Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Utaijua Russia subiri mobilization and declaration of warTunazidi kusogea tu .
Vita vilianzia Crimea,na vitaishia Crimea [emoji91][emoji91]
Utaijua Russia subiri mobilization and declaration of warTunazidi kusogea tu .
Vita vilianzia Crimea,na vitaishia Crimea [emoji91][emoji91]
Natamani kuona hiyo vita kamili itakuwa na sura gani tofauti na hii ya SasaUrusi kutangaza vita kamili usiku huu
Wanaume wote kuanzia 18-65 kutoruhusiwa ondoka Urusi na maeneo yote
Crimea ilijiunga na Russia lakini Marekani imeipa ruhusa Ukraine kuishambulia Kwa Makombora hivyo hata hizo referendum hazitazuia Ukraine kufanya mashambulizi kwenye maeneo zaidi hii vita itachukua Sura nyingine na sio ya kuisha Leo wala kesho sababu hakuna ambae anataka kurudi nyuma si Russia,Ukraine, Marekani,EU na washirika wengine wa NATO.Duh....mikoa hiyo ndiyoo basi tena kwani itakuwa sehemu ya Russia....kelele za kwamba sijui Russia ameshindwa Vita na Ukraine sijui Nini hazisaidii...Russia does not care about kelele za mashabiki wa Ukraine...yeye amechukua maeneo na Sasa yatakuwa Mali yake....West wanajua red lines za Russia na Russia nayo inajua red lines za west...Escalation ya Vita it's kuwa mbaya kwa dunia nzima na siyo Russia peke yake...there will be no winner.....miji mikubwa iwe ya west au Russia itaangamizwa...hata nyie humu pro NATO mlioko kinyerezi mtaguswa mkiwa kwenye key board zenu na kauli zenu za Super power wa mchongo, anapelekewa Moto na kadhalika...of course pro-Russia nao hawatakuwa salama...everyone will lose..
But the big question is: is the West ready and prepared to lose everything they have just to save Ukraine...Are they.ready kupoteza Kila kitu including civilization, riches, global leadership etc...Are they ready miji yao kuwa ashes ?! Na kwa Russia is it ready kupoteza Kila kitu?! I can guarantee you that Russia is ready and is damnly prepared for a nuclear showdown...Why?! Because it considers itself being cornered by the West...
But another question may be that who is calling the bluff in this crisis??...
Tutajua siku chache zijazo...
tuliambiwa Ukraine is winningBreaking N.....🔥🔥🔥🔥
Putin is expected to make a statement to the nation, along with Russian Defense minister Shoigu in 1 hour from now on.
Ukrainian telegram channels report that there’s panic amongst the government in Kiev, speculating that Putin will announce a major escalation to the conflict. According to online rumours (and nothing more than rumours), Kiev is afraid that the west will capitulate if Russia announces mobilization
Uzuri putin ukimuwazia X yeye anakupa Y.Breaking N.....🔥🔥🔥🔥
Putin is expected to make a statement to the nation, along with Russian Defense minister Shoigu in 1 hour from now on.
Ukrainian telegram channels report that there’s panic amongst the government in Kiev, speculating that Putin will announce a major escalation to the conflict. According to online rumours (and nothing more than rumours), Kiev is afraid that the west will capitulate if Russia announces mobilization
Propaganda at work [emoji848]Breaking N.....[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Putin is expected to make a statement to the nation, along with Russian Defense minister Shoigu in 1 hour from now on.
Ukrainian telegram channels report that there’s panic amongst the government in Kiev, speculating that Putin will announce a major escalation to the conflict. According to online rumours (and nothing more than rumours), Kiev is afraid that the west will capitulate if Russia announces mobilization
Kwani uongo?tuliambiwa Ukraine is winning
Mkiulizwa kwa nini Crimea ilikuwa sehemu ya Russia tangu 2014 lakini bado inapokea kichapo mnaishia kubwabwaja tu[emoji848]Inashangaza mtu 18+ haelewi implication ya haya mambo mawili referendum na mobilization . Referendum inapelekea wajibu wa Russia kuhami ardhi yake. Hii ina maana Russia katizama kaona akate pande lake na likishakuwa lake sheria imlinde kulihami hilo pande kwa kutumia hata lile RUNGU la kipepe.
Mobilization una maana kutumia any necessary means from within and outside Russia . Maana yake ni mambo mengine yataweza kusimama Ili resources zihusike kwenye vita hata mali za makampuni na watu binafsi kwa hiari ama kwa lazima . Maana yake KILA raia wa Russia atashiriki kufanikisha mapigano. Sisi tuliokuwa watoto enzi ya Nduli tunafahamu mobilization inakuwaje.
Si kipindi cha oyaoya .Dunia inakwenda kuharibika vibaya . Kambi zimeanza kujihusisha na vita more directly kwa maana USA analinda ubepari na ubeberu akijua Russia anakwenda kubadili mfumo iwapo atashinda vita hii na kuuungwa mkono uanzishwaji wa kambi kubwa zaidi ya uchumi na masoko itayokwenda kinyume na dola na western currencies.
Madhara ya hii vita yatagusa Dunia nzima kwa muda mfupi tutaonja joto , ukosefu wa dawa , ajira, industrial inputs na machafuko barani Africa maana KILA kambi itataka MWANASIASA wa kiafrica atakaewaunga mkono awe raisi ktk nchi yake
" referendum in Donbass won't affect us support for Ukraine"wameanza kuukubali mziki
![]()
Referendums in Donbas won't affect US support for Ukraine - Pentagon.![]()