Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Shahed-136 vs Bayraktar
The first photos of the consequences of the use of Shahed-136 Iranian kamikaze drones by Russian troops (localized as Geran UAVs) appeared on the Web A drone hit an enemy self-propelled gun.
View attachment 2360728
View attachment 2360729
View attachment 2360730
Mods wenyewe ni sehemu ya ukakasi...Bila Shaka wameelekezwa waachie matusiHuu uzi umekuwa na comment zenye ukakasi toka Mwanzo ila hakuna aliwai omba Mods waingilie kati.
Ikiwa hukuwa na shida na lugha zilizokuwa zikitumika toka mwanzo wa hii thread basi vumilia tu na huu mwisho wake.
Wengi wanaolialia kwa mwenendo wa huu uzi wana FAKE HEKIMA ila kiuhalisia ni watukanaji wazuri na watu wa lugha chafu. . Ikiwa wana hekima kweli walipaswa kuzionyesha toka mwanzo kabisa wa huu uzi ila kwasasa ni kutafuta huruma ya Mods tu.
T14 Armata alikua mchambuzi Mzuri sana zamani kabla hajaonesha mapenzi yake kwa west.@lee van cliff uchambuzi wako hapo juu umekuja na evidence hongera sana MKUU naamini mchambuzi wetu hapa ndugu T14 Armata atapitia hapo kwako juu
Bila yakusahau na hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods wenyewe ni sehemu ya ukakasi...Bila Shaka wameelekezwa waachie matusiHuu uzi umekuwa na comment zenye ukakasi toka Mwanzo ila hakuna aliwai omba Mods waingilie kati.
Ikiwa hukuwa na shida na lugha zilizokuwa zikitumika toka mwanzo wa hii thread basi vumilia tu na huu mwisho wake.
Wengi wanaolialia kwa mwenendo wa huu uzi wana FAKE HEKIMA ila kiuhalisia ni watukanaji wazuri na watu wa lugha chafu. . Ikiwa wana hekima kweli walipaswa kuzionyesha toka mwanzo kabisa wa huu uzi ila kwasasa ni kutafuta huruma ya Mods tu.
Urusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.Kuna habari zililetwaga hapa na Pro Ukraine kwamba huyo mkuu wa Wagner Group ameuliwa na bomu akiwa huko Ukraine. Je, amefufuka?
Pili, kwa wao kufanya recruitment ya hao wafungwa kuna ubaya gani. Yaani hilo jambo lina ubaya gani?
Wabongo mna maneno sana yaan wewe unaishi kanchi maskin unajua mambo ya big country kama Russia tena mambo ya jeshi? Saluuut bwana mkubwaUrusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.
Hata silaha anazotimia anatumia kwa tahadhari hatumii zana zote muhimu,anajua baadae NATO wanaweza wakaingia mzigoni,hivyo anaweka akiba ya vita kamili na kubwa.
Ni akili TU.
Ila wasiojua wanaona kama kaishiwa askari.
Hata NATO wanajua lengo hilo la Urusi.
Hii ya kutumia wafungwa na makundi ya kukodi mbona imesemwa na Putin mwenyewe!Wabongo mna maneno sana yaan wewe unaishi kanchi maskin unajua mambo ya big country kama Russia tena mambo ya jeshi? Saluuut bwana mkubwa
Wabongo mna maneno sana yaan wewe unaishi kanchi maskin unajua mambo ya big country kama Russia tena mambo ya jeshi? Saluuut bwana mkubwa
Nilikuwa sijui kama iran inaongozwa kidiktetaUkifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
Duh! Kifaru kina dashboard kama ndege,[emoji848]Aiseee T-90M sasa mikononi mwa Ukraine
T14 Armata alikua mchambuzi Mzuri sana zamani kabla hajaonesha mapenzi yake kwa west.
Huyo ni mmoja wa wanaoamini kua west ni peponi na hawana makosa wala matatizo.
Anaponda Kila kitu Cha East bila kukumbuka kua hata west Wana makosa na madhaifu kama East.
Naongeza Tena.
Op hii Russia Yuko peke yake.
Op kama hii USA hawezi kwenda peke yake na akasavaivu hata kwa miezi mitatu TU kama hajakimbia ama kutumia nuke.
Kama watalabani TU wasio na Jeshi la anga ,majini na ardhini lililokamilika limemkimbiza angeuweza mziki anaoucheza Urusi?
All major Powers wa west wanampa silaha na intelligence Ukraine.?
T14 Amarta hanaga kumbukumbu.
Leo Turkey anapeleka majeshi dhidi ya NATO mwenzake.
Umeona tatizo la elimu lilivokuwa kubwa nchi hiiIran inatawaliwa na dikteta gani/anaitwa Nani?
Kifaru hicho Mzee,ni moja ya kifaru hatari Sana n (Kwa mujibu wa Russia) na kimetengenezwa kupigana na NATO. Kimeanza kutumika juzi tu hapo 2020,Leo Ukraine wamekidaka. Hiki lazima Marekani wakipandishe ndege kipelekwe Area 51.Duh! Kifaru kina dashboard kama ndege,[emoji848]
Au hizo picha hazina uhusiano,
Urus aishiwe chakula ,mkuu na wewe hakuna mtu alishaongea hiyo maneno ,unatunga .Kusema taifa kubwa simaanishi ndiye kiranja ,namaanisha ni miongoni mwa nchi zilizopiga hatua kubwa za kimaendeleo ,sikaifagilia kihivyo maana kuna German ,Italy ,France, UK ,China,Japan, US,na nyinginezo unazozijua hizo ni nchi zenye maendeleo makubwaKumbe Russia Ni Big Country
Si mnasemaga ameishiwa chakula. Au mnakuwaga mnajitoa ufahamu...?
Mwezi uliopita jeshi la Urusi lilipokea vifaru hivi vya ziada vipya toka kiwandaniDuh! Kifaru kina dashboard kama ndege,[emoji848]
Au hizo picha hazina uhusiano,