Cha kawaida sana ,fuatilia leopard ya Germany ujionee usiende mbaliKifaru hicho Mzee,ni moja ya kifaru hatari Sana n (Kwa mujibu wa Russia) na kimetengenezwa kupigana na NATO. Kimeanza kutumika juzi tu hapo 2020,Leo Ukraine wamekidaka. Hiki lazima Marekani wakipandishe ndege kipelekwe Area 51.
Kwenye mataifa yenye silaha bora Russia itoe, na msije kuiweka top 10...Kifaru hicho Mzee,ni moja ya kifaru hatari Sana n (Kwa mujibu wa Russia) na kimetengenezwa kupigana na NATO. Kimeanza kutumika juzi tu hapo 2020,Leo Ukraine wamekidaka. Hiki lazima Marekani wakipandishe ndege kipelekwe Area 51.
Naomba urejee comment yangu kwenye hizo brackets () nimeandikajeCha kawaida sana ,fuatilia leopard ya Germany ujionee usiende mbali
Pamoja na kuvurunda kwenye hii operation na silaha zake kutoonesha ufanisi mkubwa bado Russia sio ya kupuuzwa linapokuja suala la silaha.Kwenye mataifa yenye silaha bora Russia itoe, na msije kuiweka top 10...
Russia ni paper tiger
Silaha za urusi zimekuwa zikikamatwa kirahisi sana katika siku za hivi karibuni,Mwezi uliopita jeshi la Urusi lilipokea vifaru hivi vya ziada vipya toka kiwandani
The Russian Army has received a new batch of T-90M ‘Breakthrough’ main battle tanks from the Uralvagonzavod company, which other than experimental units of T-14 Armatas represents by far the most capable tank class in the Russian Military. Preceding the outbreak of the Russian-Ukrainian War in February, the Russian Defence Ministry had planned the acquisition of approximately 600 T-90Ms, although the bulk of these would be developed by modernising older T-90s already in service. The tank first entered service in the Russian Army in April 2020 after testing was completed two months prior, with notable features including integration of the new 2A46M-5 gun and Kalina fire control system, use of Afghanit active protection system and Relikt explosive reactive armour, and extra armour isolating ammunition from the remainder of the tank which makes the vehicles far less prone to exploding. This final advantage was demonstrated in Ukraine, where the sole destroyed T-90M tank seen in May appeared far more in tact than most of the T-72s and older T-90 variants that were lost in the theatre. The tank is not only far more survivable, but also maintains much better situational awareness particularly due to its network centric warfare capabilities and array of modern thermal sights, while its new main gun allows it to deploy many new kinds of rounds.
Military Watch Magazine.
Kaka hii ni fake news 100%.[emoji845] [emoji1255] [emoji635] The Russian army continues its offensive in the DPR — the main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:
The Armed Forces of the Russian Federation continue to focus their efforts on occupying the entire territory of the Donetsk region.
[emoji3502] Russian troops were advancing in the areas of Kupyansk, Goptovka, Nikolaevka Vtoraya, Veselaya Dolina, Otradovka, Maryinka, Novomikhailovka and Pravdino.
[emoji3502]The Russian Air Force carried out 3 missile and 11 air strikes, as well as 40 MLRS attacks on objects on the territory of Ukraine.
[emoji3502] In certain areas, Russian troops are carrying out regrouping activities, introducing reserves, as well as conducting aerial reconnaissance.
[emoji3502] Russian troops have struck targets in areas of more than 20 localities, in particular, Kramatorsk,Seversk, Serebryanka, Two-year-old, Kamenka, Disputable, Verkhnekamenskoye, Krasnogorovka, Novomikhailovka, Neskuchnoye, Poltava
Mazungu yanataka kutuletea ukoloni wa kfwalaa Dunia ya leoNaona mseven kaamua kuwapa ukweli [emoji736]View attachment 2360836
Ukraine iliwachuza wakaingia King,walidhani anaenda Kherson so wakahamisha nguvu kubwa huko ya wanajeshi na vifaa wakaacha Kharkiv ikiwa dhaifu, Ukraine wakapiga mashambulizi ya nguvu (kwenda Kharkiv) majeshi ya Urusi yaliyobaki Kharkiv hayakua na jinsi bali kukimbia kuokoa roho zao wakaacha kila kituSilaha za urusi zimekuwa zikikamatwa kirahisi sana katika siku za hivi karibuni,
Kuna kitu hakijakaa sawa
Una mheshimu mtu muongo?Huyu jamaa nilikua namheshimu Sana Ila nimekuja kugundua ni kilaza aliyeisha kazi, hapo ukimchallenge kidogo anakublock halafu analilia demokrasia
Huna akili , kama hujui vitu kaa kimyaYaan Mkuu,
Inashangaza kwakweli Kuna watu hapa Kama Mr tyang,Galip vrl,Qibsyl na wengine wengi walikua wanatoa darasa kuendana na kisa Cha mgogoro huu na kuhusianisha Hadi Mambo ya kiuchumi kwa uchambuzi mzuri mpaka mtu unapata nondo za uhakik zenye kukuongezea knowledge.
Saiv wamekaa pembeni, hata wew Mkuu na baadhi wanaendelea kutoa hoja za ukweli naona mmekuwa mnajibiwa kwa matusi na mipasho, Ni Vizuri mkaacha kujibizana nao kabisa maana mwisho wa cku utaonekana huna tofauti nao, mfano nimepitia komenti za mtu mmoja yeye hajengi kabisa hoja na hata hakiletewa hoja, anajibu kwa matusi akiambatanisha na picha kabisa.
Moja ya komenti yake anakuambia Israeli anatuma drone katika anga la irani ili kuwamaliza wanasayansi wa irani. Mie cjawahi ckia kabisa aina hii ya assassination wanayofanya mossadi kupitia Kitengo Cha kidon kwa wanasayansi wa Iran.
Hiyo CIA washakabidhiwa, inapelekwa Poland, kisha Germany kwenye base ya MarekaniAiseee T-90M sasa mikononi mwa Ukraine
Nilikua,Ila sio sasa.Una mheshimu mtu muongo?
Halafu usipangie watu cha kuongea humu , kama panakukera gtf out of here !Yaan Mkuu,
Inashangaza kwakweli Kuna watu hapa Kama Mr tyang,Galip vrl,Qibsyl na wengine wengi walikua wanatoa darasa kuendana na kisa Cha mgogoro huu na kuhusianisha Hadi Mambo ya kiuchumi kwa uchambuzi mzuri mpaka mtu unapata nondo za uhakik zenye kukuongezea knowledge.
Saiv wamekaa pembeni, hata wew Mkuu na baadhi wanaendelea kutoa hoja za ukweli naona mmekuwa mnajibiwa kwa matusi na mipasho, Ni Vizuri mkaacha kujibizana nao kabisa maana mwisho wa cku utaonekana huna tofauti nao, mfano nimepitia komenti za mtu mmoja yeye hajengi kabisa hoja na hata hakiletewa hoja, anajibu kwa matusi akiambatanisha na picha kabisa.
Moja ya komenti yake anakuambia Israeli anatuma drone katika anga la irani ili kuwamaliza wanasayansi wa irani. Mie cjawahi ckia kabisa aina hii ya assassination wanayofanya mossadi kupitia Kitengo Cha kidon kwa wanasayansi wa Iran.
Halafu ni kipya,juzi tu hapa vimetoka kiwandani.Hiyo CIA washakabidhiwa, inapelekwa Poland, kisha Germany kwenye base ya Marekani
Umeongea kwa hisia sana...Kwenye mataifa yenye silaha bora Russia itoe, na msije kuiweka top 10...
Russia ni paper tiger
Russia ana hypersonic missiles ujue[emoji38]Umeongea kwa hisia sana...
Urusi kabakiza Nukes tu ambazo hajawahi zitumia popote pale
Urusi ana silaha nyingi mno...Pamoja na kuvurunda kwenye hii operation na silaha zake kutoonesha ufanisi mkubwa bado Russia sio ya kupuuzwa linapokuja suala la silaha.
Machoko hawa , wanaoongoza kuto lugha za shombo mara Waite wenzao mashoga nkWaambie mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Wanajeshi wake hawajui wanachopigania n niniSilaha za urusi zimekuwa zikikamatwa kirahisi sana katika siku za hivi karibuni,
Kuna kitu hakijakaa sawa