DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 882
- 1,761
Uko Buza maeneo gani??Mobilization mobilization nasikia tuu huku jukwaaan ila hakuna hiyo kitu, Russia keshafeli hana la kufanya zaid ya kukubal mtinange uingie
Uko Buza maeneo gani??Mobilization mobilization nasikia tuu huku jukwaaan ila hakuna hiyo kitu, Russia keshafeli hana la kufanya zaid ya kukubal mtinange uingie
Sasa mbona Russia iliisaidia kwenye vita na inaendelea kuiuzia Serbia silaha dhidi ya Kosovo?Nashangaa Sana watu kuumia na kutokwa na mapovu kwa hayo maeneo kujitenga na Ukraine na kuwa huru na kujiunga na Russia.
Mbona Kosovo ilijitenga na Serbia...
Umesahau all along Russia amekua anapigana na Nato+EU ukurain anapigana 'proxy war' ila hili lilikua kama military tactics kwa upande wa Russia kupima uwezo wa Nato nakujua silaha zao zote ambazo zimeku unleashed katika battle field.Mimi tatizo ninaloliona kwa Russia ni kwamba wali-miscalculate the enemy they were dealing with.They thought they were facing Ukraine,kumbe they were facing the US,NATO and Europe. This is proved by continuing to call what they are doing in Ukraine a Special Operation instead of a War,thus committing only around 200,000 soldiers in Ukraine and limited millitary equipment.Russia should have declared the Ukraine conflict a War right from the beginning. This would have enabled the country to mobilize and go full throttle in February and take Ukraine out of the World map right from the beginning.Now however that the West has mobilized against Russia and has put in place strategies to weaken the country in several fronts,Russia will have to use alot more resources in terms of equipment and manpower, if it wants to win the War.The problem ahead against Russia is huge,but is not unwinable.
Umesahau all along Russia amekua anapigana na Nato+EU ukurain anapigana 'proxy war' ila hili lilikua kama military tactics kwa upande wa Russia kupima uwezo wa Nato nakujua silaha zao zote ambazo zimeku unleashed katika battle field.
Hapo hamna doubt Russia inaingi full-scale war na Nato soon ila suali lina baki kwamba nchi za nato ziko tayari kupoteza wealth zao na glory kwa ajili ya Ukuraini na US?
Russia alitumia 28% ya military capability yake na ana plan "B" ya vita incase ikiwa ngumu ata tumia nukes kwasabb hana la kupoteza asipo pambana kwa kutumia silaha zake zote US lengo Lake ni ku-disintergrate Russia na kuiondoa kwenye ramani ya dunia kabisa. Kwahiyo hi vita ni ya life or death kwa Russia anything can happen.
Us na Nato walipenda kutumia strategy ya kuweaken Russia kwa kutumia Ukuraini ili ipambane kwa mda mlefu ili aishiwe silaha na other war logistics, ila Russia aligundua mapema na ka tuma 200k kati 1m, na alikua anaendelea na production ya silaha, sasa walio kua wana mbeza Russia ndo wanaenda kushuhudia vita nini na iko je, kuachia maeneo mengi ni military consolidation ya Russia na ku re-group for new military instruction and strategy.
Ndiyo.... Russian anatumia hayo majimbo for war pretext..... yatakua annexed to Russia na ku yapiga hayo majimbo itakua ni direct military provocation kwa Russia thus ful scale war for self defence and protection.Unamaanisha Luhansk na Donetsk wanatumika kinguvu kama Proxy wa Russia ?
With all due respect majibu unayodai umenipa sijayaona. Ungenipa facts kwanza wewe alfu ndio unidai na mimi nikupe facts! maoni na madai hayawezi kujibiwa kwa facts!Mimi nimeshakupa majibu yangu ni wakati wako sasa utoe facts zako kuonyesha kwamba hiyo operation yao imefanikiwa.
Weka source ya na kiongozi aliye toa izo siku.kile kipindi nchi kalibu zote za kiarabu kuliwa na migogoro .Kabla ya Russia hajaingia Syria USA(nato) walikuwa wamempa Assad siku 3 akimbie nchi ...NATO wakawa wamekusanya jeshi kubwa nearly Syria
Siku ya kwanza ikapita siku ya pili urusi akatangaza ole wake nchi itakayovamia Syria (hapa NATO walishangaa kugundua tayari urusi alikuwa na base (raktakia)
NATO wakasepa wakaenda kujipanga kwa miezi 5 then ndio wakarudi na genge la magaidi
UN imemsaidia kumletea virainishi.[emoji23][emoji23][emoji23] hebu elezea kwa kifup UN mpaka sasa imekusaidia nin wewe kama wewe? Tuanzie kwanza hapo kupima uelewa!!!
Ukraine hawana uwezo wa kushinda dhidi ya warusi hiyo mobilization ni Kwa sababu ya kulinda mikoa mpya ya urusi.Ukiona nchi inafanaya mobilization ujue kichapo kimekolea.View attachment 2363312
Mkuu uliyosema ni sahihi na nayajua.Ninachosema ni kwamba Urusi wamekosea,wange-mobilize in February straight away na kuifuta Ukraine kabisa.Sasa itawawia vigumu kwa kuwa US,NATO na Europe nao wameshaweka in place millitary and sabotage strategies.Ndio Russia wana silaha nzuri na Jeshi kubwa,lakini tusisahau kwamba US,NATO and Europe combined, their millitary personnel can equate that of Russia,kwa hiyo sio wa kubeza hata kidogo,hasa tukizingatia kwamba "overall" the West is superior to Russia in terms of millitary hardware. Nimesema overall kwa kuwa Russia ina maeneo ambayo ni bora kuliko the West kama kwenye Cyber warfare,Marine hasa submarine technology,nuclear technology,missile technology na space warfare technology.Wakiyatumia haya maeneo appropriately and timely,naamini kabisa kwamba adversaries wao,ni no match.Umesahau all along Russia amekua anapigana na Nato+EU ukurain anapigana 'proxy war' ila hili lilikua kama military tactics kwa upande wa Russia kupima uwezo wa Nato nakujua silaha zao zote ambazo zimeku unleashed katika battle field.
Hapo hamna doubt Russia inaingi full-scale war na Nato soon ila suali lina baki kwamba nchi za nato ziko tayari kupoteza wealth zao na glory kwa ajili ya Ukuraini na US?
Russia alitumia 28% ya military capability yake na ana plan "B" ya vita incase ikiwa ngumu ata tumia nukes kwasabb hana la kupoteza asipo pambana kwa kutumia silaha zake zote US lengo Lake ni ku-disintergrate Russia na kuiondoa kwenye ramani ya dunia kabisa. Kwahiyo hi vita ni ya life or death kwa Russia anything can happen.
Us na Nato walipenda kutumia strategy ya kuweaken Russia kwa kutumia Ukuraini ili ipambane kwa mda mlefu ili aishiwe silaha na other war logistics, ila Russia aligundua mapema na ka tuma 200k kati 1m, na alikua anaendelea na production ya silaha, sasa walio kua wana mbeza Russia ndo wanaenda kushuhudia vita nini na iko je, kuachia maeneo mengi ni military consolidation ya Russia na ku re-group for new military instruction and strategy.
Hii taarifa inatoka kwa a US Air Force General,mtu ambaye ana conflict of interest in the conflict,so it is obviously fake news.Huwa sijui kwa nini mnashindwa kuelewa vitu vidogo dogo kama hivi,are you really so dumb?Sijui bwana.Asilimia 80 ya jeshi la anga la Ukraine iko vizuri🤔
Ukraine retains 80% of its air force while Russia's failure to gain air superiority early on has deeply hobbled the effectiveness of its airpower.
![]()
Ukraine Situation Report: 80 Percent Of Kyiv's Airpower Remains Intact
HARM missiles are helping Ukraine's aircraft operate more freely as Russia's failure to gain air superiority has left its planes vulnerable.www.thedrive.com