Kwa hali ilivyo kwa Urusi,vita ambavyo vingemalizwa kwa siku 3 na wanajeshi shupavu wa Urusi,super power,leo vimechukua miezi inaelekea 7.Inabidi tuwaamini west,hakuna jinsi🤔Hii taarifa inatoka kwa a US Air Force General mtu ambaye ana conflict of interest in the conflict,so it is obviously fake.Huwa sijui kwa nini mnashindwa kuelewa vitu vidogo dogo kama hivi,are you really so dumb?Sijui bwana.
Mkuu Russia hawaku-shindwa,far from that.Kama wangetaka wangei-sambaratisha Ukraine in the first few days.Kwa hali ilivyo kwa Urusi,vita ambavyo vingemalizwa kwa siku 3 na wanajeshi shupavu wa Urusi,super power,leo vimechukua miezi inaelekea 7.Inabidi tuwaamini west,hakuna jinsi🤔
If everything was going according to plan… then why mobilise?With all due respect majibu unayodai umenipa sijayaona. Ungenipa facts kwanza wewe alfu ndio unidai na mimi nikupe facts! maoni na madai hayawezi kujibiwa kwa facts!
Kuhusu kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa operation mbona ni suala la wazi.
Swali la kujiuliza kama Special operation was going according to plan then why mobilize?! Hili swali ndo ajiulize ndugu yetu triga ambae naona mpk sasa anakaza ubongo kwamba Special operation haijafelituliwambia anatangaza mobilization huyu wengine wakawa busy kubisha, the swo called special operaton imefeli, the so called great power is moblizing ili tu kupigana na ukraine
Lengo kuu Ukrein isijiunge NATO✓Asante sana kwa heshima yako Mkuu nami naipokea,lakini uhalisia wa mambo ndiyo huo.Naondoa neno HIMARS kwakuwa linakuletea ukakasi ili uweze kunijibu maswali yangu.Kwenye malengo ya mwanzo kabisa ya hii operation yalikuwa ni yapi?.Labda nisaidie kujibu hili swali pia,ile nia ya Russian troops kuelekea Kyiv ilikuwa na lengo gani? Ni kweli haya yanayotokea sasa ndiyo yalikuwa malengo ya awali ya hii 'Special Operation'?
Warusi wanakwenda kufa kama kumbikumbi.., maana hii mobilization inalenga zaidi kuongeza wingi wa askari na si ubora wa askari.., askari 20 wenye weredi wa kutosha Wana uwezo wa kuwasambaratisha asikari miamoja hambao ni vilaza [emoji848]Mobilization ya reserves 300,000 inaonesha mambo mabaya sana kwa adui
Maamuzi yatoke wapi? Pro Russia walisema inatangazwa vita kamili jana [emoji3]Nimeamka nikiwa na shauku ya kupata maamuzi ya vikao vya Jana .., naona maluweluwe tu [emoji848][emoji57]
Sasa ndugu yangu, kwa kuwa wewe sio so dumb kama sisi, wewe source yako unayoiamini ni ipi? Hebu iweke hapa ili na sisi tunaoshindwa kuelewa vitu vidogo vidogo tufuatilie!Hii taarifa inatoka kwa a US Air Force General mtu ambaye ana conflict of interest in the conflict,so it is obviously fake.Huwa sijui kwa nini mnashindwa kuelewa vitu vidogo dogo kama hivi,are you really so dumb?Sijui bwana.
Hahahaha hata kuongopa hawajui,Uliingiza Askari 200k vitani,wakafa 6000. Halafu eti unafanya partial mobilization kuita reserve iingie vitani!!! Putin kawa kituko. Sasa naanza kuamini zile data za UK intelligence kwamba wanajeshi 80,000 wa Urusi wameuawaizidishe hio namba mara kumi utapata idadi kamili
Russia reveals military losses in Ukraine
Russia has lost 5,937 troops during the fighting Ukraine, Defense Minister Sergey Shoigu has saidwww.rt.com