iko ivo mkuu ,hio ndio demokrasia tunayohubiriwa kila sikuUmenikumbusha kitu aseee
Hawa wajamaa wajinga wajinga sana UMBWA wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi huu umeletwa kwenu kwa hisani kiongozi wa sungusungu kata ya Igurubi wilayani Igunga....Urusi anasajili wafungwa na makundi mengine kwa sababu anaepuka sana kutumia wanajeshi wake halisi,kwa sababu anajua inawezekana NATO wakaingia mzigoni,ndipo nae ataingiza askari kamili.
Hata silaha anazotimia anatumia kwa tahadhari hatumii zana zote muhimu,anajua baadae NATO wanaweza wakaingia mzigoni,hivyo anaweka akiba ya vita kamili na kubwa.
Ni akili TU.
Ila wasiojua wanaona kama kaishiwa askari.
Hata NATO wanajua lengo hilo la Urusi.
Bado wanaisikilizia hela bando, huwa hawaangalii hizi video clip....Warusi wa Buza hawachelewi kuja hapa na kusema "Propaganda za Magharibi "🤔
Earlier in the day, the Civil Chamber of another Donbass republic, the Lugansk People's Republic (LPR), urged the local government to hold a referendum to join Russia. The LPR government is yet to respond to the request.Dah urusi anadharirishwa sana aisee [emoji848]
Duh! Nimeipenda hii, Mwendo wake ni kama wa nyoka, lakini haikosei shabaha eti[emoji848]Embu tupate break kidogoo.
angalieni trajectory ya Himar.
Alafu murudi tenaa.
Mamaae chuma inajikunja kunja kama Jokeli, mlusi kazi anayoo.
Kila kitu kinachoihusu urusi ni propaganda.Propaganda uwanja wa vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Unajuaje kama ni vya WARUSI wakati ukraine wanavyo kama ivyo?
Unaleta porojo gani? Hujui kuangalia ramani?? Hii picha iko Kyslivka, Kharkiv Oblast, Ukraini, 63742. Hii si Kupyansk, bado kilomita 23.5 hadi mtoni. Huonyeshi chochote kinachokanusha habari eti Ukraine wamevuka mto wakishika sehemu ya mashariki ya Kupyansk.View attachment 2361883
🇷🇺✅Kupyansk, the eastern part of the city is completely under the control of Allied Forces
There was many panicking for nothing...
Yeah, in short inapiga body faint kama za Messi inatishia inaenda makumbusho kumbe yaelekea tegeta. Hazisomeki kwa radaa zinapiga wapiDuh! Nimeipenda hii, Mwendo wake ni kama wa nyoka, lakini haikosei shabaha eti[emoji848]
Huyu ni mwanasiasa wa chama kidogo kilichopata asilimia 4.9 wakati wa uchaguzi uliopita huko Ujerumani...
Sawa mkuu lakini hakusema ukweli ?Huyu ni mwanasiasa wa chama kidogo kilichopata asilimia 4.9 wakati wa uchaguzi uliopita huko Ujerumani...
Itaonekana baadaye kama uchumi wa Ulaya utaumizwa kweli kiasi hiki jinsi wengine wanavyohofia . . . Naona serikali zote ziko mbioni kunyosha mipango mbalimbali.Sawa mkuu lakini hakusema ukweli ?
Kwakweli aseeiko ivo mkuu ,hio ndio demokrasia tunayohubiriwa kila siku
nakuhakikishia mpaka museveni aombe msamaha kwa mabeberu na akane urusi ,hilo bomba tusahau for now
Kila kitu kinachoihusu urusi ni propaganda.View attachment 2361927
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app