Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahaha mbona Urusi inapata silaha tokea Nje kaka,kwahiyo nayo imefanyiwa Demilitarisation?!

Au unadhan zile silaha ilizonazo Ukraine haziishi kama maji ya kinjekitile ngwale?! Demilitarisation imefanikiwa kwa 90% halafu mpaka Leo Airforce ya Ukraine inafanya kazi,Russia hana air supremacy?! Duh inafurahisha
RUSSIA haijawahi kulia lia kuhusiana na silaha sio kama zele
Zele kila leo analiwa nahii jana kuna 600$M kaandaliwa za silaha tu hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hotuba nilitamani niiangalie Leo yani tangu saa moja nasubiri ila naona uzalendo umenishinda. Ntaicheki kesho. Usiku mwema wakuu.
Na wewe mkuu uko obsessed na kujua bwana Putinga anatangaza nini leo!? Isijeikawa anatangaza vita tu maana vita haina macho. Usiku mwema na wewe pia ila kesho ukiamka unijibu maswali yangu
 
Kama aliyachukua hii referendum yakujiunga na RUSSIA yanini kama waliisha yachukua tayari
Sehem pekee ilochukuliwa na RUSSIA ilikua CRIMEA sisi tunajua hv na DUNIA nzima inajua hv
Leta andiko kutoka chanzo chochote kinachoonesha kua RUSSIA alichukua sehem hapo UKRAINE mwaka ule ukitoa CRIMEA
Leta chanzo hata cha BBC CNN DW unachokipenda nakukiamini wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka onyesha sehemu niliposema yamechukuliwa na Russia,Acha kujibu kwa mihemko. Nimekwambia yalikua chini ya Russia ambapo majeshi ya Russia yalikua yakipigana na Ukraine.

Mfano ni km kule Syria kuna maeneo yapo chini ya Marekani lakini still ni ya nchi ya Syria. Mbona Kiswahili lugha nyepesi Sana Mkuu! Usiku mwema.
 
Na wewe mkuu uko obsessed na kujua bwana Putinga anatangaza nini leo!? Isijeikawa anatangaza vita tu maana vita haina macho. Usiku mwema na wewe pia ila kesho ukiamka unijibu maswali yangu
Kaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.
 
Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko warusi?unajua walikaa vikao zaidi ya 100 kabla ya vita?
 
Screenshot_20220920-215302_Twitter.jpg
 
Mimi na wewe nani ana mihemko!? Hebu soma tena.

Umejuaje kwamba op haiendi kama ilivyopangwa!? Yaani umejuaje!?

Inaweza kuwa inaenda km ilivyopangwa au la. Mimi sijui na ndio maana sijasema chochote. Wewe umesema haiendi kama ilivyopangwa, umejuaje!?

Kama hukusema kwa mihemko basi tuambie hapa tujue umetumia vigezo gani kupima mwenendo wa op ukajua inaenda fyongo!? Ukishindwa basi ulitumia mihemko.

Kuiteka kiev, msafara wa 65km, wanajeshi wa miamvuli, kukimbizwa mkuku, kupokea kichapo, blah blah blah, hizo zote ni pettu talks achana nazo zilishajadiliwa sana huku na majibu yake yalitolewa. Haturudi nyuma
Malengo yalikua Demitarilization, Denazification (utawala wa kinazi wa Zelenksy), Ukraine isiingie NATO,kuchukua Donbas yote,nk.

Hayo ndo malengo ya OP. Sasa Katika hayo ukitoa la NATO lipi limetimia. Kama hakuna bhas majibu yangu niliyokujibu mwanzo yalikutosha kabisa hukupaswa kuuliza tena swali la kimhemko kama hili. Usiku mwema kwa mara nyingine tena.
 
Kaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.
Naelewa upo against urusi na Operation hii so utatumia maneno yoyote kuonesha ni ya hovyo na haijafanikiwa km vile Kusema kwamba Urusi ameingia kipumbafu.

Lkn There is no way wewe hapo ukawa unajua namna nzuri ambayo warusi wangeingia kuliko hii waliyoingia nayo.

That will be conversation for another day
 
Malengo yalikua Demitarilization, Denazification (utawala wa kinazi wa Zelenksy), Ukraine isiingie NATO,kuchukua Donbas yote,nk.

Hayo ndo malengo ya OP. Sasa Katika hayo ukitoa la NATO lipi limetimia. Kama hakuna bhas majibu yangu niliyokujibu mwanzo yalikutosha kabisa hukupaswa kuuliza tena swali la kimhemko kama hili. Usiku mwema kwa mara nyingine tena.
Kwa nini unasema katika hayo malengo hakuna lililotimia ukiacha hilo moja!?

Speak with details and proofs.
 
Back
Top Bottom