triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Kwenye hiyo quote ya huyo waziri sijaona maneno yaliyo kwenye tafsiri yako ya kiswahili. Umeongeza mengi tu ambayo hakusema. Biased translation.Labda kama umeanza kufatilia hii vita juzi
A spokesman for the Russian foreign ministry has issued another warning to both Sweden and Finland warning them not to join NATO.
Russia repeated its threat of retaliation on Saturday (12 March) if Sweden and Finland ever decide to join NATO, warning of “serious military and political consequences”.
“It is obvious that [if] Finland and Sweden join NATO, which is a military organisation to begin with, there will be serious military and political consequences,” Sergei Belyayev, head of the Russian foreign ministry’s European department, told the Russian news agency Interfax.
“[It] would require changing the whole palette of relations with these countries and require retaliatory measures,” he added, echoing a threat made by Russia the day after its full-scale invasion of Ukraine in February.
Russia threatens Sweden and Finland over NATO membership, again
Mwanzoni kabisa mwa Vita Russia iliwatisha Finland na Sweden wakithubutu kujiunga NATO bhas itwachukulia hatua Kali za kijeshi kama ilivyo Ukraine,lakini siku zilivyoenda baada ya Fin na Swede kuona Russia ni paper tiger,alivyofurushwa toka Kiev na msafara wake wa 65km kupukuchuliwa na Ukraine wakatangaza kujiunga. Russia baada ya kuona jamaa wamejiunga Putin akaamua kujishusha na kusema eti oooh kujiunga kwa Finland na Sweden hakutatishia usalama wao.
Nevertheless, achana na statement ya huyo waziri njoo kwa statement ya putin mwenyewe. Russia haina shida na swedfin kujiunga nato. Ila zikiruhusu deployement ya military contingents and infrastructures russia will respond mirrorly. Hii ndio statement ya putin na ndio iko very specific.