D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nakazia hapo kwenye genge la magaidi 🤣🤣🤣🤣Kabla ya Russia hajaingia Syria USA(nato) walikuwa wamempa Assad siku 3 akimbie nchi ...NATO wakawa wamekusanya jeshi kubwa nearly Syria
Siku ya kwanza ikapita siku ya pili urusi akatangaza ole wake nchi itakayovamia Syria (hapa NATO walishangaa kugundua tayari urusi alikuwa na base (raktakia)
NATO wakasepa wakaenda kujipanga kwa miezi 5 then ndio wakarudi na genge la magaidi
NASAMS (National/Norwegian Advanced Surface to Air Missile System) is a distributed and networked short- to medium-range ground-based air defense system developed by Kongsberg Defence & Aerospace (KDA) and Raytheon. The system defends against unmanned aerial vehicles (UAVs), helicopters, cruise missiles, unmanned combat aerial vehicles (UCAVs), and aircraft.Hivi NASAMS unawezafananisha na yale mapipa ya mrusi s300 s400 na s500[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2359885
Bwana huna habari za leo? Hii taarifa ya New York Times imeshazeeka kidogo. Ona:New York Times limeandika Wanamgambo wa Ukraine Wanapata kipigo kibaya huko Donbass
The New York Times writes about the heavy losses of the Ukrainian Armed Forces in the Donbass.
Armed Forces Ukraine is ceding territory under the onslaught of the Russian military. This was stated to the American edition by a Ukrainian soldier who is fighting on the front line.
"The Ukrainian military is suffering heavy losses in the Donbass, and the Russians are storming us every day," said
a Ukrainian soldier.
He added that the Russian army is achieving success and is gradually knocking out the APU from its occupied positions.
Subscribe to @Sputnik
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
rejelea ziara ya Lavrov huko uganda. utapata answer why they are against hio pipelinePutin anashinda sana nje ya Ukrania watu wanasafa .Kumbe ulaya imeshikiliwa na Russia . Kweli Russia ni mkimya sana . Majigambo yote ufahari wote kumbe tegemezi NAMNA hii. Russia ametufumbua macho kwa VITENDO juu ya ubeberu na fitna zake . Tulisoma sana maandiko ya kina Marx kina Lenin hatukupata kuelewa kama SASA.
Fikiria baada ya kutofautiana nao SASA tunaambiwa bomba la gesi na mafuta la Hoima Tanga halifai na ni ishu ya kujadiliwa bunge la European Union. Wamelikataa mabeberu. Upande mwingine Congo , Mali, Niger hawataki majeshi ya ufaransa na UN , wanataka majeshi ya Russia akili zimeanza kuturudia .Hawa wajamaa hawana dhamira ya kweli kuzuia migogoro na maafa wanapenda pawepo vita wauze silaha .
Ni ajabu kuna vijana wetu humu wanasapoti ubeberu kisa tu wanadhani ukijiweka kwa US unaonekana modern yaani wa kishua hakuna jingine ni kujikataa .
Najiuliza wakoloni waliwezaje kubebwa na wazee wetu , wazee wetu kuchapwa viboko kumbe kuna wazee wetu walivalishwa VIATU wakapewa kofia na kaptura wakawa tofauti.
Tafuteni kitabu cha Msekwa Pius Waaafrika Ndivyo Tulivyo.
Usiamini neno lolote kutoka Mathanzua. Kwa sababu anazoelewa yeye peke yake anapoteza muda wake kusoma kurasa za Kimarekani zinazotungwa na wenye nadharia ya njama, au wafuasi wa Trump. Ananakili huko na kumwaga hapa. Hii habari kuhusu Wachina kuingia Ukraine kijeshi amekopi kwa Hal Turner, mmoja wa hao wapigakelele wakuu wa Marekani. Huyu anafanya biashara yake kwa kutangaza uwongo wowote ili watu wengi wafuate habari zake (ilhali yeye anapata clicks na pesa kwa matangazo ya kibiashara).Mbona kuna mtu hapo juu kasema kuwa kwenye mkutano China kakataa kumuunga mkono Putin kwenye Vita ya Ukraine???? 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii habari ya convoy ya kijeshi ya china kuingia Ukraine kama ingekuwa na ukweli ingetangazwa na vyombo vikubwa vya habari kote ulimwenguni .., jamaa anakopi tu kila kinachompendeza ,Usiamini neno lolote kutoka Mathanzua. Kwa sababu anazoelewa yeye peke yake anapoteza muda wake kusoma kurasa za Kimarekani zinazotungwa na wenye nadharia ya njama, au wafuasi wa Trump. Ananakili huko na kumwaga hapa. Hii habari kuhusu Wachina kuingia Ukraine kijeshi amekopi kwa Hal Turner, mmoja wa hao wapigakelele wakuu wa Marekani. Huyu anafanya biashara yake kwa kutangaza uwongo wowote ili watu wengi wafuate habari zake (ilhali yeye anapata clicks na pesa kwa matangazo ya kibiashara).
Mathanzua haelewi mbinu huu, anazidi kuleta mambo ya ajabu kabisa (nilimkuta mwanzoni alipojaribu kutufundisha kuhusu njama ya kiyahudi duniani)
Hizo kesi wanapewaga viongozi wenu wa nchi masikinikuna mtu kesi inamuwinda .... uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu.
"We must not overlook it. We stand for the punishment of all war criminals," he wrote in a tweet. "I call for the speedy establishment of a special international tribunal that will prosecute the crime of aggression."
labda anafikiri kuwa akisema hivyo labda itatokea, putin mwenyew kasema anaelewa kuwa china ina maswali na wasiwasi kuhusu shughuli za kijeshi za urusi nchini ukraine halafu ye aseme china imepeleka jeshi huko! angeitafakari tu kauli ya putin angeelewa china inachukulia vp kinachoendelea huko ukraineHii habari ya convoy ya kijeshi ya china kuingia Ukraine kama ingekuwa na ukweli ingetangazwa na vyombo vikubwa vya habari kote ulimwenguni .., jamaa anakopi tu kila kinachompendeza ,
Unajuaje?Ndege ya Kirusi ilikuja bila silaha. Maigizo tu...
DJ Trump aliokoa jahaz lasivyo Syria ingebebwa na upinzani,trump mshkaj wake Putin sana ,asingemwangusha jamaa yakeNakazia hapo kwenye genge la magaidi 🤣🤣🤣🤣