Yevhen Ryshchuk posted on Facebook, Ukrinform reports.

Play Video
 
T14 Armata alikua mchambuzi Mzuri sana zamani kabla hajaonesha mapenzi yake kwa west.
Huyo ni mmoja wa wanaoamini kua west ni peponi na hawana makosa wala matatizo.
Anaponda Kila kitu Cha East bila kukumbuka kua hata west Wana makosa na madhaifu kama East.

Naongeza Tena.
Op hii Russia Yuko peke yake.
Op kama hii USA hawezi kwenda peke yake na akasavaivu hata kwa miezi mitatu TU kama hajakimbia ama kutumia nuke.
Kama watalabani TU wasio na Jeshi la anga ,majini na ardhini lililokamilika limemkimbiza angeuweza mziki anaoucheza Urusi?
All major Powers wa west wanampa silaha na intelligence Ukraine.?

T14 Amarta hanaga kumbukumbu.
Leo Turkey anapeleka majeshi dhidi ya NATO mwenzake.

US hawezi kwenda peke yake bila NATO, Russia anapigana vita ambayo anahakikisha hakuna maafa kwa Raia njoo upande wa US kama anajali raia.
 
Duh! Kifaru kina dashboard kama ndege,[emoji848]

Au hizo picha hazina uhusiano,
Kifaru hicho Mzee,ni moja ya kifaru hatari Sana n (Kwa mujibu wa Russia) na kimetengenezwa kupigana na NATO. Kimeanza kutumika juzi tu hapo 2020,Leo Ukraine wamekidaka. Hiki lazima Marekani wakipandishe ndege kipelekwe Area 51.
 
Kumbe Russia Ni Big Country


Si mnasemaga ameishiwa chakula. Au mnakuwaga mnajitoa ufahamu...?
Urus aishiwe chakula ,mkuu na wewe hakuna mtu alishaongea hiyo maneno ,unatunga .Kusema taifa kubwa simaanishi ndiye kiranja ,namaanisha ni miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa za kimaendeleo ,sikaifagilia kihivyo maana kuna German ,Italy ,France, UK ,China,Japan, US,na nyinginezo unazozijua hizo ni nchi zenye maendeleo makubwa
 
Duh! Kifaru kina dashboard kama ndege,[emoji848]

Au hizo picha hazina uhusiano,
Mwezi uliopita jeshi la Urusi lilipokea vifaru hivi vya ziada vipya toka kiwandani

The Russian Army has received a new batch of T-90M ‘Breakthrough’ main battle tanks from the Uralvagonzavod company, which other than experimental units of T-14 Armatas represents by far the most capable tank class in the Russian Military. Preceding the outbreak of the Russian-Ukrainian War in February, the Russian Defence Ministry had planned the acquisition of approximately 600 T-90Ms, although the bulk of these would be developed by modernising older T-90s already in service. The tank first entered service in the Russian Army in April 2020 after testing was completed two months prior, with notable features including integration of the new 2A46M-5 gun and Kalina fire control system, use of Afghanit active protection system and Relikt explosive reactive armour, and extra armour isolating ammunition from the remainder of the tank which makes the vehicles far less prone to exploding. This final advantage was demonstrated in Ukraine, where the sole destroyed T-90M tank seen in May appeared far more in tact than most of the T-72s and older T-90 variants that were lost in the theatre. The tank is not only far more survivable, but also maintains much better situational awareness particularly due to its network centric warfare capabilities and array of modern thermal sights, while its new main gun allows it to deploy many new kinds of rounds.

Military Watch Magazine.
 
Back
Top Bottom