Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23]
Screenshot_20220920-222057.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

News Source: Four occupied Ukraine regions plan imminent ‘votes’ on joining Russia
 
Yule alokua anasema busn kati ya Russia na Iran haifiki $9B chukua hii

[emoji1130]Iran to soon import 9 mn-cubic.m [emoji635]Russian gas daily
($40-billion deal between the National Iranian Oil Company and Gazprom)

[emoji1128]ETEnergyWorld
Mtu anaishi huku nangurukuru... Kweli kabisa ni wakujua kiwango cha biashara kati ya Russia na Iran..?
 
Sawa inaenda vizuri naona Demilitarisation na denazification imefanikiwa. Ukraine hana tena jeshi lote limeshaharibiwa na Russia. Ule msafara wa 65km sasa uko Kiev. Na wale paratroopers walioshuka pale Kiev usiku wa February 24 now wanajivinjari kwenye Ikulu ya Zelenksy
Jibu maswali mkuu achana na petty talk.

Umejuaje op haiendi km ilivyopangwa!?
 
Ardhi ipi Kaka,kwani hujui kama asilimia kubwa ya maeneo anayoshikilia Mrusi aliyateka tangu 2014,yaliyoongezeka ni machache tu kama Kherson na mengineyo ambayo aliichukua kiulaini mwanzoni kabisa mwa Vita lakini baada ya Himars Tu kufika speed ya jamaa ikapungua mpk Leo anapigwa counter offensive na Ukraine halafu yeye ndo yupo kwenye defense. Baada ya kuona wamezidiwa hii wanayoita operation haiendi Sawa Putin anataka kufanya full mobilization. Mrusi mpaka sasa hajaiteka Donbass yote, Ukraine Jana imeanza kuchukua vijiji huko Luhank kuficha aibu jamaa kaona aharakishe referendum lakini hiyo pia haitabadili kitu Ukraine itazidi kusonga mbele.
Aliyachukua lini MKUU
Acheni kutunga maneno hakuna alichokichukua RUSSIA zaidi ya CRIMEA tokea mwaka huo
Kama hayo maeneo aliyachukua tokea mwaka huo hizo referendum zinazoitishwa zakazi gani!!!??
Hayo maeneo yalikua na migogoro tokea miaka hio ila baada ya referendum ndio rasmi yatakua maeneo ya RUSSIA kama yatakubaliwa
Ingawaje kuna 90% yakakubaliwa
Nandio maana baada ya tangazo la referendum leo wasikia viongozi wa west wanavyo bweka bweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauliza ardhi ipi!? 20% ya Ukraine ambayo ni sawa na 50% ya UK. 120k kmsq.

Haijalishi aliyateka lini au lini swala ni kwamba ni maeneo ya Ukraine yaliyo chini ya urusi ambayo yamechukuliwa kinguvu Period. Alf Tangu ya 2014 crimea tu ndio ilikuwa urusi (annexed). Sasa hv kherson, baadhi ya maeneo ya mykolaiv, dpr, lpr, zaporozhie, baadhi ya maeneo kharkiv, hayo yote yamechukuliwa ss hv bila kusahau maeneo yaliyorudishwa (willingly) ambayo yalikuwa yashaangukia kwa warusi.

"Baada ya kuona wamezidiwa hii wanayoita operation haiendi Sawa Putin anataka kufanya full mobilization."

Unaongea kimihemko sana. Una uhakika gani kwamba mobilisation ni kwa sababu operesheni imeenda vibaya!? Kwanza unajuaje kwamba operesheni imeenda vibaya!? Ili iwe imeenda vizuri ilitakiwa iendeje!?

Hakuna aliyesema kwamba referendum inapitishwa ili kumzuia Ukraine asiendelee kusogea. Yeye km uwezo anao aendelee kusogea tu ana kilomita za mraba zaidi ya laki moja zinamsubiri. Km ana uwezo atazirudisha with or without referendum. Kwani referendum ni wanajeshi wa ziada au silaha mpk zimzuie asisogee.

Kaka unajibu kimihemko Sana

Kama hiyo operation yake inaenda km ilivyokusudiwa inakuaje mpaka sasa hawasongi mbele wao ndo wanarudishwa nyuma,kuanzia Kharkiv mpaka kule south Kherson?! Vijana wa Putin wamekimbia mkuku mkuku wakiacha zana za kivita mikononi mwa Ukraine ili kuokoa roho zao. Operation inaenda vizuri mwez wa 7 sasa Ijumaa tunaingia wa nane jeshi la pili lenye nguvu zaidi duniani limeshindwa kuweka no fly zone kwenye anga la Ukraine,hana air superiority. Kila akijaribu kuingiza ndege hairudi Moscow inaishia kuliwa kichwa!!!!
Operation inaenda vizuri mpaka sasa ameshindwa kuiteka Kiev,alikula kichapo akaamua kugeuza juu Kwa juu akadai anabaki Donbas kuwalinda warusi,sasa swali la kujiuliza kama nia yake ilikua ni Donbas ule msafara wa 65km ulikua inafatia nn kiev?! Au wale paratroopers walioshuka kiev February wakauliwa wote walifata nn kule?!
 
Sawa inaenda vizuri naona Demilitarisation na denazification imefanikiwa. Ukraine hana tena jeshi lote limeshaharibiwa na Russia. Ule msafara wa 65km sasa uko Kiev. Na wale paratroopers walioshuka pale Kiev usiku wa February 24 now wanajivinjari kwenye Ikulu ya Zelenksy
Kwaunavyohisi au unavyodhania wewe demilitarization haijafanikiwa
Demilita imefanikiwa kwa zaidi ya 90% nandio maana UKRAINE silaha wanapata tokea nje yaani wenyewe kama wenyewe wapo taaban

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyachukua lini MKUU
Acheni kutunga maneno hakuna alichokichukua RUSSIA zaidi ya CRIMEA tokea mwaka huo
Kama hayo maeneo aliyachukua tokea mwaka huo hizo referendum zinazoitishwa zakazi gani!!!??
Hayo maeneo yalikua na migogoro tokea miaka hio ila baada ya referendum ndio rasmi yatakua maeneo ya RUSSIA kama yatakubaliwa
Ingawaje kuna 90% yakakubaliwa
Nandio maana baada ya tangazo la referendum leo wasikia viongozi wa west wanavyo bweka bweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae itakua ndo walewale mlioanza kufatilia mgogoro baada ya February 24. Kwani hujui kama majeshi ya Russia yalikuwapo huko Donbas kitambo yakivalia nguo za kiraia yakipambana na wanajeshi wa Ukraine?! Huko Donbas kuna maeneo yalikua chini ya Russia kitambo sana kabla ya hii vita ambayo Putin anaiita special operation.
 
Crimea ilijiunga na Russia lakini Marekani imeipa ruhusa Ukraine kuishambulia Kwa Makombora hivyo hata hizo referendum hazitazuia Ukraine kufanya mashambulizi kwenye maeneo zaidi hii vita itachukua Sura nyingine na sio ya kuisha Leo wala kesho sababu hakuna ambae anataka kurudi nyuma si Russia,Ukraine, Marekani,EU na washirika wengine wa NATO.

Zaidi tuupe muda nafasi tutajionea kitakachojiri.
Marekani kwa maana ya raia wa Marekani hawajawahi kuathirika kwa Vita......ikifika mahali wamarekani wakaona wanakufa mitaani na maghorofa yanadondoshwa ndipo watajua vitta ni nini...itakuwa ni zaidi ya Sept 11 Mara milion
 
Kwaunavyohisi au unavyodhania wewe demilitarization haijafanikiwa
Demilita imefanikiwa kwa zaidi ya 90% nandio maana UKRAINE silaha wanapata tokea nje yaani wenyewe kama wenyewe wapo taaban

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbona Urusi inapata silaha tokea Nje kaka,kwahiyo nayo imefanyiwa Demilitarisation?!

Au unadhan zile silaha ilizonazo Ukraine haziishi kama maji ya kinjekitile ngwale?! Demilitarisation imefanikiwa kwa 90% halafu mpaka Leo Airforce ya Ukraine inafanya kazi,Russia hana air supremacy?! Duh inafurahisha
 
Kaka unajibu kimihemko Sana

Kama hiyo operation yake inaenda km ilivyokusudiwa inakuaje mpaka sasa hawasongi mbele wao ndo wanarudishwa nyuma,kuanzia Kharkiv mpaka kule south Kherson?! Vijana wa Putin wamekimbia mkuku mkuku wakiacha zana za kivita mikononi mwa Ukraine ili kuokoa roho zao. Operation inaenda vizuri mwez wa 7 sasa Ijumaa tunaingia wa nane jeshi la pili lenye nguvu zaidi duniani limeshindwa kuweka no fly zone kwenye anga la Ukraine,hana air superiority. Kila akijaribu kuingiza ndege hairudi Moscow inaishia kuliwa kichwa!!!!
Operation inaenda vizuri mpaka sasa ameshindwa kuiteka Kiev,alikula kichapo akaamua kugeuza juu Kwa juu akadai anabaki Donbas kuwalinda warusi,sasa swali la kujiuliza kama nia yake ilikua ni Donbas ule msafara wa 65km ulikua inafatia nn kiev?! Au wale paratroopers walioshuka kiev February wakauliwa wote walifata nn kule?!
Mimi na wewe nani ana mihemko!? Hebu soma tena.

Umejuaje kwamba op haiendi kama ilivyopangwa!? Yaani umejuaje!?

Inaweza kuwa inaenda km ilivyopangwa au la. Mimi sijui na ndio maana sijasema chochote. Wewe umesema haiendi kama ilivyopangwa, umejuaje!?

Kama hukusema kwa mihemko basi tuambie hapa tujue umetumia vigezo gani kupima mwenendo wa op ukajua inaenda fyongo!? Ukishindwa basi ulitumia mihemko.

Kuiteka kiev, msafara wa 65km, wanajeshi wa miamvuli, kukimbizwa mkuku, kupokea kichapo, blah blah blah, hizo zote ni pettu talks achana nazo zilishajadiliwa sana huku na majibu yake yalitolewa. Haturudi nyuma
 
Marekani kwa maana ya raia wa Marekani hawajawahi kuathirika kwa Vita......ikifika mahali wamarekani wakaona wanakufa mitaani na maghorofa yanadondoshwa ndipo watajua vitta ni nini...itakuwa ni zaidi ya Sept 11 Mara milion
Hiyo siku haitakuja kutokea na ikitokea ndo itakua Mwisho wa dunia yaani WWIII.
 
Wewe nae itakua ndo walewale mlioanza kufatilia mgogoro baada ya February 24. Kwani hujui kama majeshi ya Russia yalikuwapo huko Donbas kitambo yakivalia nguo za kiraia yakipambana na wanajeshi wa Ukraine?! Huko Donbas kuna maeneo yalikua chini ya Russia kitambo sana kabla ya hii vita ambayo Putin anaiita special operation.
Kama aliyachukua hii referendum yakujiunga na RUSSIA yanini kama waliisha yachukua tayari
Sehem pekee ilochukuliwa na RUSSIA ilikua CRIMEA sisi tunajua hv na DUNIA nzima inajua hv
Leta andiko kutoka chanzo chochote kinachoonesha kua RUSSIA alichukua sehem hapo UKRAINE mwaka ule ukitoa CRIMEA
Leta chanzo hata cha BBC CNN DW unachokipenda nakukiamini wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom